Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
20221214_162754.jpg
20221214_162741.jpg
20221214_162749.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Vikosi vya Belarus viekielekea mpakani mwa Ukraine,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna mtu atapigwa kubamizwa mpaka anye
Screenshot_20221214-163441~2.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yani unaongea pumba alafu ujui kabisa kuwa unaongea pumba.iyo Patriot ni ya mwaka gani.kama sio ya zaidi ya miaka 45 iliyopita.au uwa unakurupuka tu kuongea pasipo kujua.

kenge wa blue wewe.View attachment 2446597
Patriot zimepitia modification tofauti tofauti,hiyo ya 1976 ni PAC 1 ambayo sidhani kama kuna nchi bado wanazo sasa wako PAC -3 ambayo ndo ya kisasa na sio nchi zote wanayo hiyo. Saudia Wana PAC -2 ya miaka ya 1990s.
 
Kamanda wa Russia anasema bila kutumia nyuklia hawawezi kushinda vita ya Ukraine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

 
Hali tete, wanajeshi wao wanapukutika kama senene halafu uzingatie barafu inawakuta huko kwenye mavita vita ndani ya nchi ya watu...

Russian cities cancel New Year fireworks and pledge funds to army instead​

With soldiers being sent to Ukraine without proper equipment, some mayors and governors are arguing that now is not the time to party

Russian regions have cancelled their New Year’s Eve firework celebrations so that they can donate the cash to frontline soldiers and their families instead.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2446617View attachment 2446618View attachment 2446619
Kaka naona siku hizi umekua km Morogoro kaskazini unatuletea mapicha ya zamani ili utupige fix eti ni Kiev[emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo source unapotoa hizi taarifa za mchongo achana nayo(inakulisha matangopori) tafuta nyingine,ni ushauri tu.[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo picha zote ulizoweka ni za February-march wakati uvamizi unaanza halafu unatulisha tangopori eti ni Leo Kiev.

Picha zako zote za mchongo ziko hapa [emoji116] Scroll huko chini utaziona
Why Putin's '£15BILLION-a-day' invasion ISN'T going to plan
IMG_20221214_172806.jpg
 
,[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia amepeleka Dege lake la An A - 50 kusaidia target vikosi vya ardhini Belarus View attachment 2446616

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapa hamna kipya hili lidege lipo huko tangu February na hakuna cha maana lilichofanya,hata HIMARS launcher moja limeshindwa kulocate

Monitoring of military airfields in #Belarus indicates that two more #Russian A-50s intelligence aircraft (AWACS) arrive at Baranovichi air base, about 420 km from the #Kyiv.
 
Israel struck Iranian arms convoy along Syrian-Iraqi border - IDF chief
By YONAH JEREMY BOB Published: DECEMBER 14, 2022 10:23
Updated: DECEMBER 14, 2022 13:50

Speaking at a conference at Reichman University, Kohavi said that the IDF had "perfect intelligence" to hit "Truck Number 8" out of a 25 truck caravan, because it knew that this truck was the one containing Iranian weapons.

Describing the operation, Kohavi said the IDF needed to send the air force to the correct location and that the IAF aircraft “needed to evade surface to air missiles. Don’t make any mistake – there are operations where they fire between 30-40 surface to air missiles,” sometimes even reaching 70 missiles.

Israel’s air force needed to “attack, to actually hit [their targets] and to return [without being shot down by the surface to air missiles.] During some of the attacks, they also need to avoid killing people who should not be killed. These are very advanced capabilities,” he said.
Israel struck Iranian arms convoy along Syrian-Iraqi border - IDF chief
 
Patriot zimepitia modification tofauti tofauti,hiyo ya 1976 ni PAC 1 ambayo sidhani kama kuna nchi bado wanazo sasa wako PAC -3 ambayo ndo ya kisasa na sio nchi zote wanayo hiyo. Saudia Wana PAC -2 ya miaka ya 1990s.
Kwa iyo Buk na s-300 zenyewew hazijapitia modification tofauti tofauti.au unamanisha nini?
 
Back
Top Bottom