Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na ndio maana Ukraine yuko mbio kutengeneza drones zenye payload kubwa na ziendazo mbali ili apeleke maumivu ndani ya moscow, sevastopol, caspian etc
Hapo Sevastopol soon patakua hapakaliki baada ya Ukraine kumaliza Ile project yake ya 100 marine drones.

Walishaanza kuhamisha submarines.
 
BREAKING: Russia says US-made Patriot air defense systems in Ukraine would be legitimate targets for the Russian military
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama wa Houth wa yemen wanajipigia Saudia wanavyotaka pamoja kuna iyo michuma chuma ya Patriot.sembuse Urusi.muda utaongea tu mtasahau habari yake iyo Patriot.

Sisi tunataka mpaka mmalize mifumo yote ili msije mkasema kuwa kuna silaha hamjaitumia
 
Russia anao uwezo wa kuzishambulia hizo Patriot,lakini je ataweza kuzilocate wakati hana air superiority ndani ya Ukraine na hizo system ni highly mobile.

Anaweza kutumia Hypersonic missiles au drone swarms maana patriot ni dhaifu dhidi ya drone.

Lakini pia patriot itakua ni hatari Kwa ndege za Urusi maana radar yake inaona mbali zaidi ya 100km.
Mpaka hapo Urusi haitaweza kutawala anga la Kyiv, japo drone za kiajemi zitaendelea kusumbua.
T14 Armata Sela Son
 
💥💥💥
Belarus 🇧🇾 continues to pull military equipment to the border with Ukraine and Poland. This is reported by the VoenTV TV channel.

According to official data, this is done in order to check the organization of defensive lines and the protection of important facilities.
💥💥💥
 
Kwa mwerevu anajua mifumo yote kwa vile inatengenezwa na binadamu haiwezi ikawa 100% kiufanisi. Lakini kwa Marekani mifumo yake imezidiwa na Urusi. Hili limethibitika sehemu waziwazi na mfano halisi Saudi Arabia.

Ukiwa mfuatiliaji wa mambo utagundua kuna sehemu Marekani inakuzwa kuliko uhalisia na mambo yapo wazi kwa sababu ni history ndiyo imekusanya hayo! Na history ni fact.
Mkuu walioikuza Marekani ni fake media zao. Believe me,all news from any American Mainstream Media is fake,na hizi ndizo zinazo wapumbaza watu.Can you believe it,hata the Lunar Landing and the Twin Tower Bombing was faked.Infact the Twin Tower Bombing was an inside job.
 
Mpaka hapo Urusi haitaweza kutawala anga la Kyiv, japo drone za kiajemi zitaendelea kusumbua.
T14 Armata Sela Son
Ninauhakika unaongelea mtaa wa Urusi wilaya ya Gairo Morogoro

1671020566318.png
 
[emoji298]️ Scholz: 'We will keep providing financial, humanitarian and military support to Ukraine.'

Speaking at the Bundestag on Dec. 14, German Chancellor Olaf Scholz noted that Vladimir Putin miscalculated in his war, having underestimated Ukrainians' bravery and EU's will to fight.
 
Putin kaanza kutia adabu......



Putin says 'an agreement will have to be reached' for Ukraine conflict to end​

Nyie naona hamjamuelewa Putin kabisa kuwa alimanisha nini.kasema kabisa mazungumzo hata yeye anapendelea ila kabla ujaingia kwenye chumba cha mazungumzo unatakiwa kutambua Kherson, Zaphorozhia, Donesk na Luhansk kuwa ni sehemu ya Urusi
 
Nyie naona hamjamuelewa Putin kabisa kuwa alimanisha nini.kasema kabisa mazungumzo hata yeye anapendelea ila kabla ujaingia kwenye chumba cha mazungumzo unatakiwa kutambua Kherson, Zaphorozhia, Donesk na Luhansk kuwa ni sehemu ya Urusi
ndiyo ujinga anaofikiri, hakuna ardhi ya Ukraine itatwaliwa na Putin tena hilo asahau milele na awe tayari kupigana vita kwa karne kibao.
Itafikia hatua hata warusi wataona vita hii ni ujinga, ni suala la muda tu.
 
UNCLE SAM HAPENDI SOKO HURU

A bill has been introduced in both houses of the US Congress to ban TikTok.

Lawmakers insist that the US should ban the use of TikTok, as this social network can allegedly be used to its advantage by the Chinese Communist Party. According to Senator Marco Rubio, TikTok "collects data on tens of millions of Americans every day - children and adults."
In addition, the bill provides for the possibility by the US president of "any transactions" in the United States with companies operating in the field of social networks, if they, according to Washington, are controlled by the authorities of Venezuela, Iran, China, North Korea, Cuba or Russia. The document does not list the names of any other companies other than TikTok and ByteDance.
Hii analipa baada ya uchina kununua mafuta Kwa yuan 😄😄😄😄😄, lakini ni swala la muda tu atachemka na dollar inaonyesha dalili ya kupungua thamani tuupe muda nafasi na Putin asimalize Vita yaani iwe hivi hivi tuone Nani atanyoosha mikono
 
ndiyo ujinga anaofikiri, hakuna ardhi ya Ukraine itatwaliwa na Putin tena hilo asahau milele na awe tayari kupigana vita kwa karne kibao.
Itafikia hatua hata warusi wataona vita hii ni ujinga, ni suala la muda tu.
Warusi wana madini ya kila aina.wana viwanda vya silaha na pia wana pesa.sasa wewe unayetegemea msaada wa silaha ili upigane vita isiyoisha na Urusi basi kazi unayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Urusi hakuwahi tawala anga la Kiev tangu lina BUK na S300 za miaka zaidi ya 30 iliyopita. Atawezaje tawala kwenye uwepo wa Patriot
Yani unaongea pumba alafu ujui kabisa kuwa unaongea pumba.iyo Patriot ni ya mwaka gani.kama sio ya zaidi ya miaka 45 iliyopita.au uwa unakurupuka tu kuongea pasipo kujua.

kenge wa blue wewe.
Screenshot_20221214-162140_Chrome.jpg
 
In Paris, about 70 countries and institutions pledged just over 1 billion euros ($1.05 billion) to help maintain Ukraine's water, food, energy, health and transportation in face of Russia's attacks, French Foreign Minister Catherine Colonna said.

* They also promised energy-efficient LED bulbs to ease power shortfalls and help Ukraine get through freezing winter months as Russia pounds the country's infrastructure.
katika historia za vita mbalimbali ziliwahi kupiganwa taifa moja dhidi ya jingine, hv kuna taifa lishawahi kupewa misaada mikubwa kama Ukraine? Je kuna vita ishawahi kuziunganisha nchi nyingi kuisaidia nchi nyingine kama tunavyoona Ukraine?
Hiyo ni vita ya Russia [emoji635] na NATO
 
Back
Top Bottom