Nilimsahau mwamba, Tulijifunza mengi kupitia yeye Grand MasterBila kumsahau Grand Master heshima kubwa kwake natamanai Sana awe anachangia nilikuwa najifunza mengi Sana kwenye machangio yake Ila ndiyo hivo tena.. sasa imebaki kubishana na sio kuelimishana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vunjo alinichekesha ile video ya Helicopter ya Urusi iliyotunguliwa.kila siku akawa anaipost iyo iyo imetunguliwa, na eneo ilo ilo. Watu wakawa wanashangaa inamaana iyo helicopter ni mzimu.ikitunguliwa inapaa tena kisha inatunguliwa tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787].Nadhani ulikuwa umebaki wewe tu, hamna mtu mwenye ubongo anaeangalia video za vunjo, ni kupotezeana muda tu.. Toka vunjo aweke hapa video ya makombora mawili yanashambulia daraja la crimea nilisema dah vunjo hamnazo
Mbona wanalia kila siku wakitaka silaha za NATO?Naona Demilitarisation ya Babu Putin imeshindwa kabisa
[emoji298]️ Production of 152 mm and 122 mm artillery shells has been launched in Ukraine, Secretary of the National Security and Defense Council Oleksiy Danylov said.
"Now the production of mines and many other things that our enterprises of the defense complex are already producing will begin. We are talking about thousands - this is already an industrial scale," he said on the air of the telethon.
Hivi unajua kwamba ukiacha Korean war hii ndo vita ambayo artilleries nyingi zimetumika tena kwa muda mfupi tu.Mbona wanalia kila siku wakitaka silaha za NATO?
Shukrani mingi Green Rajab unatupa habari relevant and valid[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Zelensk kasababisha Raia wa Ukraine wateseke na kuvuja damu ona machela zilivyo busy hata mda kuoshwa damu hakuna. Russia anawapumulia kisogoni [emoji23][emoji23][emoji23],,,, kweli siasa ni ujinga mkubwa View attachment 2445297
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
"When you have a war going on, you will always not have enough weapons." - Waziri wa Ulinzi wa UkraineMbona wanalia kila siku wakitaka silaha za NATO?
God bless OddessaWargonzo reports that the suburb/town of Opytne, Artemovsk is 90% under the control of Wagner. This is a vital defensive position for the AFU in the soon to be former Bakhmut.