Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tusisahau kuendelea kuwaombea warusi wadau.., wanaendelea kulambishwa mchanga sana.. mpaka kufikia x-mas idadi itakuwa zaidi ya laki Moja 🥱🥱
1670919805752.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ni kweli nimepunguza kuchangia ila hii, kwa upande wangu imetokana na uzi kujaa vijana wasiyojituma kwanza kutafuta habari au wepesi wa kulishwa matango pori hususani hawa wanaojifanya kuiunga mkono Marekani, NATO na washirika wao Ulaya.

Bahati mbaya sana sipendi kujibizana na watu wa namna hiyo kwasababu nitakuwa najishusha vibaya mno, actually wengi wao nimewa ignore ila nipo sana tu. Tunafurahia ushindi kila kona.

Hii vita inapiganwa katika fronts nyingi sana na ukijituma kutafuta habari, utagundua West, Marekani pamoja na NATO yao, wote wamechoka. Pumzi ndogo, ruti ndefu.

So tunachofanya ni kuwaacha wapige kelele weeee lakini miji tunainyakua bila kubwaka kama wao.
Umenichekesha wewe
 
❗️Russian units have tightly encircled Marinka in Donetsk people's republic - Kiselev

Vitaly Kiselev, an aide to the LNR interior minister, said that the Russian army had taken control of the highway towards Krasnogorovka, which was used to supply Ukrainian fighters in Marinka.

"Fighting for the town continues in Marinka. The enemy is resisting. The city is in a tight ring; fighting is going on in the city center," he wrote in his Telegram channel.

#source
Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis,
 
Ukiwa soldier kufa si Jambo la kushangaza iko hivi kila upande hupewa amri ya kusonga mbele. Hata ukiona kichwa Cha mwenzio kimekurukia baada ya shambulio la bomu, senior kamanda akishasema wote mbele kurudi nyuma Ni mwiko Hakuna namna coz ukienda mbele unakufa ukikataa unakufa. Ni Bora ufe ukipigana dhidi ya adui? Au ufe kwa kupigwa chuma na wanao wa Frontline?
 
Askari wa Urusi wanapitia magumu mno, matokeo ya kumlimbikizia madaraka makubwa ya kuamua kila kitu dikteta mmoja ndio haya.
Ukiwa soldier kufa si Jambo la kushangaza iko hivi kila upande hupewa amri ya kusonga mbele. Hata ukiona kichwa Cha mwenzio kimekurukia baada ya shambulio la bomu, senior kamanda akishasema wote mbele kurudi nyuma Ni mwiko Hakuna namna coz ukienda mbele unakufa ukikataa unakufa. Ni Bora ufe ukipigana dhidi ya adui? Au ufe kwa kupigwa chuma na wanao wa Frontline?
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Wakati Russia anaendelea kubomoa miundo mbinu ya nishati na kuwaua wanamgambo wa Ukraine. Familia za wanamgambo ha zimeonekana zikihangaika kuchaji Vimeo kwa foleni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221213-143220~2.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app[/ATTACH]
 

Attachments

  • Screenshot_20221213-143052~2.jpg
    Screenshot_20221213-143052~2.jpg
    54.9 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221213-143112~2.jpg
    Screenshot_20221213-143112~2.jpg
    58.2 KB · Views: 18
  • Screenshot_20221213-143112~2.jpg
    Screenshot_20221213-143112~2.jpg
    58.2 KB · Views: 17
  • Screenshot_20221213-143052~2.jpg
    Screenshot_20221213-143052~2.jpg
    54.9 KB · Views: 20
⚡Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine
(13 December 2022)

The Russian Federation Armed Forces continue the special military operation.

◻️In Kupyansk direction, Russian artillery caused fire damage on exposed assembly areas and positions of Ukraine's Armed Forces, as well as foreign mercenaries. More than 40 Ukrainian personnel and fighters, two armoured fighting vehicles, and four motor vehicles were destroyed.

◻️In Krasny Liman direction, Russian artillery and heavy flamethrower systems foiled counterattacks by three assault groups of the Ukrainian Armed Forces from Terny and Yampolovka (Donetsk People's Republic). The enemy's casualties were more than 50 Ukrainian personnel killed or injured, two infantry fighting vehicles, an armoured vehicle, and three pickup trucks.

◻️In Donetsk direction, while continuing the offensive, Russian troops repulsed three enemy counterattacks during the day. As a result of the fire damage, more than 30 Ukrainian personnel, four armoured combat vehicles, and three pickup trucks were annihilated.

◻️In South Donetsk direction, an attempt to advance from the initial area for a counterattack by a mechanised infantry company of the Ukrainian Armed Forces in the direction of Pavlovka (Donetsk People's Republic) was thwarted by a complex fire attack. The enemy's casualties were more than 50 Ukrainian personnel killed or injured, three armoured fighting vehicle, and three pickup trucks.

💥Operational-Tactical Aviation, Missile Troops and Artillery engaged seven control points in the areas of Kislovka, Krakhmalnoye, Berestovoye, and Monachinovka (Kharkov region), Georgievka and Vodyanoye (Donetsk People's Republic), and Zhyoltaya Krucha (Zaporozhye region). In addition, 86 artillery units were hit in firing positions, as well as manpower and military hardware in 172 areas.

💥An ammunition depot of the Ukrainian Armed Forces has been destroyed near Konstantinovka (Donetsk People's Republic).

💥A battery of multiple-launch rocket systems (MLRS) of the Ukrainian Armed Forces has been destroyed near Krasniy Liman (Donetsk People's Republic) as a result of a Russian Aerospace Forces' strike. The anti-aircraft defence forces shot down two drones in the areas of Zhytlovka and Kremennaya (Lugansk People's Republic). In addition, two HIMARS MLRS rounds were intercepted near Perovomaysk (Lugansk People's Republic) and a HARM rocket near Makarovka (Kherson region).

📊In total, 343 airplanes and 183 helicopters, 2,655 unmanned aerial vehicles, 396 air defence missile systems, 7,087 tanks and other armoured combat vehicles, 930 combat vehicles equipped with MLRS, 3,684 field artillery cannons and mortars, as well as 7,582 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Wakati Russia anaendelea kubomoa miundo mbinu ya nishati na kuwaua wanamgambo wa Ukraine. Familia za wanamgambo ha zimeonekana zikihangaika kuchaji Vimeo kwa foleni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2445118

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app[/ATTACH]

russia inatumia dola bilion 40 kukata umeme ambao unarudishwa baada ya week.
anaacha kuwapigania chawa wake wa front line wanao kaangwa
IMG_1319.jpg

IMG_1320.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Raia wa Marekani aliyekua anawasaidia wanamgambo wa Ukraine naye kapasuliwa kichwa wa Warusi. Naona alichoka kula ugali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20221213-153537~2.jpg
IMG_20221213_153635.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] Russia atawamaliza hawa kenge duh,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20221213-154511~2.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] bado tupo nao bro, kila siku tunapitia updates hapa japo kimya kimya.

Heshima kubwa kwa hawa watu wanaendelea kuipa uhai thread yetu pendwa.

Bwana Utam
green rajab
mohamedidrisa789
Msulibasi
Sela Son
Morogoro kaskazini
manning
Mathanzua
mixx
kilwakivinje
Venus Star
Fursakibao
MR MAJANGA
jameshyela
1954
James Comey
Moronight walker
Bome-e
relis
jonas amos
ITR

Bila kusahau ndugu zetu pro ukraine/ Pro west bila wao hii thread ingekuwa ishafungwa now.

T14 Armata
vunjo
kp kipanya44
Antonio Conte
HIMARS
Axel Lloyd
Proved
kikiboxer
FUSO

Pia Napenda kutambua mchango wa members wote wa hii thread ambao hatuwaoni sana jukwaani kipindi hiki, Galip Vrl na pacha wako Qibsyl bila kumsahau triga pamoja na mkongwe Jesus Mlokozi. much shout out pia kwa Yoda, Champagnee Bugucha Nyamizi Mtoto wa nzi MK254 ngaboru Mwanamkiwi Sikirimimimasikini Nkuba25 Intuition Missile of the Nation let the caged bird sings DALA passioner255 na wengine wote.

Tumemiss sana michango yenu hapa jukwaani.
Bila kumsahau Grand Master heshima kubwa kwake natamanai Sana awe anachangia nilikuwa najifunza mengi Sana kwenye machangio yake Ila ndiyo hivo tena.. sasa imebaki kubishana na sio kuelimishana.
 
,[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Wanamgambo wapo busy na vijenereta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utafkiri wakazi wa Yombo kwa Limboa
IMG_20221213_160819.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom