Mkuu ni kweli nimepunguza kuchangia ila hii, kwa upande wangu imetokana na uzi kujaa vijana wasiyojituma kwanza kutafuta habari au wepesi wa kulishwa matango pori hususani hawa wanaojifanya kuiunga mkono Marekani, NATO na washirika wao Ulaya.
Bahati mbaya sana sipendi kujibizana na watu wa namna hiyo kwasababu nitakuwa najishusha vibaya mno, actually wengi wao nimewa ignore ila nipo sana tu. Tunafurahia ushindi kila kona.
Hii vita inapiganwa katika fronts nyingi sana na ukijituma kutafuta habari, utagundua West, Marekani pamoja na NATO yao, wote wamechoka. Pumzi ndogo, ruti ndefu.
So tunachofanya ni kuwaacha wapige kelele weeee lakini miji tunainyakua bila kubwaka kama wao.