Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Soma kuhusu F-186 sabre.pia Soma kuhusu f 4 katika independent sources.zisome hizi katika Vietnam war air to air combat.
Wamarekani licha ya kipigo Cha Mara kwa Mara hawajawapa kuacha kusifia Chao na kudunisha Cha Kirusi.
Mig 21 ilikua tishio kuu ndani ya Vietnam. Si hiyo tu mig 17 na mig 19 waliwanyonya vibaya Yankees
Kwanini uandikie mate hali wino upo. Lete hizo independent sources tuone air to air combat ambapo Mig zilishinda. Wewe mwenyewe hapo ulishasema zilipigwa 64 na zikapiga mara 250, sasa ratio mbovu kama hii unaipata kwa ndege gani ya Marekani
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji106][emoji106][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Wanamgambo wa Ukraine wamepasuka mapema sana
Screenshot_20221212-161342~2.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Baada ya kipigo Cha mbwa mwizi wanamgambo wa Ukraine wanafungwa antena kwenye mapango wanaishi kama nguchiro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20221212_163119.jpg
IMG_20221212_163111.jpg
IMG_20221212_163105.jpg
IMG_20221212_163100.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Baada ya kipigo Cha mbwa mwizi wanamgambo wa Ukraine wanafungwa antena kwenye mapango wanaishi kama nguchiro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2444090View attachment 2444091View attachment 2444092View attachment 2444093

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndo faida ya kuwakumbatia mabeberu.wacha wavune walichopanda.unamkaribisha adui wa jirani yako nyumbani kwako, unategemea nini kama sio kutangaza vita na jirani yako.
 
[emoji298]️ More footage of the fire at the shopping center in Balashykha (Moscow, Russia). Video from local social networks.

[emoji117] Follow
@Flash_news_ua

[emoji298]️In Nyzhniokamsk (Russia) a fire broke out at a synthetic rubber factory.

The burning area is 10,000 square meters, — local media report.

Himars au [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mkuje huku vunjo karudi na zile video zake.video inasema wanajeshi mia 2.kwenye video hata mwanajeshi mmoja aliyekufa hakuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kwanza ilo jengo lenyewe hata wanajeshi 50 awawezi kulala humo.kwanza mwanajeshi analala front.
Baada ya mapigano wanajeshi wanafikia lodge

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom