Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna thread imeshafunguliwa tayari kuhusu hicho kichapo,kaifungue ujionee,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni udaku tu kama huu.wala hakun picha hata ya Wagner wa 2 waliokufa.kila mtu ukimuliza anasema nami nilisikia kwa flani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
 
Wamechezea kipigo cha mbwa koko
Screenshot_20221212-085600_Samsung Internet.jpg
 
The fall of bakhamut

Baadh ya wanajesh wa ukraine wameanza kusepa jiji hio

Siku zijazo tutasiki habari njema kuhusu jiji la liman
Niliona jana wameanza kuvunja madaraja ya kuelekea mji wa Slaviansk na kramatotsk ili isiangukie kwenye mikono ya Warusi kiwepesi.

Zelensk anasema wanachofanya Warusi kwa wanajeshi wao ni zaidi ya unyama

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Ni udaku tu kama huu.wala hakun picha hata ya Wagner wa 2 waliokufa.kila mtu ukimuliza anasema nami nilisikia kwa flani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
Video hii hapa zaidi ya 200 wamekaangwa kwenye hiyo kambi tazama hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Himars bado ni kiboko yao huko Melitopol kambi imepigwa mamia ya wanajeshi wa urusi wamekaangwa tazama video

Ni udaku tu kama huu.wala hakun picha hata ya Wagner wa 2 waliokufa.kila mtu ukimuliza anasema nami nilisikia kwa flani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
Njoo tena ubishe kenge wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niliona jana wameanza kuvunja madaraja ya kuelekea mji wa Slaviansk na kramatotsk ili isiangukie kwenye mikono ya Warusi kiwepesi.

Zelensk anasema wanachofanya Warusi kwa wanajeshi wao ni zaidi ya unyama

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
warusi kwa sasa wanasonga mbele kwa kasi sana
 
Cheki video hii

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mkuje huku vunjo karudi na zile video zake.video inasema wanajeshi mia 2.kwenye video hata mwanajeshi mmoja aliyekufa hakuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kwanza ilo jengo lenyewe hata wanajeshi 50 awawezi kulala humo.kwanza mwanajeshi analala front.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] yani Vunjo unanichekeshaga sana na video zako.uwa kabla ya kupost unapataga muda wa kuziangalia wewe mwenyewe?.au unapost tu
Kikubwa ni Himars imekaanga Wagner zaidi ya 200 kwenye kambi yao cheki video ingine hii

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mkuje huku vunjo karudi na zile video zake.video inasema wanajeshi mia 2.kwenye video hata mwanajeshi mmoja aliyekufa hakuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kwanza ilo jengo lenyewe hata wanajeshi 50 awawezi kulala humo.kwanza mwanajeshi analala front.
Sijui bado unabisha jamaa hawajakaangwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Himars kiboko yenu huwa haikosei maiti zimekutwa na wali mdomoni walikuwa wanapata dinner
Screenshot_20221212-094333_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom