Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Wanasonga kurudi Moscowwarusi kwa sasa wanasonga mbele kwa kasi sana

Soma kuhusu F-186 sabre.pia Soma kuhusu f 4 katika independent sources.zisome hizi katika Vietnam war air to air combat.Tutajadili mpaka mwakani sasa. Nawapeni hii source ina rekodi ya performance ya ndege zote zinazotumika duniani The combat statistics for all the aircraft currently in use | MiGFlug.com Blog
Point ya kuzingatia hapo ni kwamba ndege ya Urusi yenye positive kill to loss ratio ni Su-27. Nyingine zimepigwa mara nyingi zaidi kuliko zilivyopiga zenyewe. Marekani ina ndege mbili unbeaten na Urusi inayo ndege moja. Marekani ndege zake zote zina positive kill to loss ratio.
Hakuna hoja yoyote inayoweza kuiweka mbele ndege ya Mrusi. Huwa ubishi unakuwepo zikiwa kwenye maonyesho ila zikikutana vitani kelele zinaisha mnaanza kuongea kwa data. Hiyo article itakuonyesha list ya ndege ambazo hazijawahi tumika kama huyu jamaa anavyolalamika F-22 haijawahi. Sasa F-22 Marekani aitumie dhidi ya nani mwenye hadhi hiyo?
Marekani sio wajinga kuunda F-22 wakati F-15 air superiority fighter ikiwa na rekodi bora zaidi kuliko ndege zote. Technology hukua na new challenges hujitokeza.
Na sio lazima F-22 na F-35 ziwe na bei zaidi kisa ni stealth. Kuna F-15 variant ina bei kubwa ni F-15EX. Mtengenezaji Boeing na mnunuaji Air Force walikuwa kwenye mjadala mkali kuhusu bei ila Boeing imesema inaweza maintain $80 million per unit, bei inazidiwa kidogo na ya F-35 ya Lockheed Martin ambapo LM kadri wanavyouza units nyingi ndivyo wanapunguza bei na wanategemea after sales service kubwa kuliko Boeing wanavyotegemea kwa F-15.
Tofauti kubwa ni roles za hizi ndege na gharama za uendeshaji. F-35 na F-22 sio ndege za kushindia, ni ndege za kazi ngumu zikishamaliza zinawaachia kina F-16 na F-15. Zina mambo kibao mfano stealth skin zake inabidi zibadilishwe kila flights kadhaa
TomvamvebeKumbe sukuma la gamboshi wewe lkn unashabikia Ukana Mungu
Nyanoko bheTomvamvebe
SawaUS ndio super power no Moja Duniani siku zote na hili Wala haliwezi kuepukika na ata Russia afanyaje US ni no Moja tu.
Jambo Moja nalo penda kuwaambia ni hili US ndio taifa pekee ambalo limekua likiiwekea vikwazo Russia. Hii ikiwa na maana kwamba Taifa linaloweza kuweka vikwazo Kwa taifa jingine Hilo taifa ndio Lina nguvu kuliko jingine maana vikwazo vikiwekwa lazima uvisimamie Kwa kutumia jeshi
Sasa ni mara nyingi tu US anaweka vikwazo Kwa Russia na anavisimamia.
Kuhusu Russia kupiga mahesabu vibaya ule ulikua ni upofu wake tu.
Maana US na NATO mwaka 2014 wakati Russia anaivamia Crimea na kuichukia ni kwamba aliwawahi tu mataifa ya magharibi na ktk hesabu wakawa wamechelewa ndio maana Crimea ikawa imechukuliwa.
Lkn tangu hapo kwa miaka minane western countries wamekua wakiwafundisha sn wa Ukraine jeshi lao ila walikua hawapeleki silaha km wakati huu wa Vita.
Jambo la kujifunza ktk hii vita ni kwamba kuna wakati masilaha makubwa makubwa na mabomu mazito mazito yanaweza yasikusaidie kitu.
Na mataifa ya magharibi ktk technology ya silaha za kisasa yamepiga hatua kubwa sn kuliko Russia
Kitu kingine mataifa ya magharibi kushiriki vita nyingi Duniani kumeyapa uzoefu sn Russia ameonyesha kufail sn ktk hii vita na kusumbuliwa na silaha nyepesi nyepesi tu za kubebwa na watu tu.
Unamaanisha Urusi ni Supa-pawa wa mchongo ?...US ndio super power no Moja Duniani siku zote na hili Wala haliwezi kuepukika na ata Russia afanyaje US ni no Moja tu.
Jambo Moja nalo penda kuwaambia ni hili US ndio taifa pekee ambalo limekua likiiwekea vikwazo Russia. Hii ikiwa na maana kwamba Taifa linaloweza kuweka vikwazo Kwa taifa jingine Hilo taifa ndio Lina nguvu kuliko jingine maana vikwazo vikiwekwa lazima uvisimamie Kwa kutumia jeshi
Sasa ni mara nyingi tu US anaweka vikwazo Kwa Russia na anavisimamia.
Kuhusu Russia kupiga mahesabu vibaya ule ulikua ni upofu wake tu.
Maana US na NATO mwaka 2014 wakati Russia anaivamia Crimea na kuichukia ni kwamba aliwawahi tu mataifa ya magharibi na ktk hesabu wakawa wamechelewa ndio maana Crimea ikawa imechukuliwa.
Lkn tangu hapo kwa miaka minane western countries wamekua wakiwafundisha sn wa Ukraine jeshi lao ila walikua hawapeleki silaha km wakati huu wa Vita.
Jambo la kujifunza ktk hii vita ni kwamba kuna wakati masilaha makubwa makubwa na mabomu mazito mazito yanaweza yasikusaidie kitu.
Na mataifa ya magharibi ktk technology ya silaha za kisasa yamepiga hatua kubwa sn kuliko Russia
Kitu kingine mataifa ya magharibi kushiriki vita nyingi Duniani kumeyapa uzoefu sn Russia ameonyesha kufail sn ktk hii vita na kusumbuliwa na silaha nyepesi nyepesi tu za kubebwa na watu tu.
Kuna hatari kubwa gas ya Russia na machimbo ya mafuta kushambuliwa na hasa baada ya drones za Ukraine kuonyesha ufanisi mkubwa[emoji631][emoji1255][emoji635][emoji724][emoji362][emoji366][emoji298]️Vladimir Zelensky,in talks with Joe Biden,said that 50% of the country's energy infrastructure was destroyed after missile strikes.
Una mahaba mazito sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]US ndio super power no Moja Duniani siku zote na hili Wala haliwezi kuepukika na ata Russia afanyaje US ni no Moja tu.
Jambo Moja nalo penda kuwaambia ni hili US ndio taifa pekee ambalo limekua likiiwekea vikwazo Russia. Hii ikiwa na maana kwamba Taifa linaloweza kuweka vikwazo Kwa taifa jingine Hilo taifa ndio Lina nguvu kuliko jingine maana vikwazo vikiwekwa lazima uvisimamie Kwa kutumia jeshi
Sasa ni mara nyingi tu US anaweka vikwazo Kwa Russia na anavisimamia.
Kuhusu Russia kupiga mahesabu vibaya ule ulikua ni upofu wake tu.
Maana US na NATO mwaka 2014 wakati Russia anaivamia Crimea na kuichukia ni kwamba aliwawahi tu mataifa ya magharibi na ktk hesabu wakawa wamechelewa ndio maana Crimea ikawa imechukuliwa.
Lkn tangu hapo kwa miaka minane western countries wamekua wakiwafundisha sn wa Ukraine jeshi lao ila walikua hawapeleki silaha km wakati huu wa Vita.
Jambo la kujifunza ktk hii vita ni kwamba kuna wakati masilaha makubwa makubwa na mabomu mazito mazito yanaweza yasikusaidie kitu.
Na mataifa ya magharibi ktk technology ya silaha za kisasa yamepiga hatua kubwa sn kuliko Russia
Kitu kingine mataifa ya magharibi kushiriki vita nyingi Duniani kumeyapa uzoefu sn Russia ameonyesha kufail sn ktk hii vita na kusumbuliwa na silaha nyepesi nyepesi tu za kubebwa na watu tu.
Yes ni super power wa mchongo tuUnamaanisha Urusi ni Supa-pawa wa mchongo ?...
Sawa tu lkn ndio Hali HaliUna mahaba mazito sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yale manyuklia yote anayomiliki bado unamuita wa mchongo?...umesahau na vifaa kama S-400, Pantsir na ndege za ajabu kama SU-27 ?....bado gesi na mafuta ya kutosha...Yes ni super power wa mchongo tu
Yaani ingekua ni US ndo anapigana Ukraine basi sasa Zelensky angekua keshanyongwa
Chū gashi ulimunhū nkoiNyanoko bhe
Yaani kuna wakati hayo madude yote hayawezi kukusaidia kitu.Yale manyuklia yote anayomiliki bado unamuita wa mchongo?...umesahau na vifaa kama S-400, Pantsir na ndege za ajabu kama SU-27 ?....bado gesi na mafuta ya kutosha...
Woshageka obhebheChū gashi ulimunhū nkoi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chū gashi ulimunhū nkoi
Warusi wa JF wanadai jeshi la Ukraine lilishazidiwa kitambo, hao wanaopigana na Urusi ni askari wa NATO (foreign legion) ndio maana wanatoa upinzani mkaliYaani kuna wakati hayo madude yote hayawezi kukusaidia kitu.
Hebu tu jiulize US na washirika wake wamepeleka silaha Gani nzito nzito hapo Ukraine ambazo zimezuia Russia kufika Kyiv huku akiwa na hayo madude?
Russia anatumia midege yake yote, mi meli ya kivita na magari mavifaru na zana mbali mbali lkn kwanini anafail?
Huyu ni wa mchongo tu.