Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] yani Vunjo unanichekeshaga sana na video zako.uwa kabla ya kupost unapataga muda wa kuziangalia wewe mwenyewe?.au unapost tu
Njoo tena kenge wewe ubishe Wagner wamekaangwa zaidi ya 200

Screenshot_20221212-094952_Chrome.jpg
 
Ni 500,000 kijana,kwa sasa wapo mpakani mwa Belarus na Ukraine.Wanasubiri Jeshi la Anga liharibu miundo mbinu yote inayoweza kuiwezesha Ukraine kupigana Vita waingie kufagia.Believe me by Christmas Kyiv itakuwa imesha anguka.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

christmass ni next week
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

christmass ni next week
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Urusi asingefanya mis- calculation kwenye hii vita, lilikuwa ni taifa hambalo linainukia kwa Kasi kwenye nyanja zote, kivita, kiuchumi na kiteknolojia.., ukiangalia muda hambao ameweza kuhimili vitani akiwa na mzigo wa vikwazo huku vita ikiendelea kumgharimu unaweza kuona kwa upande mwingine lilikuwa taifa imara haswa.., binafsi sikuwahi kuwaza kwamba urusi ni taifa hambalo lilikuwa na nguvu kiasi hiki..ni bahati mbaya sana sijui Putin aliwezaje kukubali kirahisi ushauri aliopewa kwamba anaweza kuiteka Kiev ndani ya siku 3 kama sio wiki Moja,..,ni wazi Putin hakutegemea hizi danadana zinazoendelea, alitegemea amalize vita chapchap kisha aendelee na safari yake ya kuijenga misuli ya urusi izidi kuwa imara zaidi..,isingekuwa hii vita,huenda misuli ya marekani kama super pawer ingeendelea kufifia , lakini badala yake naona kupitia hii vita marekani anaendelea kuumudu vyema usukani wake wa usupapawa maana kwa vyovyote vile hii vita inamrudisha nyuma urusi miaka kadhaa .

Vipi umepata maelezo kuhusu suala nililokuambia?
 
Orthodox Church X-mas,January 6th or a few days after that.
Naona unaanza kuruka MITA mia..,hii inaonyesha kwamba wengi wenu Huwa hamshirikishi vyema ubongo wenu wakati wa kuandika humu.., ukweli ni kwamba mnaendeshwa na hisia baada ya frustration kuwapanda kichwani..,hapa najua utaokoteza hoja uchwara kama zote Ili ujitetee

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Waukrein wakili kuwa hawana kitungua makombora Cha kutungua makombora ya Rassia au Iran.

🇮🇷 🇷🇺 🇺🇦 Ukrainian air defense is not capable of shooting down Iranian ballistic missiles, Iskanders or S-300 missiles — the command of the AFU Air Force

The speaker of the AFU Air Force Command, Yuri Ignat, said that the existing air defense systems in service with Ukraine cannot shoot down missiles used by Russia.

He added that "Ballistics is currently unavailable for shooting down by air defense means that we have in service. Therefore, the most effective method of destroying these missiles is at the start, where they are located."
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Magaidi ya Ukraine yanalialia miundo mbinu ya umeme imebondwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221212-115010~2.jpg
Screenshot_20221212-115234.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Urusi asingefanya mis- calculation kwenye hii vita, lilikuwa ni taifa hambalo linainukia kwa Kasi kwenye nyanja zote, kivita, kiuchumi na kiteknolojia.., ukiangalia muda hambao ameweza kuhimili vitani akiwa na mzigo wa vikwazo huku vita ikiendelea kumgharimu unaweza kuona kwa upande mwingine lilikuwa taifa imara haswa.., binafsi sikuwahi kuwaza kwamba urusi ni taifa hambalo lilikuwa na nguvu kiasi hiki..ni bahati mbaya sana sijui Putin aliwezaje kukubali kirahisi ushauri aliopewa kwamba anaweza kuiteka Kiev ndani ya siku 3 kama sio wiki Moja,..,ni wazi Putin hakutegemea hizi danadana zinazoendelea, alitegemea amalize vita chapchap kisha aendelee na safari yake ya kuijenga misuli ya urusi izidi kuwa imara zaidi..,isingekuwa hii vita,huenda misuli ya marekani kama super pawer ingeendelea kufifia , lakini badala yake naona kupitia hii vita marekani anaendelea kuumudu vyema usukani wake wa usupapawa maana kwa vyovyote vile hii vita inamrudisha nyuma urusi miaka kadhaa .

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bora kalikoroga ili watu wajue uwezo wake halisi, kwa sasa hatamtishia yeyote yule.
Mwanzoni kila mtu alikuwa akimhofia, kuanzia USA na wengine wote maana mziki wake pale Syria ulikuwa hatari mno.

Na ndo maana US walitoa escape route ya Zelensky ila jamaa na wenzake wakagoma ondoka...

Na ndo maana hata sasa USA anajiamini kupeleka silaha zozote aonazo zinafaa.
Na ndo maana kasema Ukraine ana haki kushambulia ndani ya Urusi ( inatokana na miundombinu ya umeme kuharibiwa)

Option aliyobaki nayo Urusi ni Nukes
 
Ina maana F-22 haijawahi fanya mishe yeyote ?...hata kama supporting role ?....

Ila unaweza kuta haipishani Sana na F-15 au hata Rafale ya Ufaransa...sema inakuzwa tu sababu ya gharama kubwa ya uzalishaji
T14 Armata
Hata hivyo kiukweli ndege hizi bila kukutana na wenzie wa level na kizazi kimoja Ni uonevu mkuu kujisifu.
Kuna siku nitafrahi Sana Kama itatokea combat ya air to ya ndege advanced za kizazi Cha nne 4+ Kama Su 35 dhidi f 15E.
But kujisifu kua migs killer dhidi mig 21 si Jambo la maana
 
Muulize huyu Mayor wenu

[emoji298]️The mayor of the temporarily occupied Melitopol, Ivan Fedorov, said that after the attacks on Russian bases, there were many wounded and dead.

Moreover, there are not enough places in hospitals in Melitopol, so they are being taken to medical institutions of Crimea.
Fedorov si mrusi Wala si pro Russia Bali Ni m- Ukraine
 
Back
Top Bottom