Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Zelensk kasababisha Raia wa Ukraine wateseke na kuvuja damu ona machela zilivyo busy hata mda kuoshwa damu hakuna. Russia anawapumulia kisogoni [emoji23][emoji23][emoji23],,,, kweli siasa ni ujinga mkubwa
Screenshot_20221213-161826~2.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] Wanamgambo wa Ukraine wameamua kuishi kwenye mashimo Nguchiro ili kukwepa kunyakuliwa roho na Warusi
IMG_20221213_162422.jpg
IMG_20221213_162439.jpg
IMG_20221213_162445.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] Wanamgambo wa Ukraine wameamua kuishi kwenye mashimo Nguchiro ili kukwepa kunyakuliwa roho na WarusiView attachment 2445336View attachment 2445337View attachment 2445338

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wacha wapige kazi watapumzika wakifa..

No easy task in the battlefield.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] Russia atawamaliza hawa kenge duh,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2445243

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Angalau hawa wanakufa kwa heshima. na kuzikwa
ila upande wapili. hawapati nafas hata ya kuchukua miili ya wapendwa wao. wanaacha hadi askar wa ukraine [emoji1255] wanawazalilisha.
 
Kuliko Marekani?.....

zile Rafale ni kama F-16 tu sema zina engine mbili tu na kidogo ni nzito na zinaweza kutumika kwenye shambulizi la nyuklia.
T14 Armata
Rafale Ni too advanced japo si Kama isemwavyo f 22. katika NATO's drill (2009) katika UAE Rafale ilifanikiwa kuipiga f 22 katika dog fight. Licha ya hivyo katika drill hiyo iliyohusisha Ufaransa, England na US Rafale ilikua katika position ya be defeated by F 22 Mara 5 wakati Mara 6 f 22 na Rafale zilijiachia katika namna ya kuwa be defeated by another.
Katika mazoezi ya mwaka 2009 huko Alaska dege la kizazi Cha tatu la kifaransa Mirage 2000 likiendeshwa na mjerumani lilikua katika position ya kuipiga f 22 Mara 8 licha ya Mara kadhaa f 22 kuonekana kuwa superior dhidi ya mirage 2000.
Pia Mara kadhaa English Eurofighter Typhoon ilikua katika position ya kuiua f 22 katika close dogfight.
Nb.
Katika close Range f 22 Ni ndege ya kawaida kabisa Kama f 16 ama f 15 hasa inapokutana na strong adversary.
But f 22 imeendelea kuwa Bora zaidi kuona maadui na kujaribu kuua katika long range.
Lakini pia Ni vyema kuingia mitandaoni kujisomea zaidi.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Fire fight wa Ukraine kapambana kuzima moto mpaka kakata tamaa muda wote Russia anawasha moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20221213_171742.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️Poll: 85% of Ukrainians believe victory in war with Russia requires liberating all territories, including Crimea and Donbas.

According to a recent poll by Rating Group, 9% of Ukrainians would consider a victory in liberating territories controlled by Ukraine before Feb. 24.
 
[emoji298]️Poll: 85% of Ukrainians believe victory in war with Russia requires liberating all territories, including Crimea and Donbas.

According to a recent poll by Rating Group, 9% of Ukrainians would consider a victory in liberating territories controlled by Ukraine before Feb. 24.
[emoji778]️Kremlin: Ukraine should recognize the new territorial realities

[emoji617]Kremlin spokesman Dmitry Peskov: Moscow does not accept the peace proposal made by the President of Ukraine, Volodymyr Zelensky, which requires the withdrawal of Russian forces from Ukrainian territories. Kyiv must recognize the new territorial realities; The new realities include the annexation of four Ukrainian regions to Russian territory.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mkuje huku vunjo karudi na zile video zake.video inasema wanajeshi mia 2.kwenye video hata mwanajeshi mmoja aliyekufa hakuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kwanza ilo jengo lenyewe hata wanajeshi 50 awawezi kulala humo.kwanza mwanajeshi analala front.
Nadhani ulikuwa umebaki wewe tu, hamna mtu mwenye ubongo anaeangalia video za vunjo, ni kupotezeana muda tu.. Toka vunjo aweke hapa video ya makombora mawili yanashambulia daraja la crimea nilisema dah vunjo hamnazo
 
Bila kumsahau Grand Master heshima kubwa kwake natamanai Sana awe anachangia nilikuwa najifunza mengi Sana kwenye machangio yake Ila ndiyo hivo tena.. sasa imebaki kubishana na sio kuelimishana.
Mkuu binafsi nipo, kama walivyosema wengine ushabiki umeshika hatamu cha kujifunza hakuna ukichangia na uzee tulionao tukaona ni vyema kukaa kando. Nashukuru kwa kutambua uwepo wetu jukwaani.
 
Na kubwa kuliko ni kwamba Ukraine ikiingia mkataba uliokwenda Kwa jina la "mkataba wa Minsk" mkataba huo uliitaka Ukraine iache kuwaua/kuwatesa nk watu wa Donbass ila Ukraine haikutii huo mkataba ndipo kidume Vladimir Putin chuma Cha reli kikaingilia kati Kwa mambo mawili
1)Ukraine isijiunge na NATO
2)kuikombia Donbass na kuwa huru

Na kama hiyo haitoshi Bado Putin Yuko ndani ya reli ya Sheria za umoja wa mataifa, Sheria inasema kama Jimbo linataka lijitenge basi hakuna ulazima wa Jimbo hilo kuombw kibali kutoka makau makuu ya nchi

Ila Cha ajabu marekani na other westerners hawataki hilo, wanataka Donbass iendelee kuwa sehemu ya Ukraine alafu hapo hapo wanataka Taiwan ijitenge na china, wanataka Hong Kong ijitenge na china

Umeona walivyo ndumila kuwili?

Kuna wapuuzi huwa wanakuja na hoja wa mkataba wa Budapest bila kujua undani wa mkataba huo

Mkataba wa Budapest ulisainiwa mwaka 1994 chini ya marekani ukarine Russia na mataifa mengine kuwa urusi haitaivamia Ukraine, ila nyuma ya huo mkataba ni kwamba pindi Ukraine inataka kujitoa kutoka USSR ilipaswa I submit all nuclear warheads Kwa mrusi sababu ililazimika kusaini mkataba wa NPT wa mwaka 1968 Sasa Kwa hofu ya kwamba huenda likatokea la kutokea huko mbele ya safari ndipo ukraine ilipoomba mkataba wa kwamba haitavamiwa na ndo ulipokuja mkataba wa Budapest

Lakini mwaka 1997 Ukraine na urusi ziliingia mkataba kuwa ukarine haitajiunga na NATO

Sambamba na hilo pia mwaka 1990 urusi na NATO waliingia mkataba kuwa NATO hawatajipanua Kwa kuwapa uanachama mataifa ya ulaya mashariki nchi zilizopakana na urusi

Sasa twende tuangalie nani mkorofi

Mwaka 1999 NATO wakaisajili Poland mwaka 2004 NATO wakaisajili kina Lithuania na Latvia na baadae Estonia (hii ilikuwa ni kinyume kabisa na mkataba wa 1990 baina ya NATO na urusi)

Kuanzia miaka ya 2000 mwanzoni mwanzoni Ukraine ilianza ***** ***** za kutaka kujiunga na NATO (***** ***** za kutaka kukiuka mkataba wa 1997)

Mwaka 2008 Georgia ilitaka kujiunga na NATO Russia akaivamia akaipa kipigo kitakatifu ikatuli (hili lilikuwa ni somo Kwa Ukraine iachane na fukunguku za kutaka kujiunga na NATO ila haikutaka kusikia)

Mwaka 2010 mihemko ya Ukraine kutaka kujiunga na NATO ikazidi shamili kiasi Cha kutaka kuikaribisha marekani (NATO member) kuweka Kambi za kijeshi katika rasi ya Crimea(rasi ya urusi ambayo Ukraine walipewa mwaka 1954 bila mkataba)

Urusi ikaona kumbe hunijui Yani nakupa Simu Bure alafu wewe unataka kuwapa maadui zangu wamtongozee mke wangu

Mwaka 2014 urusi ikaamua kuinyakuwa Mali yake (ardhi ya Crimea)

Ukraine kuona hivyo ikajua Sasa huu ushakiwa msaala nikizubaa hapa huenda Kuna makubwa yatanikuta ni Bora nikimbilie polisi (kujiunga na NATO)

***** ***** za kujiunga na NATO zilipamba moto kuanzia mwaka 2019, Putin akaenda Vatican kuonana na papa na kumueleza kuhusu uchokozi wa mataifa ya magharibi namna yanavyotaka kuvunja mkatba wa 1990 na pia Ukraine inavyotaka kuvunja mkataba wa 1997

Papa akapuuzia

Mwaka 2022 mwanzoni ndo mihemko Kwa Ukraine ikapanda sana na kutaka kujiunga na NATO
Na mbaya zaidi NATO wakampa kichwa hakuna wa kukufanya chochote

Putin akatuma Wana diplomasia wake Brussels kujadiliana na NATO kuhusu hizo fukunguku kikao kilifanyika Kwa masaa manne bila kuzaa matunda

Ikabidi Putin amuandikie barua Biden kuhusu hiyo fukunyuku ya westerners kutaka kuisajili ukarine NATO

Ila Biden akaitupa barua kwenye dustbin na mbaya zaidi Hadi ka Estonia na kenyewe kakasikika kakisema "hayo madai ya urusi hayana nafsi na yanapaswa kupuuzwa"

Putin akasema kumbe hamnijui akapeleka mswaada bungeni wa kuivamia Ukraine na wabunge wote bila kujali tofauti zao wakapitisha Kwa sauti Moja tuivamie Ukraine

Ndipo Putin aliposukuma jeshi

Alafu Leo wanaanza kusema ooh Putin mkorofi, huyo papa anajidai eti kuumia sana Kwa mauaji yanayotokea Ukraine wakati alifatwa na Putin akapuuzia alitaka putin afanyaje?

Kwahiyo ukiiangalia kiundani utaona kuwa putina anaonekana kuvunja mkataba wa Budapest (kichaka ambacho wazee wa upinde [emoji304] wanakitumia kuilaumu urusi) ila wasijue aliyefanya mpaka urusi ivunje huo makataba ni hao hao Ukraine Kwa kutaka kuwakaribisha NATO wakae pale Ukraine, lakini pia hata hao NATO wamekuwa wakivunja mkataba wa mwaka 1990 Kwa kuwasajili kina Estonia, Lithuania Latvia na Poland

Sasa iweje NATO wakivunja mkataba iwe sawa lakini urusi ikitaja kuvunja mkataba iwe dhambi ?

Urusi imesukumwa kuivamia Ukraine ila haikuwa na hiyo Nia, wameichokoza wenyewe

Bibilia inasema aonywae mara nyingi akishupaza shingo yake itavunjika vipande vipande Wala hapati dawa na ndicho kinachompata Ukraine

C$P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo kiukweli ndege hizi bila kukutana na wenzie wa level na kizazi kimoja Ni uonevu mkuu kujisifu.
Kuna siku nitafrahi Sana Kama itatokea combat ya air to ya ndege advanced za kizazi Cha nne 4+ Kama Su 35 dhidi f 15E.
But kujisifu kua migs killer dhidi mig 21 si Jambo la maana
Tunakoelekea hili linazidi kushindikana. Leo tuna ndege zenye rada za masafa marefu na makombora ambayo ni beyond visual range(BVR), so haulazimiki kumsogelea adui mfanye dog fighting. Saizi unapigwa hujui hata aliekupiga alikuwa wapi. Ndege nyingi za Ukraine katika hii vita zimeangamizwa na Su-35 ambazo ziko armed na R-77 missiles.
 
Back
Top Bottom