Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Mimi nipoKaka umerudi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nipoKaka umerudi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa ivo ulitaka Urusi aishambulie Ukraine halafu aangaliwe tu?? Halafu si NATO wala West kama unavyodai, wanaoshiriki kupigana vita Ukraine.Na huu ndio ndio ushahidi usio na chembe ya mashaka kua Urusi inapigana na NATO na west wote.
Zamani Tanzania ilisimama na wanaoonewa. Siku hizi kila mtu na lwake!!Vunjo na Kipanya 44 muende kuwasaidia ndugu zenu maana wanazidi kuisha tu. Bakhmut inasababisha maafa
Sijakushika tako usiniletee nyodo. Patriot ina variants, phase ya sasa ni PAC-3 ambayo imeanza late 1990s na early 2000. Bado kuna variant ya 2010s sijui mwaka gani. Wakati Ukraine hizo defence systems walizoambulia wakati wanavunja USSR ndio hizohizo tangu 1991 na hapo zilikuwa za miaka ya nyuma yake. Wakati Russia inajitetea kuangusha ndege ya Malaysia ilisema BUK iliyotumika ilishakuwa decommissioned kwao Russia na imebaki Ukraine, system mbili tofauti.Yani unaongea pumba alafu ujui kabisa kuwa unaongea pumba.iyo Patriot ni ya mwaka gani.kama sio ya zaidi ya miaka 45 iliyopita.au uwa unakurupuka tu kuongea pasipo kujua.
kenge wa blue wewe.View attachment 2446597
Agreement ni aondoke maeneo yote.Putin kaanza kutia adabu......
Putin says 'an agreement will have to be reached' for Ukraine conflict to end
We chizi tu unalolote.mpumbavu mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]Sijakushika tako usiniletee nyodo. Patriot ina variants, phase ya sasa ni PAC-3 ambayo imeanza late 1990s na early 2000. Bado kuna variant ya 2010s sijui mwaka gani. Wakati Ukraine hizo defence systems walizoambulia wakati wanavunja USSR ndio hizohizo tangu 1991 na hapo zilikuwa za miaka ya nyuma yake. Wakati Russia inajitetea kuangusha ndege ya Malaysia ilisema BUK iliyotumika ilishakuwa decommissioned kwao Russia na imebaki Ukraine, system mbili tofauti.
Russia ana Su-30 ya 1990 mwanzoni na Su-30MKM ya 2007. Ukikutana na mtu anaita IPhone 7 na iPhone 12 ni sawasawa kisa ni brand moja huyo ni ng'ombe tu
Italy na France wanapeleka SAMP/TUrusi hakuwahi tawala anga la Kiev tangu lina BUK na S300 za miaka zaidi ya 30 iliyopita. Atawezaje tawala kwenye uwepo wa Patriot
Kwa iyo wapambane na hali zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zamani Tanzania ilisimama na wanaoonewa. Siku hizi kila mtu na lwake!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12] hii ni ndogo ya mchana kweupe.tuendelee tu na vita mshindi atapatikana vitaniAgreement ni aondoke maeneo yote.
Alipe gharama
Arudishe watu wote aliowateka kwenda Russia
Ukraine isijiunge NATO
Hizi ndo zilitumika FebruaryHapa hamna kipya hili lidege lipo huko tangu February na hakuna cha maana lilichofanya,hata HIMARS launcher moja limeshindwa kulocate
Monitoring of military airfields in #Belarus indicates that two more #Russian A-50s intelligence aircraft (AWACS) arrive at Baranovichi air base, about 420 km from the #Kyiv.
Hapana. Katika hili mimi nasimama na Ukraine. Ni kama Zanzibar wajitenge halafu Tanganyika ianze kuimiminia makombora Zanzibar. Itakuwa ni uonevu.Kwa iyo wapambane na hali zao
Ila hizi system ni very complex nadhani itachukua muda mpk ziingie kwenye ardhi ya Ukraine, inaweza chukua hata miezi 6....kama zile NASAMS tu zilichukua karibu 3months hizo Patriot sijui itachukua muda ganiItaly na France wanapeleka SAMP/T
Ujui chochote silaha zozote za kisasa zinszo.pelekwa ukrain zinakwenda na wanajeshi wa nchi iliyo zitoa ...ndiyo maana askari wa USA [emoji631] wengi tu wamekufa vitani zaidi ya elfuPatriot ni very complex zinahitaji training ya miezi mingi. Labda Marekani ilishachukua Ukrainians kuwafundisha. Zitafungwa hapo hapo Ukraine kuzuia long range cruise missiles (kama zikitolewa).
Suicide drones, short range missiles na jets zina defense systems nyingine kama SPAAG na NASAMS.
Soma hata systems za Iran au Israel kuelewa concept ya multilayered & integrated air defense.
Lakini mkuu uwezo wa hii mifumo mbona Kama imekaa kipropanda?Italy na France wanapeleka SAMP/T
Kwa Patriot kuna uwezekano mkubwa US ikapeleka contractors kuendesha ili kuzuia uwezekano wa transfer of techIla hizi system ni very complex nadhani itachukua muda mpk ziingie kwenye ardhi ya Ukraine, inaweza chukua hata miezi 6....kama zile NASAMS tu zilichukua karibu 3months hizo Patriot sijui itachukua muda gani
Lakini mkuu huo mfumo si ndo unailinda Saudia ? mbona kila siku ilikuwa inashindwa na Drone na makombora ya wauthi?Urusi hakuwahi tawala anga la Kiev tangu lina BUK na S300 za miaka zaidi ya 30 iliyopita. Atawezaje tawala kwenye uwepo wa Patriot
Kwa hiyo familia zao zikijulishwa na ww unakuwepo mpaka ujue majina yao?Askari wa Kimarekani sio wa Kirusi, lazima ungeona majina yao maana familia zao zingejulishwa
Wanautumiaje huo mfumo? Mambo ya kijeshi ni changamano sana wakati mwingine uhusisha vitu nje ya silaha ulizo nazo.Lakini mkuu huo mfumo si ndo unailinda Saudia ? mbona kila siku ilikuwa inashindwa na Drone na makombora ya wauthi?
Haiwezekani. Askari wa marekani ni mali ya Umma. Kifo kinapotokea ndugu wa karibu wanajulishwa, kisha taifa zima kupitia vyombo vya habari linajulishwa. Huwezi kupeleka Wanajeshi wa Marekani vitani kwa kificho. Mifumo ya uendeshaji wa nchi yao unazuia jambo hilo kutokea.Kwa hiyo familia zao zikijulishwa na ww unakuwepo mpaka ujue majina yao?