Kwanini TANESCO makao makuu yao yawe na emergency generator ya kutumia mafuta?
Kwanini Russia awe na S-400/S-300 na wakati huohuo awe na Pantsir, Tor na BUK. Kwanini asiwe na system moja tu.
Kila system ina kazi yake, system inayozuia na kumonitor ballistic missiles pale Marekani inaweza kuwa AEGIS ya kwenye meli au THAAD ya ardhini. Cruise missiles utakutana na Pantsir. Defense ya very valuable target ndio kama NASAMS.
Bado kuna vitu kama anti drone swam system, kuna SPAAG kama Gepard ya Ujerumani na vitu vingine. Kisa SCANIA 113 ni gari la mizigo huwezi bebea mzigo wa mfuko wa unga, kuna bodaboda uko.
Ukitaka kulaumu system ujue kazi yake kwanza. Siwezi ilaumu S-400 kushindwa kuzuia suicide drones kwenye base ya Russia last week, najua ni kazi ya wadogo kina Pantsir