Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa ivo ulitaka Urusi aishambulie Ukraine halafu aangaliwe tu?? Halafu si NATO wala West kama unavyodai, wanaoshiriki kupigana vita Ukraine.
Sawa bana,ila hesabu hazisemagi uongo.
Pelekeni silaha TU,changishaneni silaha TU
Tunasubiri Iron dome ya Israel.
Ili hesabu itimie na historia isomeke kua Urusi ailipigana na nusu ya Dunia.
 
Anga la Ukraine litakuwa salama dhidi ya drone za waajemi na litageuka hatari kwa marubani wa Urusi...
HIMARS kp kipanya44
Tupate tangazo toka kwa wadhamin al jazeera
Screenshot_20221214-202013.jpg
 
Mkuu mbona ujajibu swali langu?
Swali lako ni tata ndio maana nimekupa maelezo yanayoeleweka. Air defence system ni topic pana sana inahitaji muda kuisoma na kuielewa sio kulaumu tukio likitokea.

Umesema Saudi Arabia "kila siku" ilikuwa inashambuliwa wakati ina Patriot. Saudi Arabia ilishambuliwa na suicide drones za Houthi kwenye matenki ya mafuta ikiwa na Patriot system (ambazo sio kwa ajili ya kuzuia drones). After that time ikanunua systems za kuharibu suicide drones ndogo kama zile na matokeo yake ndio kama hivi
IMG_20221214_204156.jpg
IMG_20221214_204141.jpg
IMG_20221214_204121.jpg

Unategemea system inayoharibu kombora lenye 3000km/hr likiwa attitude ya 15,000 meters ndio hiyo hiyo itumike kwenye kidrone cha 300km/hr chenye kilo 3 za TNT kikiwa attitude ya 50 meters?
 
Hahahaha evidence iko wapi kuthibitisha madai ya kuliwa kwa Himars?!

Haitafanya chochote?! Leo Russia karusha kamikaze drones 13 lkn hakuna hata moja iliyofikia target zote zilitunguliwa mapema kabisa.
Kama hiyo mifumo haifanyi kazi nini kinafanya Russia aogope kuingiza ndege kwenye anga la Ukraine?!

Bombers za Urusi hazithubutu kugusa airspace ya Ukraine,zinarusha Makombora tokea Urusi kwenyewe au Belarus
Urusi siku akibahatisha Himars hata moja lazima atazipata zingine.

Na lazima ataonesha picha
 
Swali lako ni tata ndio maana nimekupa maelezo yanayoeleweka. Air defence system ni topic pana sana inahitaji muda kuisoma na kuielewa sio kulaumu tukio likitokea.

Umesema Saudi Arabia "kila siku" ilikuwa inashambuliwa wakati ina Patriot. Saudi Arabia ilishambuliwa na suicide drones za Houthi kwenye matenki ya mafuta ikiwa na Patriot system (ambazo sio kwa ajili ya kuzuia drones). After that time ikanunua systems za kuharibu suicide drones ndogo kama zile na matokeo yake ndio kama hiviView attachment 2446877View attachment 2446878View attachment 2446879

Unategemea system inayoharibu kombora lenye 3000km/hr likiwa attitude ya 15,000 meters ndio hiyo hiyo itumike kwenye kidrone cha 300km/hr chenye kilo 3 za TNT kikiwa attitude ya 50 meters?
Hasara tupu, hebu nipe makisio ya gharama in Tshs.
 
Hivi bado unaamini kabisa kuwa Hakuna mfumo hata mmoja wa himars umeliwa?
Endelea kuamini hivyo. But Patriot Kama ilivyo NASAMS, Iris T na sky nini ile haitafanya chochote dhidi ya bombers za kirusi.
Lakini pia Ni kazi ngumu kutungua missile za kirusi . Iskander missiles, kalibr. Utungue kwa kutumia Nini?
Tutajie ni HIMARS ngapi zimeharibiwa. Au unataka kukadiria kama kawaida ya taarifa za Peskov mpaka akataja idadi kubwa kuliko HIMARS zilizokuwa Ukraine. There is no evidence, no claimed kill
 
Upande wa ballistic missile naona Patriot imefanya na inaendelea kufanya vizuri Sana huko Saudia maana karibu kila mwezi lazima Saudi Arabia watungue kombora zinazorushwa na Houthi mpk stock yao ya patriot missiles ikapungua imebidi watoe order ya Makombora mengine 300.
 
Hakuna mdudu HIMARS ata mmoja Alie kufa huko Ukraine. Hao wadudu wote 20 wako mzigoni na wanapiga kz Kweli Kweli
 
Hivi bado unaamini kabisa kuwa Hakuna mfumo hata mmoja wa himars umeliwa?
Endelea kuamini hivyo. But Patriot Kama ilivyo NASAMS, Iris T na sky nini ile haitafanya chochote dhidi ya bombers za kirusi.
Lakini pia Ni kazi ngumu kutungua missile za kirusi . Iskander missiles, kalibr. Utungue kwa kutumia Nini?
Yote hayo yanatunguliwa tu na ndio maana unaweza kuona Russia kapunguza hayo mashambulizi ya anga
 
Upande wa ballistic missile naona Patriot imefanya na inaendelea kufanya vizuri Sana huko Saudia maana karibu kila mwezi lazima Saudi Arabia watungue kombora zinazorushwa na Houthi mpk stock yao ya patriot missiles ikapungua imebidi watoe order ya Makombora mengine 300.
Ila usisahau saudia ndo nchi ya kwanza kwenye uwanja wa vita kushambulia ndani na nnje kwa kutumia drone na missile.kiufupi anga lao lipo uchi
 
Sasa Mkuu data ndo zinanyesha hivyo halafu ww unabisha,hao Houthi mpaka Leo wanarusha Makombora ya Ballistic na msaidizi wao Mkuu ni Iran

Hizi ni baadhi ya interception ambazo Saudi imefanya dhidi ya Ballistic missiles

Saudi forces intercept ballistic missiles and drones fired from Yemen
The attack comes days after a drone strike on an airport in Saudi Arabia’s south left eight people wounded
Saudi forces intercept ballistic missiles and drones fired from Yemen

Saudi Arabia intercepts ballistic missile over Riyadh

Saudi defenses intercept ballistic missile launched by Yemen’s Houthi militia toward Jazan

Saudi Arabia: 7 missiles fired from Yemen, 1 killed from falling debris.
Saudi armed forces said they intercepted seven ballistic missiles on Sunday night
Saudi Arabia: 7 missiles fired from Yemen, 1 killed from falling debris | CNN

Saudi forces intercept two missiles over curfew-locked Riyadh

Saudi intercepts ballistic missile from Yemen: Coalition

Hizo interceptions zote zimefanywa na Patriot
Data hizi hizi zilitwambia kua IRAQ kuna silaha zamaangamizi

Samahani nimetoka nje ya mada MKUU [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom