Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

In Paris, about 70 countries and institutions pledged just over 1 billion euros ($1.05 billion) to help maintain Ukraine's water, food, energy, health and transportation in face of Russia's attacks, French Foreign Minister Catherine Colonna said.

* They also promised energy-efficient LED bulbs to ease power shortfalls and help Ukraine get through freezing winter months as Russia pounds the country's infrastructure.
katika historia za vita mbalimbali ziliwahi kupiganwa taifa moja dhidi ya jingine, hv kuna taifa lishawahi kupewa misaada mikubwa kama Ukraine? Je kuna vita ishawahi kuziunganisha nchi nyingi kuisaidia nchi nyingine kama tunavyoona Ukraine?
Nadhani hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ITR orodha ya wanajeshi wa marekani waliokufa Aghanstani. ukitaka na link hiyo hapo chini. Wenyewe wanadai walikufa wanajeshi wao 3,590

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani ule mwezi wa mwisho walikuwa wanashambulia kila siku zaidi ya mara 5 kwenye misafara yao au kwenye kambi zao.na kote huko walikuwa wanapoteza vichwa zaidi ya 50.

Mpaka wakamua kuondoka haikuwa kazi nyepesi, wataliban waliuwasha sana moto[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Hapo mpaka kuondoa wanajeshi lazima vichwa zaidi ya laki 3 au zaidi vilienda na maji
 
Kama lipo Uchi mbona ballistic missiles za Houthi hazipenyi?!
On 20 March 2022, The Saudi-led coalition reported that Houthis fired missiles and drones at Saudi energy and water desalination facilities, causing a temporary drop in output at a refinery but no casualties. Later on that day, another Aramco distribution plant was attacked in the Red Sea city of Jeddah, leading to a fire in one of the tanks, according to the Saudi-led coalition. The fire was controlled and did not result in any casualties

On 21 August 2016, a Saudi encampment in Najran was hit by a Houthi-fired Tochka ballistic missile, resulting in the deaths of at least 50 Saudi soldiers

On 24 January 2022, The Saudi-led Coalition said that two residents sustained minor injuries after the Houthis fired a ballistic missile that fell in the industrial area of Ahad Al-Masarihah in Jazan. The residents, of Sudanese and Bangladeshi origin, were wounded and workshops and civilian vehicles were damaged

On 21 November 2021, the Houthi military fired missiles at Aramco buildings. Even an airport was targeted. Saudi Arabia responded by carrying out an air strike.

On 21 October 2021, Houthi forces launched a ballistic missile attack on a Saudi military base in Jizan province. The attack left casualties. According to regional media and activists at least 6 Saudi officials and 12 other ranks were killed in the attack

On 26 August 2019, Houthi rebels fired a total of 10 Badr-1 ballistic missiles at the Jizan Airport in southwest Saudi Arabia. The retaliatory attack led to dozens of killings and injuries. Riyadh claimed that it intercepted six out of 10 missiles fired from Yemen.[96] The same day Houthi forces reported an ambush of a group of Saudi led forces in Jabara Valley as part of Operation Victory from God.

On 28 August 2016, Saudi officials stated that a rocketothers
from Yemen hit a family's home in Saudi Arabia, killing two children and wounding five others

Hakuna mfumo hapo.wala sio kitu kipya kwenye uwanja wa vita
 
Hakuna mfumo ambao uko sawa 100% hizo incident chache Sana haziwezi ondoa ukweli kwamba Patriot imefanya vizuri Sana kuilinda Saudi Arabia dhidi ya Makombora ya Houthi la sivyo miundombinu yote ya Aramco ss hv ingekua majivu.
 
Laki 3 ni wanajeshi wadogo sana kwenye uwanja wa vita .tena vita yenyewe ina miaka 20.wakati Urusi na Ukraine zina miezi ila tunasema wanajeshi waliokufa wanafika laki 2
Hizo vita zinafanana?? Yaani Marekani kule Afaghanstan alikuwa anapigana vita kama hii ya Ukraine na Urusi? Huna takwimu na huna haki ya kuaminiwa kwa unachokisema!!
 
Hakuna mfumo ambao uko sawa 100% hizo incident chache Sana haziwezi ondoa ukweli kwamba Patriot imefanya vizuri Sana kuilinda Saudi Arabia dhidi ya Makombora ya Houthi la sivyo miundombinu yote ya Aramco ss hv ingekua majivu.
Hii mifumo ya kutungua makombora inafanya kazi kwa asilimia 60 tu kwa iyo sio ya kutegemea sana.ni bora uwe unafanya patrol angani na ndege vita kuliko kuamini hii mifumo.unaweza ukageuka majivu muda wowote ule
 
Hizo vita zinafanana?? Yaani Marekani kule Afaghanstan alikuwa anapigana vita kama hii ya Ukraine na Urusi? Huna takwimu na huna haki ya kuaminiwa kwa unachokisema!!
Tena Afghanistan ni vita mbaya sana maana sehemu kubwa ya nchi ni milima na mabonde.kuna sehemu mnasonga front kwa kutembea tu.

Sio vita nyepesi kabisa.
 
Hizo vita zinafanana?? Yaani Marekani kule Afaghanstan alikuwa anapigana vita kama hii ya Ukraine na Urusi? Huna takwimu na huna haki ya kuaminiwa kwa unachokisema!!
Tena marekani alikuwa anapigana vita mbaya na ya hatari sana.mpaka raia wenyewe wa Afghanistan walikuwa wanatafuta silaha wanawavizia wamarekani.yani kwa kifupi marekani alikuwa anapigana na Taliban na raia kwa wakati mmoja.
 
Hii mifumo ya kutungua makombora inafanya kazi kwa asilimia 60 tu kwa iyo sio ya kutegemea sana.ni bora uwe unafanya patrol angani na ndege vita kuliko kuamini hii mifumo.unaweza ukageuka majivu muda wowote ule
Vifaru vyako ulivyopost juzi vimeanza kushughulikiwa

#Ukraine: A T-90M, the most modern Russian tank deployed in Ukraine, was taken out of action by a Ukrainian Skif ATGM strike in the East, along with another tank.
 
Tena marekani alikuwa anapigana vita mbaya na ya hatari sana.mpaka raia wenyewe wa Afghanistan walikuwa wanatafuta silaha wanawavizia wamarekani.yani kwa kifupi marekani alikuwa anapigana na Taliban na raia kwa wakati mmoja.
Sio kweli. wale walikuwa wanasaidia upande mmoja lakini siyo walikuwa wanakwenda field.
 
Marekani Afghanstan walikuwa hawapigani vita. Tafuta taarifa sahihi. Ufaransa moja Morocco bila. Ngoja kwanza tuangalie mpira.
Sasa kama walikuwa awapigani ilikuwaje mpaka Taliban wakapoteza mamlaka ya nchi?.[emoji23][emoji23][emoji23]. Maana Taliban walikuwa wanaongoza nchi, Marekani akaingiza jeshi mpaka Taliban wakachia ngazi wakarudi nyuma kujipanga.sasa unasemaje marekani alikuwa hapigani
 
Back
Top Bottom