Russia hana huo uwezo wa kupigana na Dunia ata siku Moja
Nilitegemea kama una akili ya kiutu uzima,lakini kumbe bado sana.
Hivi ukisikia msemo unaosema "asiefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu" unaelewaje?.
Kwa akili Yako utaniambia kua watu wa Dunia nzima watakaa sehemu moja kumfunza mtu huyo..
Russia kupigana na Dunia nzima nimetumia kama msamiati,nikimaanisha nchi kubwa zenye uwezo zote zilizo na chiki na Urusi zimeshapeleka silaha zao.
Kuanzia na USA Canada,UK France,German,Spain,Italy,Poland,na NATO wote.
Ongeza Australia,na wengine.
Nyingine zimeshiriki kupigana na Urusi kwa njia ya vikwazo kama Japan na nyinginezo
Sasa tunasubiri Israel nayo ipeleke silaha zake.
Mpaka hapa utaona kua Urusi inapigana na sehemu kubwa sana ya ma Giant wa Dunia.
Sasa kwa akili Yako changa huwezi kujiuliza Urusi inawezaje kupiga na marafiki zake kama akina china,Korea Kaskazini,Iran,Iraq,Syria Afrika, south America au latin,na former Soviet states za east na middle east?
Vitu vingine unatakia uwe unaelewa kiutu uzima TU.
Niambie ni nchi Gani kubwa ya west au NATO ambayo bado haijapeleka silaha Ukraine?