Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Huyo ni shoga lazima aungane na nyieJean-Claude Van Damme and Slava Ukraini.
.....
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huyo ni shoga lazima aungane na nyieJean-Claude Van Damme and Slava Ukraini.
.....
Sehem gani jeshi limeenda kwa kifichoIran kwanza siyo Adui namba moja wa Marekani. Bush alitoa taarifa zisizo sahihi kwamba Iraq inamiliki silaha za maangamizi ya halaiki (Weapon of Mass Destruction - WMD) bungeni. Lakini hakupeleka wanajeshi wa Marekani vitani kwa kificho.
Hayo mambo ya kufanya vitu kwa kificho yanawezekana zaidi kwenye nchi za kikomunist.
Fuatilia kwanza mazungumzo yalihusu nini ndipo uchangie!!Sehem gani jeshi limeenda kwa kificho
Mtaongea yote mwaka huu. Putin yupo TU anaendekeza kichapo.
Swali lako linajibika.Sasa na mm ndio maana nime kuuliza kuwa majina ya walio kufa nchini Afghanistan unayajua?
Akikujibu nitag[emoji3]Swali lako linajibika.
Lakini kwanza jibu la kwangu. Hao wanajeshi 1,000 wamarekani waliokufa vitani Ukraine, takwimu zake zinapatikana wapi??
Ubishi wa kijingaAskari wa Kimarekani sio wa Kirusi, lazima ungeona majina yao maana familia zao zingejulishwa
Tusubiri na kuona mkuuMpaka hapo Urusi haitaweza kutawala anga la Kyiv, japo drone za kiajemi zitaendelea kusumbua.
T14 Armata Sela Son
Kwamba huwa huoni picha za hao mercenariesAskari wa Kimarekani sio wa Kirusi, lazima ungeona majina yao maana familia zao zingejulishwa
Askari kufa siyo issue kwa marekani ngoja siku ukweli watausema wenyewe ni zaidi ya askari 1000 wa USA wamekwenda na maji ....wewe unafikiri kinachowapa nguvu askari wa ukrain kupigana ni nini ? Sini sababu kwenye kila safu ya kijeshi ya ukrain kuna makamanda wamechanganywa na NATO NA USA hivyo waukrain wanapata moyo wa kupambana wakijua awafi pekeyao hadi sasa wanajeshi wa nato waliokufa wamefika 9,000Hizi takwimu za wanajeshi wa marekani waliokufa Ukraine ziko wapi na siye wengine tujionee kwa macho yetu!!?? Wamerakani wafe zaidi ya 1,000 Washington kuwe kumetulia vile, Senate na House of Representatives wawe kimya.
Yaani Marekani ipeleke Askari wake zaidi ya 1,000 Ukraine kwa kificho? Unajua Congress ya marekani inavyofanya kazi na Ikulu ya nchi hiyo? Ukiwa kiongozi wa Marekani huwezi kufanya mambo kienyeji kama ukiwa kiongozi wa Urusi.
Nimesha kwambia mm sijaleta habari yeyote inayo husiana na Marekani kupeleka wana jeshi nchini Ukraine mbona hunielewi?Swali lako linajibika.
Lakini kwanza jibu la kwangu. Hao wanajeshi 1,000 wamarekani waliokufa vitani Ukraine, takwimu zake zinapatikana wapi??
Hivi bado unaamini kabisa kuwa Hakuna mfumo hata mmoja wa himars umeliwa?Hata HIMARS alisema hivyohivyo matokeo yake Leo ni mwezi wa 10 haijaidaka hata moja
Ha ha Ili kumshtaki Nani?UK kufundisha majaji 90 kutoka Ukraine jinsi ya kusimamia kesi za kivita.
Tayari Majaji kadhaa wako UK wakifundishwa katika sehemu isiyojulikana
Hahahaha evidence iko wapi kuthibitisha madai ya kuliwa kwa Himars?!Hivi bado unaamini kabisa kuwa Hakuna mfumo hata mmoja wa himars umeliwa?
Endelea kuamini hivyo. But Patriot Kama ilivyo NASAMS, Iris T na sky nini ile haitafanya chochote dhidi ya bombers za kirusi.
Lakini pia Ni kazi ngumu kutungua missile za kirusi . Iskander missiles, kalibr. Utungue kwa kutumia Nini?
West wanajisahaulisha wamesahau kuhusu mfumo ule unaolinda pia ikulu ya Marekani wa kuitwa NASAMS?Uko sahihi.
Taarifa za intelligensia za West zinasema Iran ipo mbioni kuipa Russia ballistic missile ambazo kwa mifumo ya sasa aliyopewa Ukraine haina uwezo wa kutungua hayo Makombora ndio maana wanataka kupelekea Patriot.
Lakini pia tusisahau Patriot ina uwezo wa kutungua Cruise missiles.
Hata Italy nilisikia wanataka kupeleka SAMP/T air defense,hii nayo inaweza kudaka Ballistic Missiles.
Kwamba NASAMS zimefanyaje?!West wanajisahaulisha wamesahau kuhusu mfumo ule unaolinda pia ikulu ya Marekani wa kuitwa NASAMS?
Nb. Hapo Ukraine mamia ya silaha za kirusi na west yapo majaribioni kuona uhai na udhaifu wake hasa inapokutana na adui mwenye nguvu.
Dadekiiiii
[emoji298]️France and Italy approved Ukraine's request for the supply of Mamba air defense systems (SAMP-T).
This was stated by the Ambassador of France to Ukraine Etienne de Ponsin during hearings in the National Assembly of France.
Na bila kulikamata hilo anga kikamilifu bhas Mrusi atakua na Hali mbaya sanaAnga la Ukraine litakuwa salama dhidi ya drone za waajemi na litageuka hatari kwa marubani wa Urusi...
HIMARS kp kipanya44