Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Boss wa Wagner atembelea iliyokua kambi ya Wagner ambayo ilishambuliwa na HIMARS,maiti za Wagner zimetapakaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani hakuna mtu muongo kama wewe hapa duniani.yani kambi ishambuliwe alafu iwe ivyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Iyo ni sehemu ya kuifadhi maiti za wanajeshi wa kundi la Wagner.wanaokufa wanakuja kuifadhiwa hapo ili kupata record ya kila mtu.
 
Mwaka huu mbona mtaelewa tu

Embu tazama hapo chini uone jinsi Rocket za Himars aina ya M30A1 ambazo zinakua na zaidi ya 180,000 tungstens steel (kuna mahali huyo Reporter ameshika baadh ya tungsten Steel) zilivyounguza kina Wagner[emoji23].

Halafu warusi Kwa propaganda,wanatuambia Ukraine imeshambulia Hospitali ya Raia wakati hayo mawagner ndo mtindo wao siku hizi kuchukua mashule,hotels,na kufanya kama kambi.

Video ambayo Boss WA Wagner alitembelea hapohapo hii hapa chini

Reports:
[emoji1255]HIMARS attack on #Pervomaisk town ~25km east of #Bakhmut on #PMC "Wagner" barracks with ~70 dead
 
Yani wewe na vunjo ni baba mmoja mama mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni huzuni kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20221214_140612.jpg
 
[emoji298]️From today, the UK will stop importing liquefied natural gas from Russia, – the country's Foreign Ministry.

"From January 1, 2023, the UK will stop all imports of Russian liquefied natural gas and support countries around the world in reducing their own dependence (on Russian gas - ed.)", – the ministry emphasized.
 
[emoji298]️More than 20,000 servicemen of the Armed Forces of Ukraine have already received training abroad. Such figures were provided by the deputy chief of the Main Operational Department of the General Staff, Oleksii Hromov.

He specifies that the training of the Ukrainian military is conducted in Poland, the Czech Republic, Slovakia and the US forces in Germany. In 2022, brigade headquarters, as well as units at the battalion, company, artillery battery, and air defense battery were trained abroad.
 
Back
Top Bottom