Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilichojifunza kwenye hii vita siku unayozidiwa kiintelijensia basi hapo hapo adui yako anaitumia faida hiyo.

Ukraine walijuaje kambi hiyo ya siri hata wakaweza kuishambulia.

Russia alijuaje kama hoteli ile aliyoipiga kombora jana inakaliwa na wataalamu kutoka nje ya ukraine.

Kumbe vita hutegemea zaidi taarifa na si ukubwa wa silaha.

Hakuna pigo baya kuliko ambush

Nilichojifunza kwenye hii vita siku unayozidiwa kiintelijensia basi hapo hapo adui yako anaitumia faida hiyo.

Ukraine walijuaje kambi hiyo ya siri hata wakaweza kuishambulia.

Russia alijuaje kama hoteli ile aliyoipiga kombora jana inakaliwa na wataalamu kutoka nje ya ukraine.

Kumbe vita hutegemea zaidi taarifa na si ukubwa wa silaha.

Hakuna pigo baya kuliko ambush

Uko sahihi Mkuu...kuna kamsemo ka kiingereza kanasema "Information is power".

Hivi unadhani Ukraine hata angepewa hayo masilaha bila ya kua na information juu ya target muhimu za Russia si Leo angekua hajakomboa hata mtaa mmoja.

Mwezi October pia walipiga hoteli ambapo walifikia Chenchen,karibu 30 wakafa palepale wengine wakajeruhiwa. Mwezi huu mwanzoni walipiga hoteli ambayo walifikia Wagner napo wengi walikufa.

Ni mwendo wa kuviziana tu,ukizubaa unapigwa pigo takatifu.
 
Katika hii vita hasara aliyo ipata Urusi kwa asilia 80 imesababishwa na jeshi la anga kutotimiza majukumu yake ipasavyo.

Sijui ndani ya jeshi la Urusi kuna mamruki
Wanafanya makusudi ili kuwakomoa wana siasa ?

Maana haiwezekani nchi yenye jeshi la anga lenye ndege zaidi 4000 na herkopita zaidi ya 1000 na ambayo ni muuzaji mkubwa wa mifumo ya ulinzi wa anga duniani eti ishindwe kulinda misafara yake.

Hata wanajeshi wa ardhini wa Urusi wamekuwa hawapati msaada wa kutosha angani hasa ndege za kudondosha mabomu ili kuyadidimiza mahandaki ambayo wanajeshi wa Ukraine wana kuwa wanajificha kitu kinacho wapa faida ya kufanya Ambush za kudhutukiza na kuyarudisha nyuma majeshi ya Urusi kirahisi.
Mm ningekuwa Putin mkuu wa jeshi la anga asingekuwa na kazi.
Umeonaaee...
 
Usiku huu

8 Grad rockets were fired at "Al-Omar" oil field located in eastern Syria and near the Iraqi border, where US base is located.

US forces responded by shelling the vicinity of "Mazar Ain Ali" region in the desert of the city of Al-Qurayyah
 
Hivi unakumbuka ule msafara wa Urusi wa 64km uliokua ukielekea Kiev?! Unatumaje msafara mrefu vile bila kua na air cover?! Hatima yake ni nini?! Si ule msafara wote uliharibiwa na Ukraine Kwa Javellin na NLAW za Ukraine alizopewa na Marekani na Uingereza,had warusi wakachanganyikiwa ikabidi wabadili mawazo waachane na Kiev waende kule South ambako walikua wapo kabla hata ya Vita kuanza.
Supa-pawa alionyesha udhaifu mkubwa.
Wala wasiwasi wangu juu ya uwezo wake haujaanza vita hii, ule upinzani wa Uturuki waliouonesha pale Libya, Syria na Azerbaijan dhidi ya Russia nilianza kuwa na wasiwasi na silaha za Urusi.

Russian airforce zile fighters zao walizifunga electronic jamming pods ila zikawa zinadondoshwa kama kawaida. Technology yao sio kubwa sana
Zile SU's generation zime-under perform.
 
Nalala ila naendelea kuamini hakuna mashambulizi yaliyofanywa na Ukraine ndani ya miji ya Urusi leo kama alivoripoti jasusi misheni town Axel Lloyd. Leo nimeshinda kwenye tv ila sijaiona hii habari zaidi ya kumuona Zelensky analia na kumlaani Putin wakati jasusi wa viwanja na nyumba za kupanga ndugu Axel Lloyd anasema drone zote za Urusi zilitunguliwa
Ukraine says 45 Iranian-made drones shot down on New Year’s Eve

ERBIL, Kurdistan Region - The Ukrainian Air Force Command on Sunday said that Russia attacked the country with 45 Iranian-made drones on New Year’s Eve, but “did not manage to spoil the holiday” as all of the drones were successfully shot down.

The attack was carried out using “Iranian-made Shahed-131/136 kamikaze drones,” according to a statement from the command which noted that 13 out of the 45 drones were shot down in 2022, while the other 32 were shot down in 2023.

Photos published on social media by Andriy Nebytov, the head of Kyiv's regional police force, showed the wreckage of some of the drones that were downed by the Ukrainian forces, which had “Happy New Year” and “Boom” written on them in Russian.
https://www.rudaw.net/english/world/01012023
 
Air defenses za Ukraine zinashusha Shaheed muda huu

[emoji298]️The downing of a kamikaze drone by Ukrainian aviation.

Attention: the video contains profanity!
 
Kama ivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]







 
Macho yako yanaona kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
20230102_080621.jpg
 
[emoji298]️More than 20,000 servicemen of the Armed Forces of Ukraine have already received training abroad. Such figures were provided by the deputy chief of the Main Operational Department of the General Staff, Oleksii Hromov.

He specifies that the training of the Ukrainian military is conducted in Poland, the Czech Republic, Slovakia and the US forces in Germany. In 2022, brigade headquarters, as well as units at the battalion, company, artillery battery, and air defense battery were trained abroad.
Mwenzetu wale 300,000 walipokea training kweli?
 
[emoji298]️The Czech Republic has officially terminated cooperation with the Russian Joint Institute for Nuclear Research in connection with the full-scale invasion of the Russian Federation into Ukraine, — Czech Radio.
 
Mbona training fupi hivyo?

Nimesikia wanaitisha mobilization nyingine
Kaka ilibidi iwe hivyo maana watu wako vitani mpinzani anaongeza mashambulizi kulikua hakuna muda wa kupoteza si unaona hata Ukraine wanavyopewa mafunzo ya fasta ya silaha. Hizi NASAMS mafunzo yake kikawaida ni miezi 6 na zaidi lkn Ukraine walitumia Nusu yake na tayari wameshazizoea.
 
Weapons and Systems given to Ukraine[emoji1255] that changed the war
Javelins- 2020
Stingers- February
Star Streak- March
M777 Howitzers- April
Brimstone and Harpoons- May
HIMARS and M270s- June
HARM- July
IRIS-T- October
NASAMS- November
Patriot- December (Pledged)
Predictions for 2023??
IMG_20230102_092238.jpg
 
Ukraine wazisifia NASAMS baada ya kutungua drone 45 usiku wa mwaka mpya,waomba kuongezewa nyingine.

Ukraine used NASAMS systems to shoot down drones attacking the country yesterday. Despite having learned to operate them only a few weeks ago, our military used them almost like artillery, reloading them as fast as possible. This use case is probably a first in history. 1/2

The highly successful use of these weapons shows that our soldiers learn fast, and their work is effective. Western weapons in Ukraine are already helping to prevent death and destruction. The more modern weapons, the lower the risk to human life becomes. 2/2


The speaker of the Air Force of Ukraine, Yuriy Ignat, said that on New Year's Eve, NASAMS air defense systems barely had time to reload launchers due to the mass attack of kamikaze drones on Kyiv. He also noted that hardly any other army in the world has such combat experience.


Section of an AIM-120 AMRAAM from a Ukrainian NASAMS air defense system, Kyiv.
20230102_094324.jpg
20230102_094344.jpg
 
Back
Top Bottom