Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Halafu nakukumbusha tu kwamba January 6,ni Ijumaa ya wiki hii[emoji16]Tusubiri.
Halafu nakukumbusha tu kwamba January 6,ni Ijumaa ya wiki hii[emoji16]Tusubiri.
Hahahaha haamini anachokiona,kapigwa na kitu kizito kichwani [emoji23]Mkuu hii habari ni wewe umeipost? Au Kuna mtu kadukua akaunt yako!!
Bora nimei-quote Ili usiweze kuifta[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi na-post ukweli wote,I am rational,sichagui.Hata hivyo sitatetea uovu wa nchi za magharibi hata kidogo.I will always call a spade a spade.Mkuu hii habari ni wewe umeipost? Au Kuna mtu kadukua akaunt yako!!
Bora nimei-quote Ili usiweze kuifta[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Leo kidogo naona amekuwa muungwana,skutegemea kama anaweza kuripot habari kama hii [emoji23]Hahahaha haamini anachokiona,kapigwa na kitu kizito kichwani [emoji23]
Nilishakujibu kuhusu hili,acha kuvalia njuga upuuzi.Halafu nakukumbusha tu kwamba January 6,ni Ijumaa ya wiki hii[emoji16]View attachment 2466467
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunasubiri tukio kubwa January 6Nilishakujibu kuhusu hili,acha kuvalia njuga upuuzi.
Hilo tukio lingetokea upande wa Ukraine Leo angejitapa kwamba ule utabiri wake aliotabiri mwezi uliopita umetimia [emoji23][emoji23][emoji23]Leo kidogo naona amekuwa muungwana,skutegemea kama anaweza kuripot habari kama hii [emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu,Wacha tu urusi amalizie hasira kwa kugonga infrastructure..,watu 600 kulambishwa mchanga kwa wakati mmoja sio mchezoHimars zimeunguza vibaka wa kirusi[emoji23]
Mimi na-post ukweli wote,sichagui.Hata hivyo sitatetea uovu wa nchi za magharibi hata kidogo.I will always call a spade a spade.Yes,that is me.Kwa nini nifiche taarifa,kwani mimi ni Mrusi.Leo kidogo naona amekuwa muungwana,skutegemea kama anaweza kuripot habari kama hii [emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kinachowaponza viongozi wa Russia wanasema ni slavic wenzao na ndiyo asili mama ya kwao (kama hilo ni la kweli) lakini kwa Ukraine ni upande mwengine hawajali. Wanachojua ni kuwaua kabisa na ndiyo maana hata POW wa Russia wakikamatwa wanafanyiwa unyama kweli.Mimi na-post ukweli wote,sichagui.Hata hivyo sitatetea uovu wa nchi za magharibi hata kidogo.I call a spade a spade.Yes,this is me.Kwanini nifiche taarifa,kwani mimi ni Mrusi.Ila kama the West watashinda in this war,itakuwa na maana kwamba uovu umeshinda,which won't be good news for the World,sema watu kama ninyi hamjitambui.
[emoji298]️A small reconnaissance unmanned aerial vehicle, launched from the territory of Ukraine, was detected and shot down by air defense means on the approach to Voronezh (Russia) tonight, the government of the Voronezh region reports.Naona Ukraine nayo siku za hivi karibuni inazidisha mashambulizi ndani ya Urusi
[emoji298]️This morning a Ukrainian UAV attacked the Klimovsk district of the Bryansk region, — Governor Alexander Bogomaz.
The power supply facility was damaged, due to which there is no electricity in the village. Bogomaz claims that there are no victims after the attack.
View attachment 2466494
Yeah, ni kweli mkuu,Russia wanawaona Ukranians kama kaka zao na dada zao because they are not only joined by History,but by ethinicity.:they are all SlavsKinachowaponza viongozi wa Russia wanasema ni slavic wenzao na ndiyo asili mama ya kwao (kama hilo ni la kweli) lakini kwa Ukraine ni upande mwengine hawajali. Wanachojua ni kuwaua kabisa na ndiyo maana hata POW wa Russia wakikamatwa wanafanyiwa unyama kweli.
Sasa mke wa anduje naona unatoa siri za mumeoHivi vita imeshakuwa nightmare kwa Andunje .
Sitaki kuamini kama Bwana Andunje alitegemea vita hivi vingechukua muda mrefu kiasi hiki na alijiandaa kwa hilo🤔
Yaani Urus alaze wanajesh wake wote hao sehem mmoja tena ktk Vita !!!?Mkuu,Wacha tu urusi amalizie hasira kwa kugonga infrastructure..,watu 600 kulambishwa mchanga kwa wakati mmoja sio mchezo
Ukipita sehemu ilipolala miili ya watu 600 unaweza kuchanganyikiwa,hao watu ni wengi mno 🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama hivi au sio[emoji23][emoji23][emoji23]UTASIKIA TUMETUNGUA DRONE.LAKINI BADO WANAKULA KIPIGO KUMBE ZILE DRONE IKITUNGUA ULE MLIPUKO WAKE UNASONGA MBELE KUDADEKI
Kwa hali jinsi inavyoendelea Ukraine haiwezi ikarudi mezani kama Russia inataka iwe hivyo! Russia kama inataka kuwarudisha Ukraine mezani inawabidi wafanye unyama wa hali ya juu utakaowafanya Ukraine wasalimu wenyewe amri!Yeah, ni kweli mkuu,Russia wanawaona Ukranians kama kaka zao na dada zao because they are not only joined by History,but by ethinicity.:they are all Slavs
Slavs - Wikipedia
Kwa bahati mbaya,Ukranians do not take Russians as such,and hence the brutal treatment of Russians.Nadhani ni wakati muafaka Sasa wa Russia kubadili mtizamo huo,na start treating Ukranians as foes.