Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama hivi au sio[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️This morning a Ukrainian UAV attacked the Klimovsk district of the Bryansk region(Russia), — Governor Alexander Bogomaz.

The power supply facility was damaged, due to which there is no electricity in the village. Bogomaz claims that there are no victims after the attack.

Kumbe ni kaki jiji tena ka mpakani ha ha ha ha japo habari ni.ya mashaka maana mlipuko huo sio mgeni kwenye macho yangu
 
Kwa hali jinsi inavyoendelea Ukraine haiwezi ikarudi mezani kama Russia inataka iwe hivyo! Russia kama inataka kuwarudisha Ukraine mezani inawabidi wafanye unyama wa hali ya juu utakaowafanya Ukraine wasalimu wenyewe amri!

Mbali na hapo hakuna kitakachobadilika na Russia inaweza ikapata madhara makubwa ijapokuwa linaweza likatokea moja moja ila yatakuwa ni makubwa yenye kuleta hasara kubwa kwao.
Huu ndio mtazamo wa wachambuzi wengi mkuu👍.Vita hii wanayoiendesha Urusi ya "slow motion" haitawasaidia sana,eventually itawagharimu sana in terms of manpower and financial resources.What they needed to do right from the beginning was to hit Ukraine with one very heavy devastating blow,including wiping out all decision making centres in Kyiv.This was suggested way back in February,before the West heard time to consolidate.Frankly Putin amefanya makosa mengi millitarily,na hii sasa inamgharimu sana.
 
HIMARS zimepeleka msiba Kremlin, hawaamini wanachokiona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Daniil Bessonov, press officer for the so-called DPR, laments that [emoji635] command still aren't taking HIMARS seriously. Lots of finger pointing (which triggered many, see below). Big fan of bunkers too.

t.me/NeoficialniyBe…

20230102_123531.jpg
 
Huu ndio mtazamo wa wachambuzi wengi mkuu👍.Vita hii wanayoiendesha Urusi ya "slow motion" haitawasaidia sana,eventually itawagharimu sana in terms of manpower and financial resources.What they need to do is to inlict Ukraine with one very heavy devastating blow,including wiping out all decing making centres in Kyiv.This was suggested way back in February,before even the West heard time to consolidate.Frankly Putin amefanya makosa mengi millitarily,na hii sasa inamgharimu sana.
Shukrani Mkuu.

Unaweza ukaipitia tena nimeongezea baadhi ya nyama. Na nina imani utajazilizia zaidi ili tufaidike zaidi.

Natanguliza shukrani.
 
Vita hii wanayoiendesha Urusi ya "slow motion" haitawasaidia sana,eventually itawagharimu sana in terms of manpower and financial resources
Ewaaa!

Binafsi hiki kitu ndicho ambacho na mimi najiuliza. Pengine ile minong'ono ya kwamba baadhi ya majenerali wa Russia hawapendezwi na mwenendo wa kivita anaokwenda nao Putin inaweza ikawa ni kweli.

Na moja ya ishara ni siku ambayo kamanda mpya wa Russia alivyoingia kwa siku moja tu kashambulia takribani majimbo 5+ ya Ukraine. Majenerali wa Russia walifurahishwa na hili.

Ijapokuwa tunaunda tu taswira zetu hatuna uhakika kamili lakini hata kama ikiwa ni propaganda napo kwenye propaganda kuna ukweli kiasi. Sidhani kama mbeleni majenerali wanaweza wakakubaliana naye (Putin) waendelee kwa namna hii na vita unapoteza watu (wanajeshi) hali ya kuwa nyenzo za kuiondoa hii hali zipo!
 
Bw. Axel Lloyd

Swali nje ya mada! Upo likizo ya kikazi?

Kwa sababu una post hupumziki! Na kwa bahati mbaya wengine wakichelewa 2/4 ya Uzi unaujaza wewe! [emoji16][emoji16]
Ndugu Hammaz watu tukiwa busy mnasema tunakimbia Uzi,tukipost tunajaza Uzi...sasa lipi jema??

Anyways,week hii yote nipo free hivyo mtanisamehe tu.
 
Drone zote zimeshushwa! Debris ndo zimeharibu baadhi ya nyumba za Raia

Russia sent a wave of Iranian suicide drones against Kyiv for the midnight celebrations of NYE.

In this video, you can hear a family cheering as the drone is taken down by it defense.
Sasa ilikuaje hii damage ikatokea MKUU

[emoji635][emoji3575][emoji95][emoji1255][emoji362][emoji298]️"Energy infrastructure facilities have been damaged in Kiev," Kiev mayor Vitali Klitschko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia Trophy Merkava imefanikiwa kujilinda dhidi ya Kornet lakini still hakuna mfumo wa Ulinzi wenye ufanisi 100%

During the fighting between Israel and Hamas in Gaza in the summer of 2014, of the 15 anti-tank missiles which launched on Israeli tanks that were intercepted by the Israeli active protection system Trophy, most were of the Kornet type. In some cases the Kornet launchers were destroyed after the Trophy system had detected the launch and directed the tank's main gun to the launcher position.[45]
9M133 Kornet
Hamas !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom