Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
MKUU NAOMBA SOURCE YA HII HABARI , CHOMBO GANI CHA HABARI KIMETANGAZA MAANA NIMEANGALIA VYOMBA VYA HABARI VIKUBWA SIJAONA.Ukraine anashambulia Russia muda huu
Happy new year Russia
BREAKING:
Explosions reported in Kursk, Belgorod, Voronezh and Rostov moments ago.
The picture is from Rostov.
Happy New Year’s Eve to Russia from Ukraine.View attachment 2464984
Oleksiy Danilov, the head of the National Security and Defense Council of Ukraine, has sent a New Year’s greeting to the Russian people.
He decided to remind that the every Russian will feel the consequences of the war sooner or later as the war drags on.
Kaiulize hiyo merkava kilichoikuta baada ya kuingia kwenye 18 za hezbollah 2006..iligeuzwa kuwa raw materialHapo Ukraine havijatumika ?.
Ile ya Israel ( Merkava) nayo inasemwa ni bora sana kama tu hiyo Abrams, tena hata ikishambuliwa kuna uwezekano wa crew kutoka hai kwa namna ilivyotengenezwa.
T14 Armata HIMARS Axel Lloyd
[emoji23][emoji23][emoji23] achana na huyo jamaa uwa anatafuta views,video zake uwa ni zakuokota okota tu.kuna uyo bwan, pia yupo na pacha wake anaitwa Vunjo.akipata support kutoka kwa shoga yao Kipanya44[emoji23][emoji23][emoji23]MKUU NAOMBA SOURCE YA HII HABARI , CHOMBO GANI CHA HABARI KIMETANGAZA MAANA NIMEANGALIA VYOMBA VYA HABARI VIKUBWA SIJAONA.
Inawezekana ikawa propaganda
Mekava katika history inaonesha ili be knocked out na Konet ATGM katika 2006.Hapo Ukraine havijatumika ?.
Ile ya Israel ( Merkava) nayo inasemwa ni bora sana kama tu hiyo Abrams, tena hata ikishambuliwa kuna uwezekano wa crew kutoka hai kwa namna ilivyotengenezwa.
T14 Armata HIMARS Axel Lloyd
Zimebaki story tu siku izi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635].Zawadi ya mwaka mpya kwa majeshi ya urusi huko Ukraine View attachment 2465369
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Niltegemea kuona ammunition depot,au vifaru,au magari ya kivita yaliyoharibika,, badala yake unaonesha picha za magari ya kiraia tu yaliyoharibika.., urusi hajawahi kulenga valuable target,Zimebaki story tu siku izi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635].
Hii ni makao makuu ya police ya mkoa wa liman.R.I.PView attachment 2465371
Hi picha bila shaka Ni ya palymira au allepo Syria na si ukraine
Yah!Hi picha bila shaka Ni ya palymira au allepo Syria na si ukraine
Source hata ya wa magharibi plizUkraine anashambulia Russia muda huu
Happy new year Russia
BREAKING:
Explosions reported in Kursk, Belgorod, Voronezh and Rostov moments ago.
The picture is from Rostov.
Happy New Year’s Eve to Russia from Ukraine.View attachment 2464984
Aisee ni rahisi kumtoa mtu kwenye mazingira ya upumbavu ila sio rahisi kutoa upumbavu kwenye kichwa cha mtu...achana na huyo jamaa anayejiita kp kipanya44 huyu yupo inbed na west na hata aone madudu yao vipi bado atajaribu kuyatakasaWew dogo huwa Ni msenge Sana ,
Propaganda! Mzee wa habari za mchongo!Mkuu wa kundi la Wagner group awatembelea wafugwa wa kivita wa Ukraine na kuwapa zawadi ya mwaka mpya.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kama wewe unavyoonekana kuwa mgumu kuacha upumbavu sio?Aisee ni rahisi kumtoa mtu kwenye mazingira ya upumbavu ila sio rahisi kutoa upumbavu kwenye kichwa cha mtu...achana na huyo jamaa anayejiita kp kipanya44 huyu yupo inbed na west na hata aone madudu yao vipi bado atajaribu kuyatakasa
Ulitegemea media za west zitoe taarifa ya targets zilizopigwa za kijeshi za Ukraine?Huwa wanakimbilia kuonesha tu makazi yaliyoharibika!Niltegemea kuona ammunition depot,au vifaru,au magari ya kivita yaliyoharibika,, badala yake unaonesha picha za magari ya kiraia tu yaliyoharibika.., urusi hajawahi kulenga valuable target,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app