Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi uhakika wa hii habari upoje? Nisaidie tafadhali!

Nimekunywa dawa inanipa usingizi nahisi muda si mrefu nitalala.
Ni kweli Askari wa Russia wameuawa karibu dozani 5 yaani 63...wamepigwa na mizinga ya Himmars kwenye temporary camp...hii ni kwa mujibu wa RT...hiyo ya Askari 600 kwa mujibu wa Ukraine media ambazo hunukuliwa na media za west siyo ajabu kwani figure hizi huwa exaggerated Mara 10 au zaidi....
I'll vifo hivi vya Askari 63 ni pigo kwa Russia ....Lakini ikumbukwe kuwa mashambulizi ya Russia Mara kadhaa yamekuwa yakiua zaidi ya Askari 100 kwa siku...wasiwasi wangu binafsi tangazo hili la Russia kuhusu vifo vya Askari wake 63 Lina maana yake katika Vita hivi....tusubiri what follows...
 
kumbe kuna mkubwa jana alikua anafundishwa ku hit target katika vita. muda umefika russia aachane na soft target anazo lenga pale Ukraine.
warusia wa buza anatuvunja moyo sana.
fikiria hili.
makombora yote anayo tupa kuanzia odesa hadi kyiv angechagua target moja tu ya bakhmut halaf awamu nyingine anachagua target nyingine
bakhmut asinge hangaika nayo miez nenda rud.
anakua kama vita ameanza leo bwana aah.
 
KAZI IPO

[emoji298]️ Poll: Most Ukrainians against territorial concessions.

A poll conducted by the Kyiv International Institute of Sociology in December said 85% of Ukrainians believe that no territorial concessions to Russia are acceptable, “even if because of this the war may last longer.”

KIIS indicated that the language spoken by respondents did not appear to significantly impact the results, as 89% of Ukrainian-speaking, 76% of Russian-speaking, and 86% of bilingual respondents said they opposed territorial concessions to Russia.
 
Ni kweli Askari wa Russia wameuawa karibu dozani 5 yaani 63...wamepigwa na mizinga ya Himmars kwenye temporary camp...hii ni kwa mujibu wa RT...hiyo ya Askari 600 kwa mujibu wa Ukraine media ambazo hunukuliwa na media za west siyo ajabu kwani figure hizi huwa exaggerated Mara 10 au zaidi....
I'll vifo hivi vya Askari 63 ni pigo kwa Russia ....Lakini ikumbukwe kuwa mashambulizi ya Russia Mara kadhaa yamekuwa yakiua zaidi ya Askari 100 kwa siku...wasiwasi wangu binafsi tangazo hili la Russia kuhusu vifo vya Askari wake 63 Lina maana yake katika Vita hivi....tusubiri what follows...
Na ukiona urusi kakiri kwamba 63 wamelambishwa mchanga,basi pia jiulize idadi ya majeruhi ikoje

Na ukweli ni kwamba hakuna taifa lolote linaloweza kutoa idadi kamili ya askari wake waliolambishwa mchanga.., hivyo idadi kamili ya askari waliokufa inabidi ujiongeze mwenyewe,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Aliye sema vifaru havina faida ni huyo huyo .
Kwa vita ya ardhini vifaru vitaendelea kuwa muhimu sema baada ya hii vita nchi nyingi zitajikita kwenye kuviboresha ili visiharibiwe kirahisi maana kwenye hii vita vinaharubiwa kirahisi sana.
Kuboresha vifaru kunahitaji gharama pia. Kitu cha muhimu ni mbinu za kuvitumia na matumizi ya combined arms. Sio kama Russia ilienda na msafara wa magari bila air cover na haikutoa logistics za kutosha.
Bado vinahitaji uvilinde dhidi ya artillery, hapo uwe na counter battery radar na artillery zako ziwe precise na range nzuri.

Uvipe infantry, kifaru hakitembei peke yake njiani inabidi wawepo wanajeshi wasio mbali sana wa kukilinda na kuteka sehemu wakati kinatoa firepower kupiga fortified areas na heavy vehicles nyingine kisha infantry zipambane wa infantry wenzake. Russia walikuwa overstretched sehemu nyingine vifaru vilienda vyenyewe au na infantry wachache.

Na vifaru viko effective nyikani sio vizuri kwenye urban warfare. Kuvilinda mjini ni kazi zaidi ndio Russia walikuja na BMPT Terminator (pichani) ambayo on paper ni nzuri ila kwenye operation haijafanya vizuri na iko deployed kiasi kidogo, ni zana mpya hata haiko mass produced
IMG_20230102_200655.jpg

Russia kwenye miji ya Ukraine vifaru vyake vilikuwa vinatembea vyenyewe maadui wanafanya suppression fire kwa gunner anafunga cupola/hatch anaingia ndani kisha adui anakuja na grenade anafungua hatch anadondosha. Au anakuja na Molotov cocktail karibu anawasha moto anarushia kifaru.

Na mambo mengine. Silaha za kupiga vifaru zipo ni vigumu kuzikwepa ila kuna tactics za kuzifanya zisiweze kutumika. Na hata zikitumika viharibike vichache. Ukijichanganya kuacha vifaru na IFV utakuwa na mobility ndogo sana na ni hasara kubwa zaidi.

Kuna sehemu nilisoma sikumbuki wapi ila walisema kwa Marekani gharama ya kufundisha crew ya kifaru ni kama nusu ya gharama ya kifaru chenyewe. Russia ni wazembe kwenye training ya silaha nyingi zaidi ni kwenye fighter jets, training ni budget allocation na accountability ya hiyo budget kitu kigumu kwenye jeshi la Urusi. Kadri unavyotrain ndivyo ajari na kupoteza vifaa hutokea, wear and tear inatokea na inabidi ununue spare parts hasa hasa gun barrel ambayo ina accuracy kwa idadi ya shots kadhaa (picha ni ya barrel ya rocket launcher, ya pili ni ya tank na cross section ikionyesha APFSDS projectile)
20230102_110657.jpg

610ab86ae9169ce6c05ab0030b3a0807875fdab9.jpeg

Na hapo unanunua shells za kufanyia mazoezi, na kila muda fulani haohao wanajeshi wanaojua inabidi uwarudishe ground wajikumbushe na wawe na uzoefu. Tofauti na hapo tutalaumu watengenezaji wa silaha pekee.

Training ni muhimu jeshini. Na silaha zina nidhamu yake ukiachana na nidhamu kwa serikali na makamanda. Maintenance, matumizi sahihi, uhifadhi, nk hiyo ni nidhamu kwa silaha. Naamini vifaru haviondoki vitani ndani ya hii miaka 50 ijayo
 
Attachments

  • 20230102_110657.jpg
    20230102_110657.jpg
    50 KB · Views: 17
Wengi wa watu wataona mbn Ukraine wanafanya mambo yasiyotarajiwa kwenye ardhi ya urusi na urusi yuko tu idly by bila reaponse ya maana.

Kuna mambo mengi hapo na Urusi anaact kwa uangalifu sana with strategy wala sio kwa kukurupuka na mihemko. Mimi kwa mtazamo wangu nahisi response ya Urusi ni kinyume na inavyotarajiwa na wengi kwa sababu;-

1. Kwanza, Nyingi ya taarifa zinazoletwa zimejazwa chumvi. Propaganda. Inategemea na upande unapoptoa taarifa. Sasa hivi hata tukio la kawaida tu alimradi litaashiria udhaifu wa Urusi litahusishwa na vita. Situation kwenye ground ni tofauti kbs. Na Kremlin hawawezi fanya maamuzi kwa kufuata propaganda za namna hii. Inakuingia akilini anga la Ukraine linalolindwa na s300 drone zote zinazotumwa zinadunguliwa alaf anga la Urusi linalolindwa na s400 drone zikitumwa zinafika!? Basi ni muda tu hatuna ila tungeanza kuchambua kila taarifa ya kila tukio inayotumwa hapa kupitia vyanzo mbalimbali ili tujaribu kupata picha ya hali halisi ya propaganda kwenye hii saga.

2. Labda Response ya kukurupuka kutoka kwa Urusi ndio hasa kusudio la Ukraine! Urusi hawezi kucheza mziki/kwenda na mdundo wa Ukraine. Zipo sababu kwa nini Urusi hakuanza mashambulizi mazito hapo mwanzo. Sababu hizo hizo ndio zinazofanya anakwenda kwa step along tha way. Hakuna sababu ya kuacha plan yako ya vita ukikimbilia kujibu shambulio lililofeli la drone kwenye ardhi yako.

3. Urusi wanaupima uwezo wao wa kivita wenyewe na hawajali wengine wanasema nini! Hakuna haja ya kufanya mambo nje ya plan zako ili tu uprove kwa dunia kwamba unaweza. Ikiwa wewe unajua kwamba unaweza basi inatosha. The rest of the world's opinion doesn't matter. Lengo la propaganda na uongo kwenye baadhi ya report ni kuonesha udhaifu wa Urusi. Urusi yeye anajua sio dhaifu ndio maana hahitaji kufanya jambo kubwa ili tu aprove hasa kama hilo jambo haliko kwenye plans zake kwa sasa. Ndio maana Surovikin aliomba kuhamisha wanajeshi ukingo wa pili wa mto dnipro na akasifiwa na Shoigu licha ya kuwa the rest waliona kama ni dalili ya udhaifu. Haina haja ya kuabandon wanajeshi wako wafe eti unataka usionekane mdhaifu.

Mwisho, Wapo wanaosema Urusi hakutegemea kama vita ingechukua muda mrefu hivi. Pengine wao ndio hawakutegemea. Kwa mzigo wa vikwazo na misaada waliyompa Ukraine walikuwa na uhakika kbs it was only a matter of time kbl Urusi hajarudisha majeshi nyuma na kuregret kuingia Ukraine.

Vita kuchukua muda mrefu ni swala la kumpongeza Urusi considering all circumstances.
i. Misaada. Juzi Biden wamtetangaza kifurushi kingine cha msaada kwa Ukraine cha dola bilioni 45. Endapo kifurushi hiki kikipitishwa bungeni (which is most likely to happen) Kwa jumla ukichanganya na zile za mwanzo ni zaidi ya dola bilioni 90 kutoka US tu ndani ya miezi 10. Hicho ni kiwango kikubwa kuliko bajeti yote ya defence ya urusi kwa miezi 12. Bado msaada kutoka ulaya na mataifa mengine. Unawezaje kupigana na taifa linalosaidiwa namna hii kutoka mataifa yenye nguvu duniani kwa miezi kumi bila kuyumba huku ukifanya advances!?
ii. Mwanzo wanajeshi wa Urusi waliokuwa deployed Ukraine ni around laki 2.5 to 3. Hawa wanashikilia zaidi ya kilomita laki za mraba imagine hiyo line ya frontline ni ndefu kiasi gani kuanzia kharkiv mpk kherson!? Dhidi ya jeshi la Ukraine lililokuwa na wanajeshi 300k jumlisha mobilization iliyofanyika nchi nzima na wanaume kuzuiwa kutoka jumlisha maelf ya foreign mercenaries.
iii. Vikwazo
iv. Style ya upiganaji wa urusi yenye kujali zaidi maisha ya raia na wanajeshi wake.
Mahaba na Russia yakuua mkuu wenzako kina Jesus Mlokozi sijui wapo wapi.
 
Kwa mujibu wa taharifa iliyoletwa na Mathanzua askari waliuwawa ni haohao 600
Kama hutaki kuamini vyanzo vya magharibi,basi muamini huyo pro Russia mwenzio

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kipanya taarifa niliyoleta ilikuwa haijawa verified from other sources.The verified figure from other independent sources ni 63 Russian soldiers dead,soma taarifa yangu tena,kuna updates.
 
Mwanzoni ulikutana na source zinazo exaggerate information.....
 
Sio kama Russia ilienda na msafara wa magari bila air cover na haikutoa logistics za kutosha.
Bado vinahitaji uvilinde dhidi ya artillery, hapo uwe na counter battery radar na artillery zako ziwe precise na range nzuri.
Hii mbinu ya Ukraine kuepuka 'tank battle' imewasaidia kiasi fulani, maana kwa wingi wa vifaru walivyokuwa navyo Warusi huenda vifaru vya Ukraine vingi vingeharibiwa.
 
Wengi wa watu wataona mbn Ukraine wanafanya mambo yasiyotarajiwa kwenye ardhi ya urusi na urusi yuko tu idly by bila reaponse ya maana.

Kuna mambo mengi hapo na Urusi anaact kwa uangalifu sana with strategy wala sio kwa kukurupuka na mihemko. Mimi kwa mtazamo wangu nahisi response ya Urusi ni kinyume na inavyotarajiwa na wengi kwa sababu;-

1. Kwanza, Nyingi ya taarifa zinazoletwa zimejazwa chumvi. Propaganda. Inategemea na upande unapoptoa taarifa. Sasa hivi hata tukio la kawaida tu alimradi litaashiria udhaifu wa Urusi litahusishwa na vita. Situation kwenye ground ni tofauti kbs. Na Kremlin hawawezi fanya maamuzi kwa kufuata propaganda za namna hii. Inakuingia akilini anga la Ukraine linalolindwa na s300 drone zote zinazotumwa zinadunguliwa alaf anga la Urusi linalolindwa na s400 drone zikitumwa zinafika!? Basi ni muda tu hatuna ila tungeanza kuchambua kila taarifa ya kila tukio inayotumwa hapa kupitia vyanzo mbalimbali ili tujaribu kupata picha ya hali halisi ya propaganda kwenye hii saga.

2. Labda Response ya kukurupuka kutoka kwa Urusi ndio hasa kusudio la Ukraine! Urusi hawezi kucheza mziki/kwenda na mdundo wa Ukraine. Zipo sababu kwa nini Urusi hakuanza mashambulizi mazito hapo mwanzo. Sababu hizo hizo ndio zinazofanya anakwenda kwa step along tha way. Hakuna sababu ya kuacha plan yako ya vita ukikimbilia kujibu shambulio lililofeli la drone kwenye ardhi yako.

3. Urusi wanaupima uwezo wao wa kivita wenyewe na hawajali wengine wanasema nini! Hakuna haja ya kufanya mambo nje ya plan zako ili tu uprove kwa dunia kwamba unaweza. Ikiwa wewe unajua kwamba unaweza basi inatosha. The rest of the world's opinion doesn't matter. Lengo la propaganda na uongo kwenye baadhi ya report ni kuonesha udhaifu wa Urusi. Urusi yeye anajua sio dhaifu ndio maana hahitaji kufanya jambo kubwa ili tu aprove hasa kama hilo jambo haliko kwenye plans zake kwa sasa. Ndio maana Surovikin aliomba kuhamisha wanajeshi ukingo wa pili wa mto dnipro na akasifiwa na Shoigu licha ya kuwa the rest waliona kama ni dalili ya udhaifu. Haina haja ya kuabandon wanajeshi wako wafe eti unataka usionekane mdhaifu.

Mwisho, Wapo wanaosema Urusi hakutegemea kama vita ingechukua muda mrefu hivi. Pengine wao ndio hawakutegemea. Kwa mzigo wa vikwazo na misaada waliyompa Ukraine walikuwa na uhakika kbs it was only a matter of time kbl Urusi hajarudisha majeshi nyuma na kuregret kuingia Ukraine.

Vita kuchukua muda mrefu ni swala la kumpongeza Urusi considering all circumstances.
i. Misaada. Juzi Biden wamtetangaza kifurushi kingine cha msaada kwa Ukraine cha dola bilioni 45. Endapo kifurushi hiki kikipitishwa bungeni (which is most likely to happen) Kwa jumla ukichanganya na zile za mwanzo ni zaidi ya dola bilioni 90 kutoka US tu ndani ya miezi 10. Hicho ni kiwango kikubwa kuliko bajeti yote ya defence ya urusi kwa miezi 12. Bado msaada kutoka ulaya na mataifa mengine. Unawezaje kupigana na taifa linalosaidiwa namna hii kutoka mataifa yenye nguvu duniani kwa miezi kumi bila kuyumba huku ukifanya advances!?
ii. Mwanzo wanajeshi wa Urusi waliokuwa deployed Ukraine ni around laki 2.5 to 3. Hawa wanashikilia zaidi ya kilomita laki za mraba imagine hiyo line ya frontline ni ndefu kiasi gani kuanzia kharkiv mpk kherson!? Dhidi ya jeshi la Ukraine lililokuwa na wanajeshi 300k jumlisha mobilization iliyofanyika nchi nzima na wanaume kuzuiwa kutoka jumlisha maelf ya foreign mercenaries.
iii. Vikwazo
iv. Style ya upiganaji wa urusi yenye kujali zaidi maisha ya raia na wanajeshi wake.
Wakuelewa watakuelewa

Hua nawaambia hapa kina Tsh shida tunataka SMO iende tunavyotaka sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kila zinapoharibiwa zaangukia kwenye miundo msingi ya umeme na majii

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila zinapoharibiwa tazama vizuri taarifa yako,kuna zinazoharibiwa karibu na makazi ya watu debris zikianguka zinavunja majumba,kama kwenye shambulizi la drone ambalo Russia ilifanya tar 28/12/2022 drone zikitunguliwa kwenye makazi ya watu zile falling debris zikaharibu makazi ya watu na kuua Mtu mmoja.

Halafu Russia hua harushi drone pekee,siku anachanganya anarusha drone,Cruise missiles halafu anamalizia na MLRS.
 
Back
Top Bottom