Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Papa bwana
Maana sinumeona video za askari wenu wanaanza kugoma kupigana hawawataki wakubwa. HaoAkifukuzwa huko Ukraine lengo la kumpigisha danadana litakuwa halijatimia.., urusi anaitaji kupigishwa danadana muda mrefu Ili apate kilema Cha maisha aache kuwasumbua wakubwa wakati Wanafanya mambo yao
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nyie mamruki wataisha huko jamani
Anajisahaulisha kwamba huyo sio mamluki wa kwanza na Wala hotokuwa wa mwisho katika vita hii,Kama ni mgeni wa vita labda lakin most of hawa watu wanaenda wenyewe kwa kujitolea lakin wanajua wanajitolea kwenye vita. Death and other thing are just outcome, it comes with the job
TUNAONBA IDADI YA MAMLUKI WA RUSSIA WALIOKUFA NA WALIOKIMBIA KUTOKA UKRAINE NA WA UKRAINE VILE VILE.Anajisahaulisha kwamba huyo sio mamluki wa kwanza na Wala hotokuwa wa mwisho katika vita hii,
Russia mwenyewe kakodi mamluki wa Wagner kujaribu kuikamata bakhumut..,raia wa Zambia aliuwawa mchana kweupe akipigana upande wa urusi..,uko Crimea maafisa wa jeshi la Iran walilambishwa mchanga wakati wakiwa katika majukumu ya kuisaidia urusi.., lakini jamaa anajifanya hayaoni yote hayo,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Basi hata na wa URUSI ni hivyo hivyo mkuu. 🥱🥱🥱Kama ni mgeni wa vita labda lakin most of hawa watu wanaenda wenyewe kwa kujitolea lakin wanajua wanajitolea kwenye vita. Death and other thing are just outcome, it comes with the job
Hiyo video ya miezi mitano iliyopita..,hauna current videos?TUNAONBA IDADI YA MAMLUKI WA RUSSIA WALIOKUFA NA WALIOKIMBIA KUTOKA UKRAINE NA WA UKRAINE VILE VILE.
MAANA MIMI NAONA WA UKRAINE WANAKIMBIA TUU WANARUDI KWAO.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji115]
Canadian fighting in Ukraine describes the "hell" he witnessed
Jamaa alikuwa pamoja na sniper wali NAYE kasepa.
Ndio alisema hiyo ikitokea atapeleka maumivu kwa atakae jaribu.Indirectly confrontation
TUNAONBA IDADI YA MAMLUKI WA RUSSIA WALIOKUFA NA WALIOKIMBIA KUTOKA UKRAINE NA WA UKRAINE VILE VILE.
MAANA MIMI NAONA WA UKRAINE WANAKIMBIA TUU WANARUDI KWAO.🤣🤣🤣🤣🤣
👆
Canadian fighting in Ukraine describes the "hell" he witnessed
Jamaa alikuwa pamoja na sniper wali NAYE kasepa.
Hiyo video ya miezi mitano iliyopita..,hauna current videos?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo video ya mwezi wa sita mkuu,jaribu kuwa update kidogo.
Sijaelewa mantiki yako ni nini,Cha ajabu ni nini hapo? Ao askari wa kujitolea? au jinsi wanavyotoa hiyo miili?HAYA ANGALIENI wakijitolea Ukraine wakifukua miili ya askari wa Ukraine na mamruki ili kurudisha kwao hii ya jana
Bora wafiche tu hiyo meli maana itashambulia itashindwa hata kuzuia makombora...First ship with Russian Zircon hypersonic missiles placed on combat duty
Russian President Vladimir Putin said the state-of-the-art weapon has no foreign analogues
View attachment 2468928
ndio inatokea.Sijaelewa mantiki yako ni nini,Cha ajabu ni nini hapo? Ao askari wa kujitolea? au jinsi wanavyotoa hiyo miili?
Kama ni hao askari wa kujitolea (mamluki) nimeshakupa mfano kwa Wagner group wanaopigana upande wa urusi.., nimekwambia pia maafisa kadhaa wa Iran waliolambishwa mchanga huko Crimea..,raia wa Zambia pia aliuwawa huko akipigana upande wa urusi.., hivyo suala la mamluki si ajabu kwa pande zote mbili
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app