Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Maana sinumeona video za askari wenu wanaanza kugoma kupigana hawawataki wakubwa. Hao
 
Kama ni mgeni wa vita labda lakin most of hawa watu wanaenda wenyewe kwa kujitolea lakin wanajua wanajitolea kwenye vita. Death and other thing are just outcome, it comes with the job
Anajisahaulisha kwamba huyo sio mamluki wa kwanza na Wala hotokuwa wa mwisho katika vita hii,
Russia mwenyewe kakodi mamluki wa Wagner kujaribu kuikamata bakhumut..,raia wa Zambia aliuwawa mchana kweupe akipigana upande wa urusi..,uko Crimea maafisa wa jeshi la Iran walilambishwa mchanga wakati wakiwa katika majukumu ya kuisaidia urusi.., lakini jamaa anajifanya hayaoni yote hayo,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
TUNAONBA IDADI YA MAMLUKI WA RUSSIA WALIOKUFA NA WALIOKIMBIA KUTOKA UKRAINE NA WA UKRAINE VILE VILE.
MAANA MIMI NAONA WA UKRAINE WANAKIMBIA TUU WANARUDI KWAO.🤣🤣🤣🤣🤣
👆
Canadian fighting in Ukraine describes the "hell" he witnessed
Jamaa alikuwa pamoja na sniper wali NAYE kasepa.
 
Hiyo video ya miezi mitano iliyopita..,hauna current videos?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo video ya mwezi wa sita mkuu,jaribu kuwa update kidogo.
 
HAYA ANGALIENI wakijitolea Ukraine wakifukua miili ya askari wa Ukraine na mamruki ili kurudisha kwao hii ya jana
Sijaelewa mantiki yako ni nini,Cha ajabu ni nini hapo? Ao askari wa kujitolea? au jinsi wanavyotoa hiyo miili?

Kama ni hao askari wa kujitolea (mamluki) nimeshakupa mfano kwa Wagner group wanaopigana upande wa urusi.., nimekwambia pia maafisa kadhaa wa Iran waliolambishwa mchanga huko Crimea..,raia wa Zambia pia aliuwawa huko akipigana upande wa urusi.., hivyo suala la mamluki si ajabu kwa pande zote mbili

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

First ship with Russian Zircon hypersonic missiles placed on combat duty​

Russian President Vladimir Putin said the state-of-the-art weapon has no foreign analogues
View attachment 2468928
Bora wafiche tu hiyo meli maana itashambulia itashindwa hata kuzuia makombora...
Meli kuishambulia ni rahisi zaidi.
Na ndio hivyo wenzao tayari wana ATACMS.
 
ndio inatokea.
Ila mimi nimekuambia nionyeshe mamruki wa URUSI waliorudi kutoka Ukraine.
Nasubiri mpaka sasa.
SIKIA NIKUAMBIE KIPANYA
HII NI VITA NA MAAFA LAZIMA YATOKEE PANDE ZOTE MBILI
WAPO ASKARI NA MAMRUKI WENGI TUU WA RUSSIA WAMEKUFA NA KUUMIA NA VILE VILE UKRAINE NAO NDO HIVYO NA KUZIDI.
ILA UKWELI NINKUWA NA NGUMU KUPATA TAARIFA KAMILI JUU YA NINI KINAENDELEA KULE.
NA NDO MAANA NAPENDA KUWASILIZA WALE WANAORUDI KULE KUTOKA UKRAINE NA SIO VYUMBO VYA HABARI KAMA RT NA ZA MAGHARIBI NA MARACHACHE SANA NAANGALIA.

Mwaka jana propaganda zilikuwa nyingi kwa nchi za magharibi kuhusu Ukraine, kumbe Nia YAO watu wengi wajitokeze wakapigane Ukraine. Na walikuwa WANASEMA na Urusi ni wanaitumia vifaa vya zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…