Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

FmLXg_fWYAA5orL
 

Soap bubbles and water freeze in seconds as Russian region of Yakutia sees its 'usual' winter coldwave

Kwa baridi hili kuna kila sababu vifaa vya NATO kugoma kufanya kazi, in seconds maji yanaganda
 

Russian Hypersonic Missiles Are At The Tip Of A Tech Revolution — Report

Washington is falling behind in the hypersonic arms race, according to a new report that ranked countries’ weapons capabilities around the globe.

The article in Popular Mechanics magazine revealed that Russia and China possess the world’s most advanced and efficient weapon, the hypersonic missile, while Washington is lagging behind with eight hypersonic weapons projects that are only in the development stages.

Subscribe to RT


Kuna mtu alikuwa anasema hakuna silaha ya hypersonic, aangalie hii clip
 
Dah!
Ukitaka kujua kua Urusi ni li dude likubwa na lenye nguvu ni mambo kama haya.
Yaani vijinchi Kila siku vinachangishana silaha.kila siku.lakini lenyewe lipo TU.
Halafu utakuta Kuna vijitu vinasema Ooh Supa power wa mchongo,kama supa pawa wa mchongo mbona mnachangishana visilaha,na kwa Nini msiingie majeshi kamili?
Hata msage meno hata U.s alichangiwa kule Vietnam saiv ni zamu ya Russia karma is real
 
[emoji1255]Yule jenelali wenu mnayemuita Armageddon kapigwa chini.., Putin kaona hakuna chochote alichofanya zaidi yabwembwe tu[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia kufanya rotation ya majenerali na askari ni kawaida.Pia russia akimteua jenerali fulani,
anampa na majukumu au misheni yakufanya, akifanikiwa misheni ikiisha analetwa mwingine kuendelea na mishine yake.hakuna jenerali aliefanya mapindunzi makubwa ukraine kama amargeddon.Tulieni dawa iwangie.
 
Kwenye mambo ya vita na mambo kama haya ukubwa wa nchi au uwezo wa kivita hua hauangaliwi kwa ukubwa wa eneo au uchumi.

USA aliteswa sana na Japan Hadi akatumia nyukilia,Japan Ina ukubwa kiasi Gani.

USA alipigwa na Vietnam,Vietnam Ina ukubwa Gani na uchumi Gani

Uingereza iliitawala sehemu kubwa ya Dunia , Uingereza Ina ukubwa kiasi Gani.

Israel ilipogan na nchi Saba za kiarabu na kuishinda,je ulijiuliza uchumi wa Israel kwa wakati huo ulikuaje ukilinganisha na waarabu,pia ukubwa wa Israel kieneo ukilinganisha na hizo nchi alizopigana nazo?
Huyo jamaa kichwani ni maji
 
The first important task of Gerasimov as commander will be to push the front line to such an extent that the Ukrainian military can no longer shell Donetsk and other large cities of the DPR and LPR -

State Duma Deputy, General Sobolev

Note: This needed to be done a long time ago.
 
[emoji1255]Yule jenelali wenu mnayemuita Armageddon kapigwa chini.., Putin kaona hakuna chochote alichofanya zaidi yabwembwe tu[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mmmmh hivi kweli wewe ni mchambuzi wa issues hizi?! Mbona level yako ya uelewa iko chini Sana mpaka aibu?! Angalau basi uwe unawasikiliza hata wachambuzi wenu wa NATO...kwa mabadiliko haya ya makamanda inaelekea Russia imekwenda kwenye level nyingine ya operation...Yule kamanda wa awali hajapigwa chini Sasa amekuwa deputy...ngoma imechukuliwa na mwenyewe Gerasimov mkuu wa majeshi...kumbuka juzi Shoigu alisema Russia inapambana na NATO...kwa hiyo Russia Sasa anaanza kazi..
 
Back
Top Bottom