TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Nothing unusual, unfortunately: you literally have split seconds to make a decision, if you're one against two, and the two don't comply and if you've been trained properly, you eliminate the threat.
T-90M ni nomaMuda tuliusubiria sana . Tank za Russia zinapeta
Hata msage meno hata U.s alichangiwa kule Vietnam saiv ni zamu ya Russia karma is realDah!
Ukitaka kujua kua Urusi ni li dude likubwa na lenye nguvu ni mambo kama haya.
Yaani vijinchi Kila siku vinachangishana silaha.kila siku.lakini lenyewe lipo TU.
Halafu utakuta Kuna vijitu vinasema Ooh Supa power wa mchongo,kama supa pawa wa mchongo mbona mnachangishana visilaha,na kwa Nini msiingie majeshi kamili?
Hata sisi tulikopeshwa wakati wa Vita vya Kagera hakuna jipyaNaona wanaendelea kukopeswa ,
Hivi leopard tanks 2 za series gani au aina gani , maana kuna leopard tanks 2 za uturuki ziliendaga syria zimepigwa na IS mpaka uruma.
Russia kufanya rotation ya majenerali na askari ni kawaida.Pia russia akimteua jenerali fulani,[emoji1255]Yule jenelali wenu mnayemuita Armageddon kapigwa chini.., Putin kaona hakuna chochote alichofanya zaidi yabwembwe tu[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Alichangiwa na nani?Hata msage meno hata U.s alichangiwa kule Vietnam saiv ni zamu ya Russia karma is real
Leopard 2 kilichowapata syariaHizo hizo br na sahizi wao wapo leopard 4 bila shaka but leopard si chochote kwa Aina ya viita ya kule
Halafu anayeongoza ni general pro lgbtq walisema kafa vitaniTeam O,,, (The return).
Huyo jamaa kichwani ni majiKwenye mambo ya vita na mambo kama haya ukubwa wa nchi au uwezo wa kivita hua hauangaliwi kwa ukubwa wa eneo au uchumi.
USA aliteswa sana na Japan Hadi akatumia nyukilia,Japan Ina ukubwa kiasi Gani.
USA alipigwa na Vietnam,Vietnam Ina ukubwa Gani na uchumi Gani
Uingereza iliitawala sehemu kubwa ya Dunia , Uingereza Ina ukubwa kiasi Gani.
Israel ilipogan na nchi Saba za kiarabu na kuishinda,je ulijiuliza uchumi wa Israel kwa wakati huo ulikuaje ukilinganisha na waarabu,pia ukubwa wa Israel kieneo ukilinganisha na hizo nchi alizopigana nazo?
Mmmmh hivi kweli wewe ni mchambuzi wa issues hizi?! Mbona level yako ya uelewa iko chini Sana mpaka aibu?! Angalau basi uwe unawasikiliza hata wachambuzi wenu wa NATO...kwa mabadiliko haya ya makamanda inaelekea Russia imekwenda kwenye level nyingine ya operation...Yule kamanda wa awali hajapigwa chini Sasa amekuwa deputy...ngoma imechukuliwa na mwenyewe Gerasimov mkuu wa majeshi...kumbuka juzi Shoigu alisema Russia inapambana na NATO...kwa hiyo Russia Sasa anaanza kazi..[emoji1255]Yule jenelali wenu mnayemuita Armageddon kapigwa chini.., Putin kaona hakuna chochote alichofanya zaidi yabwembwe tu[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
ππ€£ππ€£π Disinformation campaignHiki kikundi kina tofauti gani na TISS
View attachment 2478102