LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hivi naomba kujuzwa,kwa mfano huu msaada ambao Marekani ameutoa Ukraine je si ndio anakuwa kashaingilia Vita?au issue Kama hii inachukuliwaje?
 
Soko la urusi liko ulaya nje ya ulaya Qatar na Iran ndo Wana reserve kubwa ya LNG, na Saudi Arabia crude oil

Siku ulaya wakitafuta alternative urussia watakua katika Hali mbaya na huu ujinga anaufanya Putin kwa kutumia nguvu dhidi ya nchi za ulaya

Mpaka sahivi Kuna wajeruman wanamlau markel kwanin aliifanya nchi kuwa tegemezi kwa Russia kwenye nishati
 
The US decision to ban energy imports from Russia does not allow the conclusion of new contracts, while existing contracts will be delayed by 45 days, White House press secretary Jen Psaki explained.
 
Uchumi wa Venezuela usingekua katika Hali mbaya vile watu wanakimbilia Colombia alafu unasema mambo ni shwari kuwa unafuatilia mambo ndugu

Venezuela Doubles Crude Oil Exports Defying U.S. Sanctions​

  • Sales may not be sustainable as China cracks down on refiners
  • Key ingredient supplied by ally Iran abets oil production
By
Lucia Kassai
January 3, 2022, 11:24 PM GMT+3

Listen to this article​

1:46

Share this article​


Follow the authors

+ Get alerts forLucia Kassai

In this article​

CL1
WTI Crude
126.30
USD/bbl.
+2.60+2.10%


Oil exports from Venezuela doubled in December from a year earlier as the country raises production of revenue-generating hydrocarbons in defiance of U.S. sanctions.
Shipments averaged 619,000 barrels a day in December. The OPEC-founding member increased exports for a third straight month with the support of ally Iran, which boosted the supply of a key ingredient that aids production.
 
Swali wanauza mafuta hawauzi? nimekwambia wanauza sasa ukitaka kuongelea mambo ya uchumi hilo ni suala lingine lini Venezuelea walikuwa na hali nzuri hata kabla ya vikwazo? wao wanashida za kisiasa poor management
Venuzuela walikua na Hali nzuri sana uchumi ulikua unakua kwa haraka sana na sababu kubwa ilikua ni crude oil Kosa alifanya Hugo Chavez alivyoanza migogori na marekani wakamwekea vikwazo Kama hii huijui basi Kuna vitu vingi huvijui
 
The Prime Minister of Poland said that Warsaw is not ready to independently supply MiG-29 fighters to Ukraine and this requires a NATO decision.
 
Marekani Anawatumia Tu hao Ulaya, mpaka siku wakija Kuamka it's Too late.

Kutoa Gas Qatar si mchezo, Urusi ipo karibu Bomba tu zinapeleka ulaya. Hivyo kunakua na unafuu.
 
Hachana na hizi wanavenezuela wanakimbia nchi Hali ni ngumu, Taifa mda soma uchumi wa Venezuela na historia ya Ile nchi tokea uhuru mpaka Sasa utaelewa nacho ongea
 
Instagram will stop showing subscriptions of Russian and Ukrainian users - Meta.
 
Marekani Anawatumia Tu hao Ulaya, mpaka siku wakija Kuamka it's Too late.

Kutoa Gas Qatar si mchezo, Urusi ipo karibu Bomba tu zinapeleka ulaya. Hivyo kunakua na unafuu.
Marekani anatumia ela nyingi sana ulaya ndo maana kipindi Cha trump alikua anasema ulaya nao walipe fair share
 
The US does not intend to create a "limited no-fly zone" over Ukraine, as this would be fraught with a war with Russia - Psaki.
 
Americans have already faced rising gasoline prices and will suffer even more - the Russian Embassy in Washington.
 
Uchumi wa Venezuela usingekua katika Ile mbaya hela haijifichi

Zimbabwe nayo iliwekewa vikwazo angali Hali ya uchumi wake ilivyokua mbaya
Mkuu Google Gdp per capita Ya Venezuela, ni kweli walikuwa na Hali mbaya miaka kadhaa iliopita (Gdp per capita chini ya dola 5000), ila miaka ya karibuni wanakuwa kwa kasi mno. Wameshafika zaidi ya $10,000 Sasa hivi.

Ka nchi ka watu milioni 20 kufika Gdp ya zaidi ya bilioni 400 si haba.
 
Hivi naomba kujuzwa,kwa mfano huu msaada ambao Marekani ameutoa Ukraine je si ndio anakuwa kashaingilia Vita?au issue Kama hii inachukuliwaje?
Ndio kwa sehemu, ingawa sio moja kwa moja kwasababu hajapeleka wanajeshi wake katika uwanja wa vita dhidi ya Urusi.
 
Starbucks will suspend business in Russia, including the supply of raw materials and the operation of coffee shops - Reuters, citing a company statement.
 
Amazon announced the termination of acceptance of new clients of cloud services in Russia and Belarus.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…