LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
"I seriously regret"

FMqKWm_XwAAW1H4.jpeg
 
Toka niaze kufuatilia hivi vita vya Urusi v/s Ukraine naona Kuna baadhi ya watu wa Imani flani wanaishabikia Urusi ili kupata amani ya mioyo Yao kwa kulipa kisasi Kwa mashambulizi yaliyokwishafanya kwenye nchi za kiarabu, huu Ni ujinga Wa kiwango cha juu sana.
Achaga Ujinga kijana lete facts usiongee Pumba kwanza Hao unowasema wapo mbali na haya Mambo mna hayatusaidii chochote ktka Ibada zetu

Chuki zako zitakukondesha
 
Venuzuela na Iran wanashindwa kuuza mafuta sababu ya vikwazo vya marekani

Venuzuela ndo inchi inaongoza kuwa na reserve kubwa ya mafuta ardhin lakin vikwazo vinamfanya ashindwe kuyafaidi mafuta
Hizi nchi zote ziko OPEC kuna makubaliano mengine yalifanyika yanaitwa OPEC plus hapo Russia alikuwepo, Nchi za Opec wamesema hawawezi kwenda kinyume na makubaliano ziko sababu nyingi kwanini hawawezi. Ila Iran wamekuwa wanauza kwa nchi zingine kwa miaka mingi tu pamoja na vikwazo tatizo linakuja hawapati uwekezaji mkubwa na tech mpya hata Venezuela wamekuwa wanauza njia ziko nyingi. Kuwa na Reserve kubwa haina maana ndio unazalisha inatakiwa uwekezaji mkubwa na uwekezaji huwezi kuamka kesho tu unaanza kuzalisha. Hapa tujiandae tu kufunga mikanda haya mambo sio ya leo wala kesho ila mafuta yatauzwa hivyo vikwazo ni wao USA tu sana sana watakuja na EU ila wataumia wao pia Russia atauza tu sababu mafuta yao rahisi ndio maana Opec wanahitaji sana Russia ili ku control bei. Saudia kakataa kuongeza production na Venezuela ni part ya Opec.
 
Mafuta yatauzwa kama kawaida njia za mikato nyingi sana sana na kumbuka ni wao tu wame ban sio dunia kitakachotokea tu bei zitapanda sana basi lakini cash flow kwa Russia kama kawaida hizi ni siasa tu.
Aisee ulichoandika mmmmmmm
Una uelewa finyu mno
 
Toka niaze kufuatilia hivi vita vya Urusi v/s Ukraine naona Kuna baadhi ya watu wa Imani flani wanaishabikia Urusi ili kupata amani ya mioyo Yao kwa kulipa kisasi Kwa mashambulizi yaliyokwishafanya kwenye nchi za kiarabu, huu Ni ujinga Wa kiwango cha juu sana.
Binafsi nami nimegundua kuna watu wa imani flani wanaishabikia Ukreine kisa tuu Marekani yupo upande huo. Sababu kuu ni kuwa na mapenzi au chembe chembe za ushoga

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Hizi nchi zote ziko OPEC kuna makubaliano mengine yalifanyika yanaitwa OPEC plus hapo Russia alikuwepo, Nchi za Opec wamesema hawawezi kwenda kinyume na makubaliano ziko sababu nyingi kwanini hawawezi. Ila Iran wamekuwa wanauza kwa nchi zingine kwa miaka mingi tu pamoja na vikwazo tatizo linakuja hawapati uwekezaji mkubwa na tech mpya hata Venezuela wamekuwa wanauza njia ziko nyingi. Kuwa na Reserve kubwa haina maana ndio unazalisha inatakiwa uwekezaji mkubwa na uwekezaji huwezi kuamka kesho tu unaanza kuzalisha. Hapa tujiandae tu kufunga mikanda haya mambo sio ya leo wala kesho ila mafuta yatauzwa hivyo vikwazo ni wao USA tu sana sana watakuja na EU ila wataumia wao pia Russia atauza tu sababu mafuta yao rahisi ndio maana Opec wanahitaji sana Russia ili ku control bei. Saudia kakataa kuongeza production na Venezuela ni part ya Opec.
Venuzuela hawauzi na Iran sababu ya vikwazo ambavyo waliwekewa na marekani, nchi yeyote itakayo nunu mafuta kwenye hizo nchi inawekewa vikwazo na marekani

Kuna uwezokano Mkubwa wengi hamjua madhara ya vikwazo vya marekani na kwanin anapenda kuvitumia kama fimbo ya kuathibu nchi nyingine
 
Russia atauza tu sababu mafuta yao rahisi ndio maana Opec wanahitaji sana Russia ili ku control bei.
Nafikiri hufuatilii kinachoendelea

Njia zote za malipo kafungiwa atamuuzia nani na atalipwaje watajitwika pesa vichwani kumpelekea kwa miguu
 
Venuzuela hawauzi na Iran sababu ya vikwazo ambavyo waliwekewa na marekani, nchi yeyote itakayo nunu mafuta kwenye hizo nchi inawekewa vikwazo na marekani

Kuna uwezokano Mkubwa wengi hamjua madhara ya vikwazo vya marekani na kwanin anapenda kuvitumia kama fimbo ya kuathibu nchi nyingine
Venezuela's oil exports, which along with Iran's are under U.S. sanctions designed to limit sales, have stabilized this year at around 633,000 bpd, a slight increase from the 626,000 bpd of 2020 but still a large decline from previous years when PDVSA had not been blacklisted by the U.S. Treasury Department.

Acha hizo nani kakwambia? Mafuta yanauzwa kama kawaida tena wanauza kwa bei ya chini ya benchmark ya Brent na ndicho Russia anafanya mafuta yake kabla ya vikwazo Russia yalikuwa chini atauza kwa bei nchini ila watu wa kati ndio watapata faida kubwa. Nani kasema Iran hauzi mafuta? refining product nyingi kama Diesel na Gasoline Iran wanauza sana tu.
 
Kuna kitu kinaitwa black market na ndio kinalipa kuliko hata hiyo open market mfano dawa za kulevya zimepigwa marufuku je hakuna wanauza?
 
Uchumi wa Venezuela usingekua katika Hali mbaya vile watu wanakimbilia Colombia alafu unasema mambo ni shwari kuwa unafuatilia mambo ndugu
 
Miili ya wanajeshi wa urusi waliouwawa Ukraine.Putin atawaambia Nini wazazi ,ndugu na jamaa wa Hawa wanajeshi?Manake asingevamia Ukraine,wasingekufa.Au ndio atatumia ubabe wake wa kiduanzi kuwanyamazisha???!!!

Screenshot_20220309-065623.png

Screenshot_20220309-065644.png

Screenshot_20220309-065649.png

Screenshot_20220309-065708.png
 
Nafikiri hufuatilii kinachoendelea

Njia zote za malipo kafungiwa atamuuzia nani na atalipwaje watajitwika pesa vichwani kumpelekea kwa miguu
Bloomberg and Reuters also reported this year that Iran exports most of its oil through intermediaries to be delivered to China. Customs data from China also strangely show zero oil imports from Iran, while in 2019 and 2020 Chinese government-linked companies were officially buying at least 80,000 bpd.
 
Mrusi ndo itamuumiza zaidi kwa sababu sio mrusi pekee anayezalisha mafuta,so nchi zingine zitafaidika zaidi pia kuuza.

Anafanya hivyo ili kumreplace mrusi katika soko,na atakuwa replaced kwa sababu hata huyo venezuela ataangalia maslahi ya uchumi wake hatajali na hatowanunia wamarekani,atakubali na mrrusi atakuwa replaced kidogokidogo.

,Saudi Arabia, Canada, China na venezuela naye akikubali kusupply mafuta hawa wote wanamreplace mrusi kwa kiasi kikubwa sana ukiongeza na wairan pia ambao nao wakikubali kuuza mafuta yao katika soko basi mrusi ataumia
Nchi zote duniani zikiuza mafuta/gas yote bado hayatoshi hio ndio logic.

Marekani yeye toka mwanzo hategemei sana Energy yamrusi ni kama Asilimia chache tu, ngoma ipo ulaya ambao zaidi ya Asilimia 40 wanamtegemea Mrusi na Nchi kama Ujerumani Asilimia 55.

Na Urusi Hawezi kosa Soko, Kuna Mataifa Kibao Duniani wanaitolea Mate hio Gas na Mafuta. Energy ndio maendeleo, machine na viwanda Kibao Vinategemea.
 
Kuna kitu kinaitwa black market na ndio kinalipa kuliko hata hiyo open market mfano dawa za kulevya zimepigwa marufuku je hakuna wanauza?
Uchumi wa Venezuela usingekua katika Ile mbaya hela haijifichi

Zimbabwe nayo iliwekewa vikwazo angali Hali ya uchumi wake ilivyokua mbaya
 
Uchumi wa Venezuela usingekua katika Hali mbaya vile watu wanakimbilia Colombia alafu unasema mambo ni shwari kuwa unafuatilia mambo ndugu
Swali wanauza mafuta hawauzi? nimekwambia wanauza sasa ukitaka kuongelea mambo ya uchumi hilo ni suala lingine lini Venezuelea walikuwa na hali nzuri hata kabla ya vikwazo? wao wanashida za kisiasa poor management
 
Back
Top Bottom