Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
"I seriously regret"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achaga Ujinga kijana lete facts usiongee Pumba kwanza Hao unowasema wapo mbali na haya Mambo mna hayatusaidii chochote ktka Ibada zetuToka niaze kufuatilia hivi vita vya Urusi v/s Ukraine naona Kuna baadhi ya watu wa Imani flani wanaishabikia Urusi ili kupata amani ya mioyo Yao kwa kulipa kisasi Kwa mashambulizi yaliyokwishafanya kwenye nchi za kiarabu, huu Ni ujinga Wa kiwango cha juu sana.
Hizi nchi zote ziko OPEC kuna makubaliano mengine yalifanyika yanaitwa OPEC plus hapo Russia alikuwepo, Nchi za Opec wamesema hawawezi kwenda kinyume na makubaliano ziko sababu nyingi kwanini hawawezi. Ila Iran wamekuwa wanauza kwa nchi zingine kwa miaka mingi tu pamoja na vikwazo tatizo linakuja hawapati uwekezaji mkubwa na tech mpya hata Venezuela wamekuwa wanauza njia ziko nyingi. Kuwa na Reserve kubwa haina maana ndio unazalisha inatakiwa uwekezaji mkubwa na uwekezaji huwezi kuamka kesho tu unaanza kuzalisha. Hapa tujiandae tu kufunga mikanda haya mambo sio ya leo wala kesho ila mafuta yatauzwa hivyo vikwazo ni wao USA tu sana sana watakuja na EU ila wataumia wao pia Russia atauza tu sababu mafuta yao rahisi ndio maana Opec wanahitaji sana Russia ili ku control bei. Saudia kakataa kuongeza production na Venezuela ni part ya Opec.Venuzuela na Iran wanashindwa kuuza mafuta sababu ya vikwazo vya marekani
Venuzuela ndo inchi inaongoza kuwa na reserve kubwa ya mafuta ardhin lakin vikwazo vinamfanya ashindwe kuyafaidi mafuta
Aisee ulichoandika mmmmmmmMafuta yatauzwa kama kawaida njia za mikato nyingi sana sana na kumbuka ni wao tu wame ban sio dunia kitakachotokea tu bei zitapanda sana basi lakini cash flow kwa Russia kama kawaida hizi ni siasa tu.
Binafsi nami nimegundua kuna watu wa imani flani wanaishabikia Ukreine kisa tuu Marekani yupo upande huo. Sababu kuu ni kuwa na mapenzi au chembe chembe za ushogaToka niaze kufuatilia hivi vita vya Urusi v/s Ukraine naona Kuna baadhi ya watu wa Imani flani wanaishabikia Urusi ili kupata amani ya mioyo Yao kwa kulipa kisasi Kwa mashambulizi yaliyokwishafanya kwenye nchi za kiarabu, huu Ni ujinga Wa kiwango cha juu sana.
mikono juu mwendo wa mateka 😂😂 warusi hao
Venuzuela hawauzi na Iran sababu ya vikwazo ambavyo waliwekewa na marekani, nchi yeyote itakayo nunu mafuta kwenye hizo nchi inawekewa vikwazo na marekaniHizi nchi zote ziko OPEC kuna makubaliano mengine yalifanyika yanaitwa OPEC plus hapo Russia alikuwepo, Nchi za Opec wamesema hawawezi kwenda kinyume na makubaliano ziko sababu nyingi kwanini hawawezi. Ila Iran wamekuwa wanauza kwa nchi zingine kwa miaka mingi tu pamoja na vikwazo tatizo linakuja hawapati uwekezaji mkubwa na tech mpya hata Venezuela wamekuwa wanauza njia ziko nyingi. Kuwa na Reserve kubwa haina maana ndio unazalisha inatakiwa uwekezaji mkubwa na uwekezaji huwezi kuamka kesho tu unaanza kuzalisha. Hapa tujiandae tu kufunga mikanda haya mambo sio ya leo wala kesho ila mafuta yatauzwa hivyo vikwazo ni wao USA tu sana sana watakuja na EU ila wataumia wao pia Russia atauza tu sababu mafuta yao rahisi ndio maana Opec wanahitaji sana Russia ili ku control bei. Saudia kakataa kuongeza production na Venezuela ni part ya Opec.
Nafikiri hufuatilii kinachoendeleaRussia atauza tu sababu mafuta yao rahisi ndio maana Opec wanahitaji sana Russia ili ku control bei.
Venezuela's oil exports, which along with Iran's are under U.S. sanctions designed to limit sales, have stabilized this year at around 633,000 bpd, a slight increase from the 626,000 bpd of 2020 but still a large decline from previous years when PDVSA had not been blacklisted by the U.S. Treasury Department.Venuzuela hawauzi na Iran sababu ya vikwazo ambavyo waliwekewa na marekani, nchi yeyote itakayo nunu mafuta kwenye hizo nchi inawekewa vikwazo na marekani
Kuna uwezokano Mkubwa wengi hamjua madhara ya vikwazo vya marekani na kwanin anapenda kuvitumia kama fimbo ya kuathibu nchi nyingine
Kuna kitu kinaitwa black market na ndio kinalipa kuliko hata hiyo open market mfano dawa za kulevya zimepigwa marufuku je hakuna wanauza?Venuzuela hawauzi na Iran sababu ya vikwazo ambavyo waliwekewa na marekani, nchi yeyote itakayo nunu mafuta kwenye hizo nchi inawekewa vikwazo na marekani
Kuna uwezokano Mkubwa wengi hamjua madhara ya vikwazo vya marekani na kwanin anapenda kuvitumia kama fimbo ya kuathibu nchi nyingine
Hahaha nimeshangaa labda anadhani kila mwarabu ni adui wa marekani.Tangu Lini Saudia akawa adui wa USA
Uchumi wa Venezuela usingekua katika Hali mbaya vile watu wanakimbilia Colombia alafu unasema mambo ni shwari kuwa unafuatilia mambo nduguVenezuela's oil exports, which along with Iran's are under U.S. sanctions designed to limit sales, have stabilized this year at around 633,000 bpd, a slight increase from the 626,000 bpd of 2020 but still a large decline from previous years when PDVSA had not been blacklisted by the U.S. Treasury Department.
Acha hizo nani kakwambia? Mafuta yanauzwa kama kawaida tena wanauza kwa bei ya chini ya benchmark ya Brent na ndicho Russia anafanya mafuta yake kabla ya vikwazo Russia yalikuwa chini atauza kwa bei nchini ila watu wa kati ndio watapata faida kubwa. Nani kasema Iran hauzi mafuta? refining product nyingi kama Diesel na Gasoline Iran wanauza sana tu.
Bloomberg and Reuters also reported this year that Iran exports most of its oil through intermediaries to be delivered to China. Customs data from China also strangely show zero oil imports from Iran, while in 2019 and 2020 Chinese government-linked companies were officially buying at least 80,000 bpd.Nafikiri hufuatilii kinachoendelea
Njia zote za malipo kafungiwa atamuuzia nani na atalipwaje watajitwika pesa vichwani kumpelekea kwa miguu
Nchi zote duniani zikiuza mafuta/gas yote bado hayatoshi hio ndio logic.Mrusi ndo itamuumiza zaidi kwa sababu sio mrusi pekee anayezalisha mafuta,so nchi zingine zitafaidika zaidi pia kuuza.
Anafanya hivyo ili kumreplace mrusi katika soko,na atakuwa replaced kwa sababu hata huyo venezuela ataangalia maslahi ya uchumi wake hatajali na hatowanunia wamarekani,atakubali na mrrusi atakuwa replaced kidogokidogo.
,Saudi Arabia, Canada, China na venezuela naye akikubali kusupply mafuta hawa wote wanamreplace mrusi kwa kiasi kikubwa sana ukiongeza na wairan pia ambao nao wakikubali kuuza mafuta yao katika soko basi mrusi ataumia
Uchumi wa Venezuela usingekua katika Ile mbaya hela haijifichiKuna kitu kinaitwa black market na ndio kinalipa kuliko hata hiyo open market mfano dawa za kulevya zimepigwa marufuku je hakuna wanauza?
Asilimia tano inunue nchi moja unaona ndogo hesabu zipo kichwani kwako kweli?!Shetani Kuu la Dunia Marekani kwanza mafuta ya Urusi linachukua Asilimia 5 sasa ndio nn hicho hayo tutanunua hata sisi
Swali wanauza mafuta hawauzi? nimekwambia wanauza sasa ukitaka kuongelea mambo ya uchumi hilo ni suala lingine lini Venezuelea walikuwa na hali nzuri hata kabla ya vikwazo? wao wanashida za kisiasa poor managementUchumi wa Venezuela usingekua katika Hali mbaya vile watu wanakimbilia Colombia alafu unasema mambo ni shwari kuwa unafuatilia mambo ndugu