Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Tuache utani "WARUSI WANAUWAWA KUPITA KIASI AIBU KWELIKWELI"The Russian Embassy in the United States demanded an end to the persecution of Russians.View attachment 2143978
1980s to 1990s: Global oil prices fall. Venezuela’s economy contracts. The country faces massive debt. Sijui una miaka mingapi shida ilianzia hapa sio USA, US walikuja kuweka vikwazo baada ya venezuala kuwa wanafanya mauji kwa wapinzani miaka ya 2000 sio kabla.Vikwazo vya marekani ndo vilifanya Hali ikawa mbaya Zaid kila mtu anajua labda wewe ndo hujui
Kojoa ulaleTuache utani "WARUSI WANAUWAWA KUPITA KIASI AIBU KWELIKWELI"
Wananchi wao ni mazombie,Wacha wale kibano ndio maisha waliyochagua.hao alowapita ulishawahi kuona serikali zinabadilishwa eti kisa vikwazo?
Wewe unaongeaga vitu vya ajabu sana ndugu yangu kwanini huwazi kwa akili yako ya kawaida ambayo haiitaji ata shule mzee emu niambie katika ixo nchi zoooote zenye makubaliano hayo ya OPEC sijui OPEC PLUS nani mwenye ubavu wa kwenda kinyume na matakwa ya Marekani nitajie nchi mojawapo kati ya izo nchi zenye makubaliano ya OPEC mwenye uwezo wa kupinga matakwa ya USA sitaki porojo nitajie nchi moja wapoHizi nchi zote ziko OPEC kuna makubaliano mengine yalifanyika yanaitwa OPEC plus hapo Russia alikuwepo, Nchi za Opec wamesema hawawezi kwenda kinyume na makubaliano ziko sababu nyingi kwanini hawawezi. Ila Iran wamekuwa wanauza kwa nchi zingine kwa miaka mingi tu pamoja na vikwazo tatizo linakuja hawapati uwekezaji mkubwa na tech mpya hata Venezuela wamekuwa wanauza njia ziko nyingi. Kuwa na Reserve kubwa haina maana ndio unazalisha inatakiwa uwekezaji mkubwa na uwekezaji huwezi kuamka kesho tu unaanza kuzalisha. Hapa tujiandae tu kufunga mikanda haya mambo sio ya leo wala kesho ila mafuta yatauzwa hivyo vikwazo ni wao USA tu sana sana watakuja na EU ila wataumia wao pia Russia atauza tu sababu mafuta yao rahisi ndio maana Opec wanahitaji sana Russia ili ku control bei. Saudia kakataa kuongeza production na Venezuela ni part ya Opec.
Hjna akili pathetic!!Swali wanauza mafuta hawauzi? nimekwambia wanauza sasa ukitaka kuongelea mambo ya uchumi hilo ni suala lingine lini Venezuelea walikuwa na hali nzuri hata kabla ya vikwazo? wao wanashida za kisiasa poor management
Bro tumia akili acha ubishi wa kitoto1980s to 1990s: Global oil prices fall. Venezuela’s economy contracts. The country faces massive debt. Sijui una miaka mingapi shida ilianzia hapa sio USA, US walikuja kuweka vikwazo baada ya venezuala kuwa wanafanya mauji kwa wapinzani miaka ya 2000 sio kabla.
Nashauri moderator uwe unafuta/zuia picha kama hizi. Ziwe za Russia, Ukraine au yeyote yule. Nadhani zinaharibu hisia za watu. Wengine hatuwezi kuangalia haya mambo.Miili ya wanajeshi wa urusi waliouwawa Ukraine.Putin atawaambia Nini wazazi ,ndugu na jamaa wa Hawa wanajeshi?Manake asingevamia Ukraine,wasingekufa.Au ndio atatumia ubabe wake wa kiduanzi kuwanyamazisha???!!!
View attachment 2143944
View attachment 2143946
View attachment 2143947
View attachment 2143949
Nilicheka sana kuona hiyo habari🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji15]
Acha uoga Mkuu,wewe hukuwahi Kwenda mortuary,kutambua mwili ?Nashauri moderator uwe unafuta/zuia picha kama hizi.
Wasingekufa? Basi hata hapo hawajafariki bado.Miili ya wanajeshi wa urusi waliouwawa Ukraine.Putin atawaambia Nini wazazi ,ndugu na jamaa wa Hawa wanajeshi?Manake asingevamia Ukraine,wasingekufa.Au ndio atatumia ubabe wake wa kiduanzi kuwanyamazisha???!!!
View attachment 2143944
View attachment 2143946
View attachment 2143947
View attachment 2143949
Marekani anajua Urusi ni nini na Marekani anajua lengo la Putin ni kutaka kuona nchi za nato zinajiingiza ukraineMarekani imeikatalia Poland kupeleka msaada wa ndegevita (MiG29 fighter jets) Ukraine kupitia base ya kijeshi ya Marekani iliyopo Ujerumani. Marekani imekataa ofa hiyo ya Poland kwa kuogopa Putin atashambulia nchi za NATO zitazohusika.
Kila mmoja aogopa kumfunga kengele Paka. Ingawa walijisemesha kuwa ati watapeleka msaada wa ndegevita
View attachment 2144138
US rejects Poland’s offer to send MiG-29 fighter jets to Ukraine
Pentagon says Polish proposal to transfer Soviet-era planes to Kyiv via US base in Germany is not tenable.www.aljazeera.com
Rais wa Ukrain asalimu amri, asema halazimishi tena Ukraine kujiunga NATO. Ni baada ya kichapo cha mbwa koko ambacho Putin anaendelea kukitembeza Ukraine.
Shikamoo Putin!
View attachment 2144117
Poland na UK wameona Russia ana uwezo Mdogo sana kijeshi wanafanya Kila kitu aingie 18 zaoMarekani imeikatalia Poland kupeleka msaada wa ndegevita (MiG29 fighter jets) Ukraine kupitia base ya kijeshi ya Marekani iliyopo Ujerumani. Marekani imekataa ofa hiyo ya Poland kwa kuogopa Putin atashambulia nchi za NATO zitazohusika.
Kila mmoja aogopa kumfunga kengele Paka. Ingawa walijisemesha kuwa ati watapeleka msaada wa ndegevita
View attachment 2144138
US rejects Poland’s offer to send MiG-29 fighter jets to Ukraine
Pentagon says Polish proposal to transfer Soviet-era planes to Kyiv via US base in Germany is not tenable.www.aljazeera.com
Marekani imeikatalia Poland kupeleka msaada wa ndegevita (MiG29 fighter jets) Ukraine kupitia base ya kijeshi ya Marekani iliyopo Ujerumani. Marekani imekataa ofa hiyo ya Poland kwa kuogopa Putin atashambulia nchi za NATO zitazohusika.
Kila mmoja aogopa kumfunga kengele Paka. Ingawa walijisemesha kuwa ati watapeleka msaada wa ndegevita
View attachment 2144138
US rejects Poland’s offer to send MiG-29 fighter jets to Ukraine
Pentagon says Polish proposal to transfer Soviet-era planes to Kyiv via US base in Germany is not tenable.www.aljazeera.com