LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Vikwazo vya marekani ndo vilifanya Hali ikawa mbaya Zaid kila mtu anajua labda wewe ndo hujui
1980s to 1990s: Global oil prices fall. Venezuela’s economy contracts. The country faces massive debt. Sijui una miaka mingapi shida ilianzia hapa sio USA, US walikuja kuweka vikwazo baada ya venezuala kuwa wanafanya mauji kwa wapinzani miaka ya 2000 sio kabla.
 
Hapo kwenye secondary ndio watu hupaogopa
China is the first target

Screenshot_20220309-065041.png

Screenshot_20220308-194808.png
 
Hizi nchi zote ziko OPEC kuna makubaliano mengine yalifanyika yanaitwa OPEC plus hapo Russia alikuwepo, Nchi za Opec wamesema hawawezi kwenda kinyume na makubaliano ziko sababu nyingi kwanini hawawezi. Ila Iran wamekuwa wanauza kwa nchi zingine kwa miaka mingi tu pamoja na vikwazo tatizo linakuja hawapati uwekezaji mkubwa na tech mpya hata Venezuela wamekuwa wanauza njia ziko nyingi. Kuwa na Reserve kubwa haina maana ndio unazalisha inatakiwa uwekezaji mkubwa na uwekezaji huwezi kuamka kesho tu unaanza kuzalisha. Hapa tujiandae tu kufunga mikanda haya mambo sio ya leo wala kesho ila mafuta yatauzwa hivyo vikwazo ni wao USA tu sana sana watakuja na EU ila wataumia wao pia Russia atauza tu sababu mafuta yao rahisi ndio maana Opec wanahitaji sana Russia ili ku control bei. Saudia kakataa kuongeza production na Venezuela ni part ya Opec.
Wewe unaongeaga vitu vya ajabu sana ndugu yangu kwanini huwazi kwa akili yako ya kawaida ambayo haiitaji ata shule mzee emu niambie katika ixo nchi zoooote zenye makubaliano hayo ya OPEC sijui OPEC PLUS nani mwenye ubavu wa kwenda kinyume na matakwa ya Marekani nitajie nchi mojawapo kati ya izo nchi zenye makubaliano ya OPEC mwenye uwezo wa kupinga matakwa ya USA sitaki porojo nitajie nchi moja wapo
 
Swali wanauza mafuta hawauzi? nimekwambia wanauza sasa ukitaka kuongelea mambo ya uchumi hilo ni suala lingine lini Venezuelea walikuwa na hali nzuri hata kabla ya vikwazo? wao wanashida za kisiasa poor management
Hjna akili pathetic!!
 
1980s to 1990s: Global oil prices fall. Venezuela’s economy contracts. The country faces massive debt. Sijui una miaka mingapi shida ilianzia hapa sio USA, US walikuja kuweka vikwazo baada ya venezuala kuwa wanafanya mauji kwa wapinzani miaka ya 2000 sio kabla.
Bro tumia akili acha ubishi wa kitoto
 
Miili ya wanajeshi wa urusi waliouwawa Ukraine.Putin atawaambia Nini wazazi ,ndugu na jamaa wa Hawa wanajeshi?Manake asingevamia Ukraine,wasingekufa.Au ndio atatumia ubabe wake wa kiduanzi kuwanyamazisha???!!!

View attachment 2143944

View attachment 2143946

View attachment 2143947

View attachment 2143949
Nashauri moderator uwe unafuta/zuia picha kama hizi. Ziwe za Russia, Ukraine au yeyote yule. Nadhani zinaharibu hisia za watu. Wengine hatuwezi kuangalia haya mambo.

Wengine kama huyu huenda ni mhudumu wa Mochuari na anaweza kuweka hata kwenye Profile yake.
 
Rais wa Ukrain asalimu amri, asema halazimishi tena Ukraine kujiunga NATO. Ni baada ya kichapo cha mbwa koko ambacho Putin anaendelea kukitembeza Ukraine.

Shikamoo Putin!

SmartSelect_20220309-090629_Chrome.jpg

Marekani imeikatalia Poland kupeleka msaada wa ndegevita (MiG29 fighter jets) Ukraine kupitia base ya kijeshi ya Marekani iliyopo Ujerumani. Marekani imekataa ofa hiyo ya Poland kwa kuogopa Putin atashambulia nchi za NATO zitazohusika.

Kila mmoja aogopa kumfunga kengele Paka. Ingawa walijisemesha kuwa ati watapeleka msaada wa ndegevita

SmartSelect_20220309-092650_Chrome.jpg

Marekani imeikatalia Poland kupeleka msaada wa ndegevita (MiG29 fighter jets) Ukraine kupitia base ya kijeshi ya Marekani iliyopo Ujerumani. Marekani imekataa ofa hiyo ya Poland kwa kuogopa Putin atashambulia nchi za NATO zitazohusika.

Kila mmoja aogopa kumfunga kengele Paka. Ingawa walijisemesha kuwa ati watapeleka msaada wa ndegevita

View attachment 2144138

Marekani anajua Urusi ni nini na Marekani anajua lengo la Putin ni kutaka kuona nchi za nato zinajiingiza ukraine
 
Rais wa Ukrain asalimu amri, asema halazimishi tena Ukraine kujiunga NATO. Ni baada ya kichapo cha mbwa koko ambacho Putin anaendelea kukitembeza Ukraine.

Shikamoo Putin!

View attachment 2144117

Acha huyo comedian Zelensky aonje joto ya bunduki, asije ongea, hadi afikiwe kwanza, aonje risasi, huyu Rais comedian nyoko sana, ameingiza nchi katika vita bila sbb yoyote na watu wamekufa na nchi imeharibika vibaya sana, lazima aonje risasi au atoroke, aje Rais mwingine pro Russia. Go Putin go.
 
Marekani imeikatalia Poland kupeleka msaada wa ndegevita (MiG29 fighter jets) Ukraine kupitia base ya kijeshi ya Marekani iliyopo Ujerumani. Marekani imekataa ofa hiyo ya Poland kwa kuogopa Putin atashambulia nchi za NATO zitazohusika.

Kila mmoja aogopa kumfunga kengele Paka. Ingawa walijisemesha kuwa ati watapeleka msaada wa ndegevita

View attachment 2144138

Poland na UK wameona Russia ana uwezo Mdogo sana kijeshi wanafanya Kila kitu aingie 18 zao
 
Marekani imeikatalia Poland kupeleka msaada wa ndegevita (MiG29 fighter jets) Ukraine kupitia base ya kijeshi ya Marekani iliyopo Ujerumani. Marekani imekataa ofa hiyo ya Poland kwa kuogopa Putin atashambulia nchi za NATO zitazohusika.

Kila mmoja aogopa kumfunga kengele Paka. Ingawa walijisemesha kuwa ati watapeleka msaada wa ndegevita

View attachment 2144138

Hizo Mig 29 aliyetengeneza ni Russia, atazitungua zote na kuzipiga nchi zote hizo za Ulaya in just one night..!!
 
Back
Top Bottom