Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuweka maiti Mujahideen wakati wanaume wanamalizia kula kitumbua cha yukrainiPoland na UK wameona Russia ana uwezo Mdogo sana kijeshi wanafanya Kila kitu aingie 18 zao
Sababu yukraini hakuna silaha za mmarekani. Mbona comment kichekesho sanaHii ni faida kubwa sana kwa USA kujua ubora na Udhaifu wa silaha za Mrusi maana Russia inapigana na Silaha zake mwenyewe
vita itaishaje wakati nyie warusi wa kisiju mmejificha chooniDuuh hawajamaliza vita tuu mbona kazi
unataka kusema hii habari sio ya kweli?Marekani hawaaminiki wanachonganisha watu. Ukraine ilivyolalamika ikataka mambo mengi yafanyike kwake, mojawapo ni kupewa ndege za kivita. Marekani ikaziambia nchi zenye ndege sawa na Ukraine kwamba waipatie itumie. Poland inazo Su-29 squadrons kama tatu ikakubali itaipatia Ukraine. Taarifa zikaja kwamba itapeleka ndege haraka Ukraine ila Poland ikawahi kukanusha mara moja.
Sasa Poland wakakwepa mtego kwamba watatoa ndege zao za Su-29 ila watataka Marekani izifidie kwa kuwapa ndege nyingine, wao wanazo F-16 C/D na Marekani inazo ila chache na muhimu kwenye vita za kawaida kwa hiyo haiwezi zitoa kwa Poland. Ingetoa version ya juu ya chini kidogo labda. Poland iliagiza F-35 ila itaanza kuzipokea 2024 ndio maana inatoa hizi Su-29. Au kulikuwa na option nyingine kwamba NATO members wawe wanafanya rotation ya ndege zao kwa Poland kufidia upungufu wa hizi Su-29 mpaka pale watakapopata replacement kukamilika Airforce.
Sasa Poland kwanza ilishakataa kutumia airbases zake kwenye vita hii. Jana ikasema ndege itazitoa izipeleke Marekani kisha Marekani ndio impatie Ukraine. Cha ajabu leo Marekani imekataa. Maajabu!