Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Shoga humtetea shoga wenzake na hii inasibitishwa na jinsi unavotetea hao waeneza ushoga...na manina hamtoboi kamwe ...huezi mtetea mueneza ushoga Kama sio tabia yako ...
Wewe mwenyewe unachokitetea hukijui, inaonyesha hao unawatetea huwajui vizuri..,[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivyo hivyo Kwa Urusi,ameapa kutumia gharama yoyote kujilinda Urusi na warusi!
Hiyo op ya masaa 72 ni Kwa mujibu watu kama wewe na west,ila hakuna sehemu yeyote ambapo Russia alitoa muda wa operation yake!
 
Lakini elewa ya kwamba baba yako anayekulisha huwezi kumshitaki..,hata kama atakulawiti na kukufanyia vyovyote tu,utalazimika ku-mute Ili ipite siku maana huna ujanja..,na hicho ndicho kinamtokea Belarus,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Point za uyo ratgay kila cku
1.operation ya saa 72 kua ndefu
2.kulambishwa mchanga ..hii huendana na kale kapicha Cha statistics
3.msafara mrefu ..hapo pia kanaekaga na hio picha ya msafara
4.hirmas ,hirmas,hirmas
5.putin kujuta kuingia kwenye hii vita 😂
Nk.
 
Lakini zinawanyima usingizi warusi wa buza [emoji23][emoji23][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Silaha zote zinazoingizwa ukraine ni target Halali kwa urusi.., lakini Kwa bahati mbaya huyo super pawer wa kuchonga uwezo wa kuzitarget Hana..,yeye anachojua ni soft target kama makazi ya watu na miundombinu ya kiraia,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wew jamaa unafanya watu wakuone mwehu.Em tuaminishe hao ni raia wa urusi wanakimbia [emoji2357][emoji848]
 
Kama inateketea huku ikiendelea kuwachinja warusi Kwa wingi kadri wawezavyo,sioni tatizo [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We kenge hata wafe warusi milioni poa tuh maana kila mtu lazima afe na kila cku wanazaliwa watu wanakufa watu ...tatizo hio ardhi ikichukuliwa ndio bye bye hakuna ardhi ya kuzaliwa tena ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…