Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We kenge hata wafe warusi milioni poa tuh maana kila mtu lazima afe na kila cku wanazaliwa watu wanakufa watu ...tatizo hio ardhi ikichukuliwa ndio bye bye hakuna ardhi ya kuzaliwa tena ...
Naendelea tu kukumbusha [emoji23][emoji28][emoji16]
JamiiForums1708489687.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Point za uyo ratgay kila cku
1.operation ya saa 72 kua ndefu
2.kulambishwa mchanga ..hii huendana na kale kapicha Cha statistics
3.msafara mrefu ..hapo pia kanaekaga na hio picha ya msafara
4.hirmas ,hirmas,hirmas
5.putin kujuta kuingia kwenye hii vita 😂
Nk.
Ongeza na nyingine umeisahau mobilization ya watu laki tu😃
 
Wewe unaweza kumshitaki baba yako anayekupa ugali wa siku??
Huyo lukashenko hapo alipo ni Kwa msaada wa Putin tu, atawezaje kuinua kinywa dhidi yake?
Kilio Cha lukashenko huwezi kukiona wewe Wala Mimi maana ni kama kilio Cha samaki

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha porojo wewe mama
 
Back
Top Bottom