Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia 🇷🇺 🇷🇺💪 is advancing

‼Russian forces entered and captured part of the northern part of #Vodiane. https://t.co/oRUomGjlOj

20230116_152710.jpg
 
Ina maana teyar mmezidiwa propaganda za social media na warusi.

Imefikia wakati sasa hadi aljazeera anashindwa aseme nini [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]. Lol

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Propaganda hazisaidii chochote Mzee ,kitu Cha muhimu ni kuendelea kumchakaza mrusi na kumtia kilema Cha maisha [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
kilema Cha kukosa makazi, chumvi, miji,
Ok sawa na idadi ya watu na wanajeshi kufa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata kukosa chumvi mnaona ni hoja ya kuleta hapa? [emoji16][emoji2][emoji28]
Kweli mnaishiwa hoja Sasa.., uzuri ni kwamba vijana wakakamavu wa rais zelensiky wataedelea kuwachinja kwa wingi tu kadri wawezavyo.., mwaka huu mtaita maji mmaa [emoji12]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Propaganda hazisaidii chochote Mzee ,kitu Cha muhimu ni kuendelea kumchakaza mrusi na kumtia kilema Cha maisha [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Duuuh,world war 2 Soviet walipiteza watu milioni 27,wengi wao wakiwa Warusi!Mpaka kesho wanasherehekea victory day!
Leo hii haka la SMO ndio kamtie Urusi kilema?😆😆😆😆
Au una tafsiri ya peke Yako unayomaanisha!
 
Duuuh,world war 2 Soviet walipiteza watu milioni 27,wengi wao wakiwa Warusi!Mpaka kesho wanasherehekea victory day!
Leo hii haka la SMO ndio kamtie Urusi kilema?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Au una tafsiri ya peke Yako unayomaanisha!
Kumbe mnaona Raha warusi kuchinjwa eeh! Ngoja zelensiky aendelee kuwachinja tu hakuna namna [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hata kukosa chumvi mnaona ni hoja ya kuleta hapa? [emoji16][emoji2][emoji28]
Kweli mnaishiwa hoja Sasa.., uzuri ni kwamba vijana wakakamavu wa rais zelensiky wataedelea kuwachinja kwa wingi tu kadri wawezavyo.., mwaka huu mtaita maji mmaa [emoji12]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nakukumbusha walijifukia kwenye mahandaki kule walifurahia shoo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Leo meona Kuna baadhi ya pro rusia hawana akili ....yaani mnabishana na shoga kipanya mnaangaika kumletea evidence yeye ndio kwAnza anajibu uchoko alafu bdo hamkomi mnaendelea kubishana nae ...ukibishana na chizi nawe utakua chizi
 
Back
Top Bottom