sajosojo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 1,028
- 650
Wako Ukraine toka 2014 katika hiyo mikoa waliyojitangazia kuwa ni ya kwao ukiachana na hizi situations za sasa za Russia kurusha makombora kwa raia na kuharibu miundo mbinu so far hakuna walichoweza kuachive toka 2014Ila unatakiwa kuwatukana wakiwa wameondoka Ukraine.ila kama bado wapo basi jua lolote linawezekana.