Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huko Bakhmut Brigade mzima ya Ukraine imeamua kujisalimisha kwa Warusi kukwepa kupigana.

Sasa naona vijana wa Ukraine wameanza kumstukia Zelensk kuwa ana jambo lake kuhusu wao.

Huoni aibu unafanya propaganda juu ya bakhumut kwa miez 7 Sasa,.., wenzio Ukraine wamekomboa miji zaidi ya 5 ndani ya muda huo[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Stoltenberg mara zote amekuwa akisisitiza kwamba urusi amedhamilia kuendelea na hii vita kwa muda mrefu na Hana dalili za kukomesha vita hii.., usifikiri katibu huyu wa NATO anatoa kauli hizi bahati mbaya, Bali hizi kauli zinakuwa zinalenga kuyaweka attention mataifa mbalimbali kuendelea kusupply silaha nyingi kuelekea Kiev kadri wawezavyo,na lengo lao ni kuhakikisha urusi anapigishwa danadana Mpaka apate kilema Cha maisha hata kama hizo danadana zitachukua miaka 10

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hahahaha,sio miaka mitano Tena Bali miaka kumi😆😆😆,amal kweli Russia sio Zimbambwe!
 
Jambo la kusema tu kuwa Russia wamevamia nchi ya watu inaonesha ni jinsi gani hujui hata historia ya uwepo ya iyo nchi iliyovamiwa, hata sababu ya kuvamiwa hujui au pengine unakurupuka watu tumekuwa tukifuatilia huu mkasa tangia 2014 na inajulikana nani mchokozi pia nchi ambayo inatakiwa kulaumia kwa uvamizi wa nchi zingine ni marekani sio Urusi, mrusi mpaka akufuate ujua wewe ndo ulionzisha yeye anamaliza tu ulichoanzisha. Kama hujui au huna uwakika wa jambo usikurupuke tu ku comment
👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝🤝👍👍👍🇷🇺💪
 
[emoji3][emoji3]Nahisi lengo la Putin kwa Sasa Ni kuifuta kabisa Ukrain ktk ramani ya Dunia
Wakati Putin anaendeleaa kuchakazwa na comedian na kutiwa kilema Cha maisha naona pro Russia wa buza mnazidi kuleta masihara..,kwa ufupi jamaa safari hii kaingia Cha kike [emoji28]
1663764711030.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Soledar limekuwa fupa gumu mmeona Bora muipe kisogo, sio? Propaganda haipigani vita mzee

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Soledar gani iyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].kwani kuna Soledar mbili.ivi wewe una akili timamu kweli.yani bado unabisha kuwa soledar haijaondoka.umelogwa wewe sio bure
 
Soledar limekuwa fupa gumu mmeona Bora muipe kisogo, sio? Propaganda haipigani vita mzee

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ivi kwani ni lazima kila kitu kupinga tu.Unabisha kuwa Soledar haijanguka kama vile upo uwanja wa vita.muda mwingine jaribu kupunguza ubishi na uwe na point ili hata wenzako wakupe eshima.

Penda kufatilia vitu kwa ndani zaidi ili uwe na taarifa ya kina na ya kweli.jaribu kutafuta habari vyanzo mbalimbali.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuchukulia seriously hizo propaganda zako.., umeshakuwa zilipendwa,labda ubadilishe I'd,labda itasaidia kuongeza ladha[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom