Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Fmb-qQgXoAEHE9i

Minutes ago 15 Caliber missiles from the Black Sea are flying towards the Kyiv region.
Acha wapelek moto
 
Ukraine bado wanaweweseka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230116-043110~2.jpg

An emergency worker views the site of a residential building hit by a Russian missile on Sunday in Dnipro. (Yevhenii Zavhorodnii/Global Images Ukraine/Getty Images)

The Russian missile that hit an apartment block in Dnipro on Saturday was “no doubt” a Kh-22 missile, the Air Force Command of the Ukranian Armed forces said Sunday on its Facebook page.

“[A] Radar detected the approximate launch site, altitude, and flight speed. There is no doubt that it was an X-22 [Kh-22] missile,” it said.

“The Armed Forces of Ukraine lack the firepower capabilities for shooting down this type of missile….

Continue Reading

News Source: Russian missile that hit Dnipro apartment block was "no doubt" a Kh-22 missile, says Ukrainian Air Force Command
 
Konzi moja vilio 1000
Screenshot_20230116-043533~2.jpg

Ukrainian blogger Melania Podoliak, a prominent guest on Western news channels, has demanded that Russia and its people be “wiped off the face of the earth.” Podoliak issued her call for genocide on Saturday after her own country’s air defense supposedly caused a Russian missile to hit an apartment block.

“It’s absolutely fair for me to wish for all Russians and Russia to be wiped off the face of the Earth,” Podoliak tweeted. “It’s not hate speech, it’s not horrible of me, it’s just FAIR.”

Podoliak shared an image of an apartment block in the eastern Ukrainian city of…

Continue Reading

News Source: Ukrainian blogger calls for genocide of all Russians
 
Na kuelewa sasa kumbe unajua kabisa kua Ukraine inazidi kupotea alafu unataka danadana ziendelee wewe Raia wale watazikwa kaburi moja.

Mkatafutana humu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuliposema hawa watu hawana utu tulimaamisha. Ona Sasa wameisha - corrupt - kuwaza kwa kijana huyu.

Naye anaona ni sawa Waukraine waendelee kufa kama wanavyowaza neo Nazi ! Mbaya sana hii.
 
Ivi upo Duniani au upo usingizini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].maana unaongea kama vile vita imesimama.wenzako wanapelekewa moto, weww upo huku unaongea pumba
Mkuu hawa hawaelewi kuwa kipindi vita vinaanza USA na washirika WAKE walipeleka zaidi ya takribani 50 billion dollar na abject ya russia ni 64 billion dollar.
Nato na USA walipeleka siraha nyingi sana mara ya kwanza na waliamni pamoja na vikwazo zile russia itaanguka miezi michache.
Ila kilichotokea mpaka wao kakamata TAMAA.
Hata sasahivi speed ile ya MARA ya kwanza ni mdogo .
Sasa kama UK anapeleka challenger 2 tanks 10, zinakazi gani kule mkuu.
Kulinda kwa zele hio haiwezekani
 
Ha ha NATO kupigana dhidi ya Russia wakitokea Ukraine hi sidhani Kama itatokea. Hata kwa bahati mbaya.
Warusi Ni taifa la kutisha zaidi dhidi ya magharibi kuliko taifa lingine lolote.
Wataendekeza proxy war lakini so kuingia direct.
Mataifa 28 yamejikusanya si kwa sanabu ya ugaidi wa ISIS but Ni juu ya taifa moja tu la kutisha. Huitwa Russian Federation. Na kiongozi wake Ni Leutenant Vladmir Putin.
Unonekana mweupe sana kichwani kuchambua mambo yanayoitaji utulivu wa akili na uelewa kuhusu medani na siasa za mataifa. Elimu yetu vijana hamna analytical mind mnachowaza ni ushabiki yanayoitaji uelewa angalau kidogo.
Kuna vita na uwanja wa medani yaani ( battle field ) dunia sasa hivi wamechagua uwanja tofauti wa medani yaani vita imehamia kwenye uchumi na technolojia. Uwanja wa medani kwa njia ya silaha ni option ya mwisho kabisa na huwa inaepukwa kwa njia zote.

Kwa sasa vita ya silaha ni ngumu nchi nyingi zimeendelea kimedani na uwezo wa kutumia silaha, kuliko kuleta ushabiki wa nato na russia ni vema kuangalia victim wa mwisho ni nani?
 
Mkuu hawa hawaelewi kuwa kipindi vita vinaanza USA na washirika WAKE walipeleka zaidi ya takribani 50 billion dollar na abject ya russia ni 64 billion dollar.
Nato na USA walipeleka siraha nyingi sana mara ya kwanza na waliamni pamoja na vikwazo zile russia itaanguka miezi michache.
Ila kilichotokea mpaka wao kakamata TAMAA.
Hata sasahivi speed ile ya MARA ya kwanza ni mdogo .
Sasa kama UK anapeleka challenger 2 tanks 10, zinakazi gani kule mkuu.
Kulinda kwa zele hio haiwezekani
Vita ni gharama kubwa sana kijana sio jambo la ushabiki maana uzalishaji na manunuzi vinashuka sana. Kwa mfano watu ambao wako karibu na mstari wa mbele wa mapigano hawawezi kutoka kwenda kufanya kazi wanasubili msaada. Kutoa fidia kwa askari wanaokufa vitani, supply, kuboresha miundombinu inayoharibiwa.

Russia ni taifa kubwa kijeshi na utajari wa utamaduni ila kuvamia nchi ya watu sio guarantee ya ushindi. Inawezekana unachoongea wewe warusi wakawa na maoni tofauti juu ya hii vita, wapo wanaopoteza ndugu zao na wapo waliopoteza kazi zao kutokana na vikwazo.
 
Wao wameenda kulinda taifa Lao, baada ya Nato na Ukraine kukiuka makubaliano.
 
Vita ni gharama kubwa sana kijana sio jambo la ushabiki
Sijashabikia vita itokee sawa.
Sasa kama USA SUPERPOWER ANATOA mabillion ya dollar kwa MARA ya kwanza wametoa pesa nyingi sana siraha plus vikwazo kwa URUSI afu hazijafanikidha lolote sasa.
USA na NATO kushonda vile vita hawataweza kamwe.
Watafute WAPIGANAJI wakitoka canada, UK, USA, poland na kwengine.
Wale volunteers waliorudi watakuambia walichokipata Kule.
Tena hao ni wale wenye uzoefu waliopigana iraq, syria na kwengine.
 
Vita ni gharama kubwa sana kijana sio jambo la ushabiki maana uzalishaji na manunuzi vinashuka sana. Kwa mfano watu ambao wako karibu na mstari wa mbele wa mapigano hawawezi kutoka kwenda kufanya kazi wanasubili msaada. Kutoa fidia kwa askari wanaokufa vitani, supply, kuboresha miundombinu inayoharibiwa.

Russia ni taifa kubwa kijeshi na utajari wa utamaduni ila kuvamia nchi ya watu sio guarantee ya ushindi. Inawezekana unachoongea wewe warusi wakawa na maoni tofauti juu ya hii vita, wapo wanaopoteza ndugu zao na wapo waliopoteza kazi zao kutokana na vikwazo.
Jambo la kusema tu kuwa Russia wamevamia nchi ya watu inaonesha ni jinsi gani hujui hata historia ya uwepo ya iyo nchi iliyovamiwa, hata sababu ya kuvamiwa hujui au pengine unakurupuka watu tumekuwa tukifuatilia huu mkasa tangia 2014 na inajulikana nani mchokozi pia nchi ambayo inatakiwa kulaumia kwa uvamizi wa nchi zingine ni marekani sio Urusi, mrusi mpaka akufuate ujua wewe ndo ulionzisha yeye anamaliza tu ulichoanzisha. Kama hujui au huna uwakika wa jambo usikurupuke tu ku comment
 
Kwa mtu mwenye akili kwa kipigo alichotoa Russia wiki iliyopita na kwa kasi aliyotembea nayo ya kuchukua maeneo angekaa nao mezani. Zelensky akifanya masihara eneo kubwa la nchi litachukuliwa na mwisho itabakia kuwa history!
Kama nchi ilishindwa kuchukuliwa na ule msafara wa km 64..,Cha msingi huyo super pawer wa kuchonga aendelee kuugulia maumivu tu [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hata Hitler alikuwa greatest na stronger lakini alichapwa... Putin hii ndio downfall yake hii vita ilikuwa simple kwa Russia lakini now kila siku malengo yao yana twist mwanzo ilkuwa ni kumuondoa zelenky na kuweka utawala wake then ikaja kudemilitalize Ukraine baadae ikaja kuimega uraine mikoa minne ambayo kwa asilimia kubwa alikuwa anai control kutoka mwaka 2014 baada ya kuanza kuloose kushindwa kuicontrol hiyo mikoa now anafanya war crimes kwa kurusha mabom ovyo kwenye makazi ya watu...Kifupi hii ni Loosing battle kwake na ndiyo down fall yake
Urusi hii vita amejiingiza machinjioni,na lazima atachinjwa tu , maana Kwa Sasa kila mmoja anamgombania kama mpira wa Kona 🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vita ni gharama kubwa sana kijana sio jambo la ushabiki maana uzalishaji na manunuzi vinashuka sana. Kwa mfano watu ambao wako karibu na mstari wa mbele wa mapigano hawawezi kutoka kwenda kufanya kazi wanasubili msaada. Kutoa fidia kwa askari wanaokufa vitani, supply, kuboresha miundombinu inayoharibiwa.

Russia ni taifa kubwa kijeshi na utajari wa utamaduni ila kuvamia nchi ya watu sio guarantee ya ushindi. Inawezekana unachoongea wewe warusi wakawa na maoni tofauti juu ya hii vita, wapo wanaopoteza ndugu zao na wapo waliopoteza kazi zao kutokana na vikwazo.
Shida mmemezeshwa sana propaganda namkazimeza
Mliaminishwa RUSSIA anauchumi wakawaida sana leo hii tunaona misaada alopelekwa UKRAINE ya kijeshi inaizidi kwambali sana hata bajet ya RUSSIA (Ndio mujue RUSSIA anajua anachokifanya)
Hakuna anaekataa kwamba vita gharama na RUSSIA anaingia gharama kubwa
Ila msilolijua ambalo RUSSIA wanalijua nikwamba gharama wanayoingia kwasasa nindogo mno kulinganisha gharama ambayo wangekuja kulipia huko mbeleni
Msilolijua nikwamba RUSSIA anapigana kuhakikisha usalama wake wataifa na uchumi hautishiwi
Chengine hujajiuliza licha ya vikwazo vyote zaidi ya 20k ila bado RUSSIA wanadunda unadhani wao hawakujiandaa ila wamagharibi tuuu
Tena hii SMO inaenda vyema sana maana gharama za vitu vinapanda inakua faida kwa RUSSIA ulizia bei ya nafuta ngano nk vilivyo bei huko sokoni unahisi RUSSIA hafaidiki
RUSSIA kwake anapigana vita takatifu nyie jidanganyeni tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom