[emoji3][emoji3][emoji3]Sio kipanya44 huyo.maana jamaa kwa sasa anaishi akiwa na mawazo ile mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]Sio kipanya44 huyo.maana jamaa kwa sasa anaishi akiwa na mawazo ile mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungejua ninavyoinjoi life Wala usingeandika hiki ulichoandika,Sio kipanya44 huyo.maana jamaa kwa sasa anaishi akiwa na mawazo ile mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
amebaki peke yake wenzie wote wamesambalatika [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nahisi kabisa hapa akawa ndiye.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Endelea kujifariji lakini fahamu fika kwamba wale mobilized soldiers laki tatu wameshalambishwa mchanga au kutiwa vilema..,Sasa hivi wanaandaliwa wengine laki Tano Ili watolewe sadaka,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiona Urusi wamepoteza wanajeshi laki 3 basi jua kuna wanajeshi milioni 6 wa ukraine watakuwa wameenda na mma
Zelensk aliwekwa pale kwa mission maalum baada watangulizi wake kugoma kuingiza nchi ktk Vita na urusi hivyo marekani akamtafuta kiongozi asiye na akili ndo akampata huyu Sasa hapa anatekeleza tu alichotumwa Vita ikiisha na yeye Hana maisha [emoji3][emoji3]Zelensky aliyakanyaga....hakuwa mjanja,alipaswa kutumia akili sio hisia..alipaswa kuwa smart..
Ajifunze kwa yule mwenzake wa Georgia..walipopigana na Russia 2008, baada ya uraisi wake kuisha..kahangaika sana, mpaka alikimbilia Ukraine wakati wa Poronshenko....alipewa uraia...baadae karudi Georgia..ikaingia serikali ambayo haitaki ugomvi na Russia, tunavyoongea yuko Gerezani...huyu alikuwa zaidi ya Zelensky kipindi kile, full kushangiliwa kila kona...pro western kindakindaki.....
Zelensky anasafari ndefu sana....
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Amasahau kwamba US anamugwaya sana Russia na ndo maana had Sasa wanaingia indirect sana tofauti na walivoingilia migogoro ya nchi zingine mfano hapa libiyaAseee...... Na huyu ni Great Thinker ...hii nchi tutachelewa sana Kwa akili kama hizi.....
Nyie watu sijui vipi...Pale Russia ilipoanzisha SMO kwa maana ya February 24 ule msafara mrefu wa decoy wa Russia ulipokuwa unaelekea Kiev ulikuwa umetokea Belarus...na basdaye msafara huo ulirejea Tena Belarus...
Ila kwa Sasa Russia imepeleka Askari wengi kwa maelfu huko Belarus pamoja na zana za kisasa....inaelezwa kuwa Russia itafungua front nyingine kuelekea Kiev wiki kadhaa zijazo...lakini lengo jingine kubwa ni kuingia Ukraine kwa kupitia ili kuzuia silaha za NATO na West ambazo huingizwa Ukraine kwa kupitia mpaka wa Ukraine na Poland...kwa hiyo jeshi la Russia litagawanyika huku jingine likielekea Kiev na jingine likienda kwenye mpaka wa Poland kuziba njia za kupitishia silaha...
Ana Mafuta, Madini, Gas, Technology, Viwanda, Ardhi, Akili, hela etc...Ni swala la muda tu wote wanaotoa msaada wa silaha kukaa pembeni.uwezi shindana na mtu mwenye Mafuta,madini na viwanda.
Mwenzenu anachukua madini anatengeneza silaha.mafuta yapo kwake, nyie kila kitu ela.hapo mtashindana vipi.
Muda utaongea tu.tuwe wapole
Kwa mtu mwenye akili kwa kipigo alichotoa Russia wiki iliyopita na kwa kasi aliyotembea nayo ya kuchukua maeneo angekaa nao mezani. Zelensky akifanya masihara eneo kubwa la nchi litachukuliwa na mwisho itabakia kuwa history!Ana Mafuta, Madini, Gas, Technology, Viwanda, Ardhi, Akili, hela etc...
Muda utaongea tu tuweni wapole[emoji23][emoji23][emoji23]Wamarekan waandamana kuipinga NATO wanasisitiza nchi yao isipeleke siraha UkrainView attachment 2482631
[emoji23][emoji23][emoji23] Uzuri tumekubaliana kuwa hakuna meza kwa ajili ya kazi iyo.acha inyeshe tujue wapi panapovuja.Kwa mtu mwenye akili kwa kipigo alichotoa Russia wiki iliyopita na kwa kasi aliyotembea nayo ya kuchukua maeneo angekaa nao mezani. Zelensky akifanya masihara eneo kubwa la nchi litachukuliwa na mwisho itabakia kuwa history!
Kuuuubwa mnoooUK Ministry of Defense denied sending 4 Apache attack helicopters to Ukraine completely and the Mirror took the article down.
Russia ni dude kubwa
Kakojoe ulale ww bado mtoto sana kuelewa siasa za dunia zinaendajeNow ninaelewa ni kwa nini Idd Amin alivyoivyamia TZ nyerere alimpiga hadi Unganda...the only way ya vita hii kuisha ina kumpiga putin hadi Moscow
Ila battle wanayopigana ni ya kikatili sana! Hii battle ya kusafisha mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ni battle ngumu mnoo! Sidhani kama wamagharibi wangeiweza hii battle![emoji23][emoji23][emoji23] Uzuri tumekubaliana kuwa hakuna meza kwa ajili ya kazi iyo.acha inyeshe tujue wapi panapovuja.
Ila naimani mwisho wa siku wataomba tu poo maana watoaji silaha upepo umeanza kukata[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nani kumfunga paka kengelee !!?Now ninaelewa ni kwa nini Idd Amin alivyoivyamia TZ nyerere alimpiga hadi Unganda...the only way ya vita hii kuisha ina kumpiga putin hadi Moscow
Hii ndo dawa yao maana walikuwa wanavizia kwenye majengo ya makazi ya watu.hii sasa ukijificha tu kwenye jengo basi unakuwa umeficha uhai wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila battle wanayopigana ni ya kikatili sana! Hii battle ya kusafisha mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ni battle ngumu mnoo! Sidhani kama wamagharibi wangeiweza hii battle!
Lakini Warusi wanawaambiaHii ndo dawa yao maana walikuwa wanavizia kwenye majengo ya makazi ya watu.hii sasa ukijificha tu kwenye jengo basi unakuwa umeficha uhai wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]