Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mpaka sasa hakuna mtu mwenye uhakika wa nini kinaenda kutokea uko Belarus [emoji1044], maana Urusi kapeleka Jeshi la kutosha, silaha nzito za kivita na inasemekana hadi strategic bombers zimepelekwa uko. Vyombo vya habari vya Magharibi vinabaki kutabiri kuwa kuna uvamizi utatokea Belarus kuingia Ukrain, muda haujulikani.
 
@kp kipanya44 yeye anajua wazi kwamba uwepo wake hapa unawakera wengi.,na ndio maana Kwa kutambua Hilo anaendelea kuwepo Ili waendelee kukereka[emoji23][emoji28][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kiuhalisia Ukraine maji ya shingo kwa sasa hiyo hata kuku wanajua, isipokuwa kwa vile wewe upo hapa kama unavyosema mwenyewe kwa ajili ya kuwakera watu(ubishi) endelea tu kuwepo na kuwakera hao watu.
 
Ukraine bado anaendelea kumkoa konzi yule aliyejiita super pawer, kumbe ni super pawer wa mchongo tu.., nguvu alizonazo azifikii hata nguvu ya soda 🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa hakuna mtu mwenye uhakika wa nini kinaenda kutokea uko Belarus [emoji1044], maana Urusi kapeleka Jeshi la kutosha, silaha nzito za kivita na inasemekana hadi strategic bombers zimepelekwa uko. Vyombo vya habari vya Magharibi vinabaki kutabiri kuwa kuna uvamizi utatokea Belarus kuingia Ukrain, muda haujulikani.
Nadhani urusi hakutosheka wakati ule msafara mrefu wa km 64 ulipokaangwa, naona anajiandaa kuleta msafara mwingine Ili na wenyewe utiwe kibelit[emoji134][emoji134]
JamiiForums2062737931.jpg
JamiiForums553682096.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wale wanaosubiria russia aishiwe silaha kumbe bwana putin alishawajibu zamani....

Kama ukraine risasi wanazotumia siku moja ni sawa na uzalishaji wa miezi 6 kwa ujerumani.

Je tulishawahi kuifikiria russia matumizi yao kwa siku...

Wakati huo huo wanapeleka bomba za maangamizi huko belerus

Ngoja danadana ziendelee..,ikifika miaka angalau 5 hambayo tayari imeshatengewa bajeti tutajua mbivu na mbichi[emoji6]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
UK Ministry of Defense denied sending 4 Apache attack helicopters to Ukraine completely and the Mirror took the article down.

Russia ni dude kubwa
Dude kubwa hambalo linaangaishwa na kataifa kadogo size ya mkoa wake.., ngoja tuendelee kunywa mtoli huenda nyama tukazikuta ndani [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa hakuna mtu mwenye uhakika wa nini kinaenda kutokea uko Belarus [emoji1044], maana Urusi kapeleka Jeshi la kutosha, silaha nzito za kivita na inasemekana hadi strategic bombers zimepelekwa uko. Vyombo vya habari vya Magharibi vinabaki kutabiri kuwa kuna uvamizi utatokea Belarus kuingia Ukrain, muda haujulikani.
Ukraine nae amejuimuishwa kua mwanachama wa NATO si kisheria baada ya Russia kuonekena kutaka kutumia ardhi ya Belarus... Sasa hapo ndio patamu maana Poland ataingilia ktk muda si mrefu km Belarus itatumika kuishambulia Ukraine
 
Poland [emoji1200] hawezi kuingilia maana anabidi apate idhini ya NATO kupeleka jeshi kwenye Ardhi ya kigeni ili ikitokea ya kutoa aweze kupata support ya NATO nzima.

Pili, Majeshi ya Urusi yanaweza kutokea Belarus [emoji1044] ila sio wanajeshi wa Belarus, itakuwa kama mwanzo wa hii operation ilivyoanza, kuna majeshi ya Urusi yalitokea Belarus [emoji1044].
 
Ukraine Conflict: Start of the End?

Former US Secretary of State Condoleezza Rice and former Secretary of Defense Robert Gates, never the smartest people in the room, warn that ‘time is not on Ukraine’s side.’

They are actually right, but for the wrong reasons. They are perfectly happy to see the Ukraine conflict continue.

Former UN weapons inspector Scott Ritter claims Ukraine receiving massive cash injections "is like a heroine addict getting fresh heroine", and that the West has "nothing left to feed the Ukrainian junkie".

Watch the full episode of Cross Talk

Subscribe to RT
 
Tuwaombee sana ukrain jamani kila wakati wao ni kukimbilia kwenye mahandaki
Waombeeni kwanza warusi hambao wanapelekwa machinjioni na dikiteta wao bila kujua wanachokipigania.., soon zelensiky ataletewa mait ya Putin na kupiga selfie [emoji1702][emoji1702][emoji23]
1663764636906.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa hakuna mtu mwenye uhakika wa nini kinaenda kutokea uko Belarus [emoji1044], maana Urusi kapeleka Jeshi la kutosha, silaha nzito za kivita na inasemekana hadi strategic bombers zimepelekwa uko. Vyombo vya habari vya Magharibi vinabaki kutabiri kuwa kuna uvamizi utatokea Belarus kuingia Ukrain, muda haujulikani.
"All that indicates that they are prepared to continue the war and also try to potentially launch a new offensive." Hii ni kauli ya Stoltenberg. Hiyo new offensive anayoisema pengine ndio hiyo itayotokea Belarus.

Kama ss hv tu Ukraine anazidiwa itakuwaje kukiwa na new offensive kutokea Belarus!?
 
Stoltenberg mara zote amekuwa akisisitiza kwamba urusi amedhamilia kuendelea na hii vita kwa muda mrefu na Hana dalili za kukomesha vita hii.., usifikiri katibu huyu wa NATO anatoa kauli hizi bahati mbaya, Bali hizi kauli zinakuwa zinalenga kuyaweka attention mataifa mbalimbali kuendelea kusupply silaha nyingi kuelekea Kiev kadri wawezavyo,na lengo lao ni kuhakikisha urusi anapigishwa danadana Mpaka apate kilema Cha maisha hata kama hizo danadana zitachukua miaka 10

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Waombeeni kwanza warusi hambao wanapelekwa machinjioni na dikiteta wao bila kujua wanachokipigania.., soon zelensiky ataletewa mait ya Putin na kupiga selfie [emoji1702][emoji1702][emoji23]View attachment 2482288

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
wacha we Mlitamani hizo stamp zenu mzisambaze mlipo hisi mwanzo kua msha muweza URUSI lakini baada ya mambo kua magumu

Mmeona mjiliwaze nazo zijisije zikaozea library sio!!!

Stamp za kwenye daraja mlilolipiga kule zimewatikoa puani.

Sasa hivi wanaishia kulalamika oh URUSI anapiga Raia.

Wakati mna ji selfie mna onekana anawatungua kueni makini.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom