kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hiyo maana ya " estimate" naijua sana Wala huna haja ya kutumia nguvu nyingi kufafanua,..,sote tunajua kwamba urusi alifanya mobilization ya askari laki tatu,na Bado muda si mrefu atawaswaga vijana wengine laki Tano Ili awapeleke machinjioni..,kwa kuzingatia Hali hii napata mashaka na idadi inayotolewa na Ukraine kuhusu warusi waliochinjwa...,hiyo idadi ya 120000 Iko chini mno kulingana na uhalisia unaoonekana kwenye uwanja wa vita,Hii maana ya neno estimate usiwe unakurupuka tu Kama umekula maharage ya mbeyaView attachment 2482071
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app