Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakati mwingine na muwaza Zelensiky, V katika pembe nyingine. Huyu Zelensiky wanasema ana asili ya Uyahudi.

Na inajulikana, Ukraine chini ya Bandera walishirikiana na Nazi wa Ujerumani ya Hitler kuua wayahudi.

Ukraine ya Sasa Toka 2014 inavikundi vya Neo Nazi kama Azov, na ultra nationalists wengine wenye kumsifia Bandera. Wakati Bandera alikuwa Muuaji wa Wayahudi kipindi cha vita ya pili ya Dunia.

Sasa, unajiuliza huyu mwenye asili ya Uyahudi, Zelensiky, anaungana vipi na vikundi vilivyoua Babu zake? Kwa mbali na ona na kuwaza, Zelensiky, kama " our man behind enemy line". Analipiza kisasi akiwa nao bila wao kuumjua. Usishangae siku za usoni akapewa nishani ya Ushindi wa kukamilisha mission!!! Wana akili ndefu hawa jamaa!!

Mimi Nawaza hivi. Yawezekana Nawaza tofauti na ukweli uliopo. Kwa hiyo, nipo tayari kukosolewa.
Utashangaa putin ana mpatia cheo kwa kuingiza nato na USA mkenge ..kumbe ni afisa wa KGB warusi walitafuta ***** ili kuwauza kiakili nchi za nato[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakati unaandika tumia akili bro sio mihemko

Hizo saa 72 ni dhidi ya Ukraine na sasa mrusi anapigana na NATO huoni tofauti au hili nalo hulijui

Mbaya zaidi ona hawa wanaandamana kwa kua watu zao wengi wamekufa

Na unapo sema mpaka mwezi june urusi atakuwa hivi sijui vile ni maneno ya kwenye kanga hayo bro

BORA ungesema tu mpaka mwezi june uenda Ukraine ikabaki magofu

Au nyumba zinavyo anguka huko huzioni

Vikwazo kaekewa muda tu na husikii akiomba omba kama huyu comedian wako anaomba msaada kenya sasa kamsadieni mwenzenu NATO wameshindwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
View attachment 2481602
Mbona unajikanyaga Mzee, unasema urusi anapigana na NATO lakini nikiangalia haya ya mwisho ya hii coment yako unajikana mwenyewe
Kwa kukusaidia tu ni kwamba urusi angekuwa anapigana na NATO ungeona melivita kibao za NATO pamoja bombers kama F-16 na nyinginezo zikiendelea kuwanyeshea mvua ya mabomu huko Ukraine, urusi Hana msuli wa kupigana na NATO Kwa muda wote huu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Two more echelons with Russian equipment arrived in Belarus. In total, according to the estimates of the Belarusian opposition, there were at least 91 units of military equipment in them.
View attachment 2481295

Russia ni mfano wa trekta, muda wote lipo kazini bila ya kuonekana kituo cha mafuta

Tuendelee kusubiria hadithi ya russia kuishiwa silaha
Jf,,,,tamu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona unajikanyaga Mzee, unasema urusi anapigana na NATO lakini nikiangalia haya ya mwisho ya hii coment yako unajikana mwenyewe
Kwa kukusaidia tu ni kwamba urusi angekuwa anapigana na NATO ungeona melivita kibao za NATO pamoja bombers kama F-16 na nyinginezo zikiendelea kuwanyeshea mvua ya mabomu huko Ukraine, urusi Hana msuli wa kupigana na NATO Kwa muda wote huu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakuna bombers ya NATO iitwayo F 16, f 16 Ni multrole airsuperiority fighter jet Kama f 15 na Dasault Rafale.
Bombers za NATO unaweza kuiweka b 2, B 52 Stratofortress, b 21 sky raider na kwa namna flani Dasault Rafale Ni bomber pia
 
Nimeshaanza kuwa na wasiwasi na IQ yako.
Lazima uwe na wasiwas kwa sababu umezoea kulishwa propaganda kwamba urusi anapigana na NATO ukraine,umeaminishwa miaka nenda Rudi kwamba urusi anaweza kutapiga mataifa Ya NATO within few days wakati kataifa kamoja tu ka ukraine kanamtoa kamasi.., hivyo akitokea yeyote wa kukuambia ukweli lazima uwe na wasiwas na IQ yake

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna bombers ya NATO iitwayo F 16, f 16 Ni multrole airsuperiority fighter jet Kama f 15 na Dasault Rafale.
Bombers za NATO unaweza kuiweka b 2, B 52 Stratofortress, b 21 sky raider na kwa namna flani Dasault Rafale Ni bomber pia
Lakini si umeelewa? Wewe lengo lako ni kutfta typing error Ili pro Russia wenzio wapate mwanya wa kuporomosha matusi lakini ukweli umeshaupata kwamba urusi anahenyeshwa na Ukraine tu Wala hakuna majeshi rasmi ya NATO pale,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2481227
.
JamiiForums1763838831.jpg
 
sio tatizo mkuu, kirusi ni lugha kama rugha nyingine tuu.
Maana video tumerusha nyingi sana HUMU hajatafsili ila hio katoa, maana.
Sasa sijajua mda WOTE alikuwa wapi.
Sikila mda unapotuma video atatafsiri ni mapenzi amejiamulia kufanya hivyo.

Hata wewe unachotuma humu unatuma kwa mapenzi yako binasfi.
 
Hakuna bombers ya NATO iitwayo F 16, f 16 Ni multrole airsuperiority fighter jet Kama f 15 na Dasault Rafale.
Bombers za NATO unaweza kuiweka b 2, B 52 Stratofortress, b 21 sky raider na kwa namna flani Dasault Rafale Ni bomber pia
Pro Russia mkiishiwa hoja mnatafta minor issues Ili kuhamisha mada.., badala ya kujibu hoja ya msingi unajitahid kukosoa typing error,
Unatumia vigezo gani kusema urusi anapigana na NATO na si Ukraine,? Hilo tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Pro Russia mkiishiwa hoja mnatafta minor issues Ili kuhamisha mada.., badala ya kujibu hoja ya msingi unajitahid kukosoa typing error,
Unatumia vigezo gani kusema urusi anapigana na NATO na si Ukraine,? Hilo tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndio maana nakuambia IQ yako inatakiwa tuipime wenye Vita wanakubali wewe unapinga hata ubalozi wa nyumba kumi hujawahi kuongoza.
Screenshot_20230115-111011.jpg
 
Ndio maana nakuambia IQ yako inatakiwa tuipime wenye Vita wanakubali wewe unapinga hata ubalozi wa nyumba kumi hujawahi kutongoza.View attachment 2481768
Wewe ndio unaonekana ubongo wako una shida sehemu, umeambiwa ulete ushaidi usiotia shaka kwamba ni Kwa nini urusi anapigana na NATO na sio Ukraine.., Ukraine kusema kwamba wao ni wanachama wa NATO inaweza kuwa janjajanja ya kumtia tumbo joto Putin apagawe na kupata frastration kwamba anachokipigania ni kama anatwanga maji kwenye kinu,hii vita Ina maneno mengi ya kutiana tumbojoto na kukatishana tamaa Ili kumfanya adui yako aweze kuhathirika kisaikolojia ..,usitake kuniambia kwamba unayachukulia seriously maneno yote yanayosemwa na wanasiasa katika hii vita

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mbona unajikanyaga Mzee, unasema urusi anapigana na NATO lakini nikiangalia haya ya mwisho ya hii coment yako unajikana mwenyewe
Kwa kukusaidia tu ni kwamba urusi angekuwa anapigana na NATO ungeona melivita kibao za NATO pamoja bombers kama F-16 na nyinginezo zikiendelea kuwanyeshea mvua ya mabomu huko Ukraine, urusi Hana msuli wa kupigana na NATO Kwa muda wote huu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bro NATO hata alete nini kwa huyu mwamba anae julikana kwa jina la PUTIN
hakuna kitakacho fua dafu. Hao walisema Russia kasha ishiwa na silaha ila kilichotokea jana

Mimi nimeelewa kua wao ndio walio ishiwa silaha na sio mwamba PUTIN

Wazilete tu tusiandikie mate Wakati vita viko uwanjani.

Western hawauwezi ule mziki kivyovyote.

Nakukumbusha jana potrait haija fanya kazi huko kiev

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Bro NATO hata alete nini kwa huyu mwamba anae julikana kwa jina la PUTIN
hakuna kitakacho fua dafu. Hao walisema Russia kasha ishiwa na silaha ila kilichotokea jana

Mimi nimeelewa kua wao ndio walio ishiwa silaha na sio mwamba PUTIN

Wazilete tu tusiandikie mate Wakati vita viko uwanjani.

Western hawauwezi ule mziki kivyovyote.

Nakukumbusha jana potrait haija fanya kazi huko kiev

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna anti air missile moja huko maeneo ya Dnipro baada ya kutungua cruiser, yenyewe ikaenda kupiga moja kwa moja kwenye nyumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii sijui imekaaje wadau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bro NATO hata alete nini kwa huyu mwamba anae julikana kwa jina la PUTIN
hakuna kitakacho fua dafu. Hao walisema Russia kasha ishiwa na silaha ila kilichotokea jana

Mimi nimeelewa kua wao ndio walio ishiwa silaha na sio mwamba PUTIN

Wazilete tu tusiandikie mate Wakati vita viko uwanjani.

Western hawauwezi ule mziki kivyovyote.

Nakukumbusha jana potrait haija fanya kazi huko kiev

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tatizo hapa najadiliana na mtu aliyeanza kufuatilia hii vita wiki Moja tu iliyopita..,unasema wazi hapa kwamba baada ya kushuhudia mashambulizi ya Jana huko Ukraine ndo umeamini kwamba urusi hajaishiwa silaha, as if ni mara ya kwanza urusi kufanya mashambulizi kama hayo au hata zaidi ya hayo uko Ukraine..,hili limenidhihirishia wazi pasipo shaka yoyote kwamba umeanza kufuatilia hii vita wiki iliyopita
Kingine kilichonidhilishia wazi pasipo shaka yoyote kwamba umeanza kufuatilia hii vita wiki Moja iliyopita ni pale unapodai kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya patriot haijafanya chochote kuzuia mashambulizi ya hapo Jana..,nani kakwambia patriot imeshaanza kazi Ukraine??
Mwisho nakushauri usome kwanza kuanzia mwanzo wa hii thread mpaka Sasa ilipo Ili angalau uelewe chochote kuhusu hiii vita,ukishafanya hivyo Rudi Tena tujadiliane,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
IMG_20230115_115221_371.jpg

Arestovich continues to expose not only Ukrainian lies, but Western ones in general. He clearly and clearly wrote that no matter what Ukraine did, none of the Western media would blame it. And he gave one of the examples of how a Ukrainian missile only killed two Poles. Yes, the truth always comes out, even from someone like Arestovich
 
Back
Top Bottom