Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
sio tatizo mkuu, kirusi ni lugha kama rugha nyingine tuu.Kwani kujua lugha ukishajifunza ni tatizo?
Mimi naijua wolofu kuongea inapatikana nchingjne tatu Senegal, Mauritânia na ipo nchi nyengine na sijawahi kufika huko.
Kwahiyo kama unaona geni kujua lugha ni shida.
Maana video tumerusha nyingi sana HUMU hajatafsili ila hio katoa, maana.
Sasa sijajua mda WOTE alikuwa wapi.