Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vita Ni mbaya mnoo ila hii wacha iwe ili wazungu nao waone machungu wanaopitia nchi za Africa na midle east kila cku kwa sababu zao ..tena ikifika hadi kwenye izo nchi za nato ndio itakua poa maana wao kuvamia wenzao wanaonaga kawaida pumbav zao ...that why I stand with Russia 😂😂😂😂uraaaaa
 
Hizi ninazokutumia ni kwa Soledar pekee bado sehemu zingine
20230114_180904.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Ukraine kwa sasa kitu pekee cha kuwasaidia ni kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu za Putin.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



DniproView attachment 2481042
Wamsifu huyu anayejificha kwenye andaki?[emoji16]
1663764489838.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unateseka ukiwa Bonyokwa sehemu gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nakuona vile presha inavyopanda na kushuka ukiona coment yangu..,nitazidi kuwapelekea moto mpaka mtazoea tu.., uzuri yeyote akileta matusi na lugha chafu tunakwenda sambamba..,siwapi nafasi ya kupata oxygen [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama nakuona vile presha inavyopanda na kushuka ukiona coment yangu..,nitazidi kuwapelekea moto mpaka mtazoea tu.., uzuri yeyote akileta matusi na lugha chafu tunakwenda sambamba..,siwapi nafasi ya kupata oxygen [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Popote mlipo sisi tupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20230114_183731.jpg
 
Back
Top Bottom