kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,335
- 9,577
Wataisha wote kuleHuko bakhamut ukraine inapewa kichapo balaaa
Wataisha wote kuleHuko bakhamut ukraine inapewa kichapo balaaa
Siskii Ukraine kushambulia ndani ya Urusi nini shida??
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sasa hivi wakiwakamata hakuna tena kufugwa kama mateka Ni shaba tu maana wakifungwa wanatia ghalama wakiachiwa wanarejea tena ktk vikosi huko Ukrain Sasa naona wameamua kuwamaliza kabisa,[emoji15][emoji15]Da! Kweli vita sio poa kabisa.sijui wamewafanya nini.au waliwapanga mstari wakawapiga mikwaju.R.I.P
Wakati mwingine na muwaza Zelensiky, V katika pembe nyingine. Huyu Zelensiky wanasema ana asili ya Uyahudi.Nadhani Nazi head walioshauri kulipua daraja la Crimea wanajuta kufanya vile. Hii retaliation from Putin imekuwa ya moto mnooo
Ssfi sana RUSSIAView attachment 2481257
A picture published by Ukraine's DTEK shows large-scale destruction in one of the Kyiv thermal power plants after today's massive Russian attack. The turbine hall and the power unit as a whole were damaged (or destroyed).
Zilikua ni propaganda za western media na tatizo sio propaganda za media, tatizo ni watu waliokua wanaamini hizo propaganda wakifurahia kwamba ni za kweli bila hata kufikiria habari hizo.Yani waliosema jamaa kaishiwa silaha ndo wamekuwa wakwanza kukata moto, aliyeishiwa silaha ndo yupo moto wa kuotea mbali.
Hii imekaaje wadau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
eurasiantimes.com
Nadhani Nazi head walioshauri kulipua daraja la Crimea wanajuta kufanya vile. Hii retaliation from Putin imekuwa ya moto mnooo
Zilikua ni propaganda za western media na tatizo sio propaganda za media, tatizo ni watu waliokua wanaamini hizo propaganda wakifurahia kwamba ni za kweli bila hata kufikiria habari hizo.
Kieherehere mmoja anayetunga hizi makitu ameliwa kichwa
Hii inaitwa SugunyoYani waliosema jamaa kaishiwa silaha ndo wamekuwa wakwanza kukata moto, aliyeishiwa silaha ndo yupo moto wa kuotea mbali.
Hii imekaaje wadau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah Bora wangekimbilia mbele zaidi.
Vijana wa Zele wananyunyiziwa mabomu kila wanakokimbilia. Wamsikilize tu US wawithdraw huko Bakhmut
Assad Hadi Leo anadunda TU.
Kama isingekua mwamba Putin Leo hii Syria Ingekua inatawaliwa na mamluki wa
Hizi propaganda ndizo zinazowaponza!! Hii ndo inaitwa kujitekenya halafu unacheka mwenyewe!! Mrusi angepotyeza silaha zote hizo kwa nini kilio cha kuomba silaha kinatoka Ukraine tu? Je umesikia Urusi inaomba silaha popote? Walisema kaishiwa precision missiles, lakini alichokifanya alfajiri ya tarehe 14/01/2023 hawatakisahau!! Alarm zilipolia mwanaume alikuwa keshamaliza kazi tayari!!Si vibaya kukumbusha kwamba hasara aliyopata super pawer wa mchongo Ina thamani ya asset za kijeshi ukiunganisha kwa pamoja, Kenya,bulundi Rwanda, Tanzania, msumbiji, Malawi, Zambia,sudani zote.., ukiunganisha assets za mataifa hayo ndo unaweza kupata idadi kamili ya hasara hambayo amelamba huyu super pawer wa mchongo mpaka Sasa.., kufikia mwezi June mwaka huu nafikiri hasara itafikia assets zote za mataifa yote ya Africa kwa pamoja 🥱🥱🥱View attachment 2481290
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Waulize warusi wenzako walioko makiivka,watakusimulia balaa la hili dubwana..,ndani ya sekunde tu liliwachinja warusi wasiopungua 400!!Ni uwendawazimu kufikiria kwamba Ukrain atashinda hii vita,sasa hivi HIMAS hazisikiki tena au zimeshapondwapondwa zote
Amka kumekucha, achana na hizo ndoto [emoji16]Ni suala la muda tu ukrain itatekwa yote,naona ukrain imeanza kutepeta!
Vita itaishia KWA UKRAINE KUKATAA HII MISIBAWadau kuna ka jukwaa naona wame jazana wa Ukrainian wa Msongola kama
Wote wanajifariji kwa kutumiana picha za vigari vyao vya kivita toka uarabuni
Sasa sijui kinacho endelea kwa wenzeo huko hawa kijui au vipi
Au ndio wanajipunguza machungu kama akina kipanya 44. Hapa
Mbaya zaidi
Wamama na wazee jana wameamua kuandamana kujua waume na vijana wao mbona hawarudi Wakati comedian anasema
Wanajeshi wake hawafi
Labda watusaidie wa Ukrainian wa buza watusaidie
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app