Huwezo wenu wa kusoma between the lines ni mdogo mno, nashangaa kwa nini mnajiita great thinkers kwa kushindwa kunga'mua coment simple tu..,ndio maana hata mkiambiwa " aliyetoboa sana alitoboa sikio " mnabeba tu kama ilivyo bila kusoma between the lines,kwa sababu akili zenu ni fupi mno
Mimi kuwaomba moderators wafungulie njia ya kuweka picha Ili niweze kupost picha za maiti, nilikuwa na maana yangu, lakini Kwa kuwa nyie ni mbumbumbu,hambao mnazoazoa vitu bila kuangalia ndio maana povu linawatoka.ndio maana tukiwaambia hamna akili Wala hatuwaonei
Sent from my Infinix X660B using
JamiiForums mobile app