Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We ndo mpumbavu kwa kudhani kuwa ili kutengeneza nyuklia Ukraine ina hitaji kuvuna kwenye vinu vya vyuklia.kam ni hivyo Iran ingekuw nyuklia tayali kwan wanavinu vya kuzalishia umeme.mmoja sababu kuvunjika kwa soviet union kukosekan fund we kwa akili yako mgando ulitegemea Ukraine itoe pesa wap?kama Russia yenyewe ilikuwa inapokea fund kutoka U.S ili kumaintain Nyuklia freet.Ukraine ulitaka wafanyaje ?
MKUU ukiwa makini unaweza ukajikutia wewe ndio mpumbavu sababu IRAN waliishatangaza kama hawana mpango wakutengeneza silaha za NYUK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Waliambia wana chakula cha siku tatu[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

*Wakambiwa wameishiwa silaha[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

* Wakambiwa wamepoteza morali[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

*wakambiwa awana hata uniform[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

*Wakambiwa wanakimbia wenyewe uwanja wa vita[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Hakika Urusi Katupa somo



View attachment 2476976
Kina T14 Armata wakasema wanatumia vifaa vya washing mashine kueka kwenye silaha [emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani BBC mnachekesha sana kwa kweli.eti URUSI anadai kachukua Soledar
Screenshot_20230113-170204_Twitter.jpg
 
I agree with him

Yani Kama kuna mtu anasubiria Russia aishiwe siraha basi hana tofauti na wale watu wanaosubiri Yesu/Issa arudi, ndio inaweza kutokea lakini itachukua muda mrefu sana na pengine hata isitokee kabisa.

Nadhani watu wengi wenye mawazo hayo wanaichukulia akiba ya silaha ya Urus nisawa na akiba ya silaha ya "Vatican city" ambao adui yao ni shetani na majeshi yake kama wachawi, majini na n.k pasipo kujua Urus ni taifa kubwa na lenye maadui dhidi ya mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi duniani hivo basi hata namna yake ya kujilinda ni kubwa zaidi ya tunavyofikiria.

Huwezi kuwa hasimu wa USA, EU na NATO halafu ukawa na silaha za kumalizwa na vita moja tu ambayo haijamaliza hata miaka 5. Utafyekelewa mbali asubuhi na kupotezwa kwenye uso wa dunia.

Kitu kingine nikuwa wengi tunajizima data kwa kufikiri Russia imeanza kupigana vita mwaka jana pale Ukraine na kupuuza makumi ya vita iliyopigana kwa asilimia kubwa ya ushindi toka enzi ikiwa ndani ya Soviet union mpaka leo tena hadi vita za dunia imepigana halafu leo mtu kashiba viazi vyake huko Kakunyu ndani ndani anakuja hapa kubwabwaja "Urusi hawezi kuhimili hii operation silaha zitamuishia" daah! Wabongo bhana yani wanaamini nchi yao inasilaha za kutosha kupigana vita na kushinda dhidi ya nchi yeyote ya EA kwa zaidi ya mwaka mmoja ila Urusi haina silaha ya kutosha kuendeshea operation ya kijeshi pale Ukraine[emoji23][emoji23]

Nyie watu hivi hata huwa hamujiulizi yakuwa kama silaha zilishindwa kumuishia kwenye vita vya dunia, afighansitan, Vietnam, Korean, Syria, Venezuela, winter war na nk zije zimuishie kwenye operation ya kijeshi pale Ukraine kweli?

Hebu ndugu zangu tuacheni kujitoa ufahamu kwa mambo sensitive kama haya, mnadhani kama Urusi ingekuwa laini kama mnavyo lazimisha kuochukulia, USA na washirika wake (NATO) mpaka sasa wangekuwa wanabweka hovyo namna hii kama mbwa koko bila kuingia mzigoni kuichakaza Urusi kweli?

Ukiona wanabweka hivo bila kumsogolea basi jua hata wao wanajua Urusi ni kina kirefu wakiingia kichwa kichwa wanazama na ndo maana wahenga wa hapa jamvini wanasema;

"URUSI SIYO IRAQ, YUGOSLAVIA, ZIMBABWE WALA LIBYA" ambazo the so called international peace makers (USA&NATO) waliingia mzigoni kukichafua bila kupoteza muda.

Ndugu zangu, BILA URUSI [emoji635] HII DUNIA USA ANGEIFANYA KAMA JIMBO LAKE NAKUFANYA CHOCHOTE ANACHOJISIKIA BILA KUINGILIWA WALA KUPINGWA NA KIUMBE CHOCHOTE.

MUNGU WETU IBARIKI URUSI KWA USALAMA WA VIUMBE WAKO WAISHIO KWENYE DUNIA YAKO

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]URAAAAAA[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
MUNGU WETU IBARIKI URUSI KWA USALAMA WA VIUMBE WAKO WAISHIO KWENYE DUNIA YAKO



Ameeeen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom