mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuliwambieni ila hamkutaka kuamini maneno yetu.kazi kwenu sasaHuko soledar mambo si mazuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuliwambieni ila hamkutaka kuamini maneno yetu.kazi kwenu sasaHuko soledar mambo si mazuri
Mkuu, huoni kwamba unajidanganya? Urusi "kuamua kuchukua Krimea"? Unashindwa kusema "ilishambulia nchi jirani iliyowahi kuiahidi kuheshimu mipaka yake na kutwa ardhi yake" ? Kosa gani kusaidia nchi inayoshambuliwa?Ushahidi wa kwanza ni mapinduzi ya ukraine 2014,, mapinduzi yalikua sponsored na US,, lengo ni kupachika kibaraka wa west, nchini ukraine,, akishashika nchi,, angeamuru Russian Navy iondoke crimea,,
Hiyo Navy base ni kubwa na the only Russian warm water Navy base, na iko very strategic kwa usalama wa Russia,
Hilo ndo lilipelekea, Russia kuamua kuichukua crimea, siku chache tu baada ya mapinduzi,
Baada ya hilo,, NATO walianza kujiingiza ukraine, na kutoa misaada ya kijeshi na silaha na pia mafunzo,
Kwa ufupi US na washirika walikua wanaiandaa ukraine, kuwa Launchpad ya proxy war dhidi ya Russia,
Walichofanya Russia ni ku pre empty,
Japo ni kama tayari walikuwa washachelewa mno
Hawaondolewi bali wanashughulikiwa ipasavyo . Wameondolewa maeneo ya KABILA letu la rusiaHiyo ni kweli, ndoto ya operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo naona inazidi kufifia kwa Kasi ya mwanga,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bukhmut tomorrowSoledar in now Russia
Pana kamlima hapo unaweza kuona KILA movement ya wa Ukraine . Vifaru vipya vya Russia ni balaa tupu . Vinapenya KWA kasi ya ajabu . UKRANE wanasubiri baridi iisheAsee hiyo battle hapo ni kali haswa. Wagner sijui kwanini wamekomaa sana na hiyo sehemu. Ukraine akishinda hiyo battle hapo kwingine itakuwa ni kufagia tu.
Ngoja kifurushi kipya kifike tuone matokeo yake yatakuwaje.
CNN WANAKUAMBIA RUSSIA ANAFANYA MATUSI BAKHMUT NI BALAA LEVEL NYINGINEIla mbuge inayopigwa hapo si mchezo,ngoja tuone mpk Jumapili Hali itakuaje
Chuma zito hilo litadidimia kwenye tope. Kifaru kipya cha mrusi pamba nyepesiSidhani Kama Challenger 2 itatoboa kivita Ukraine. Ukraine tofauti na Afghanistan ama Iraq Ni Uwanja wa kivita wenye ATGM za kutisha Sana Kama hiyo kornet. Lakini pia uwepo wa su 25, ka 52, na mi 28 lazima Challenger 2 itabaki scraper.
Merkava 1,
Mekava 2,
Merkava 3
Merkava 4 za kiyahudi zote zilionja Moto wa Kornet. Tusubiri na kuona ugumu wa British armored vehicle, super tank by the name Challenger. Kama zitaingia uwanjani.
Nina shaka sana na uwezo wako kuelewa mamboHuoni aibu kuandika warusi millions 27 walilambishwa mchanga katika world war?
Na hicho ndicho kinatokea huko Ukraine.., warusi wanaendelea kuchinjwa kila siku kwa maelf lakini bado hawajifunzi et ..,kwa hiyo mnasubiri warusi wauawe mpaka idadi ifike million 27 ndo mtaridhika eeh?
Sawa, ngoja waendelee kuchinjwa
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawa wanashiriki vita hii moja kwa moja ni kuwaua tuUK considering supplying Challenger 2 tanks to Ukraine, Sky News reports
![]()
A Challenger 2 main battle tank is displayed for the families watching The Royal Tank Regiment Regimental Parade, on September 24, 2022 in Bulford, England.
Finnbarr Webster | Getty Images News | Getty Images
Britain is considering supplying its tanks to Ukraine for the first time since the war began, Sky News understands.
NB: Ukraine new offensive is loading....
Axel Lloyd HIMARS Sela Son T14 Armata kp kipanya44
Hawa mamruki wataisha huko.
Maana wamepotea,
Nafikili walijichanganya na askari wa Ukraine hawa wamekufa kwenye shambulio la askari 600.
Wanaanza kutudanya hawa , sijui walikuwa soledar sijui bakhmut.
Ukweli ushaanza kuonekana



Yalivyo mangombe yatakomaa mpaka yaisheOption ya mwisho iliyobaki kwa Vikosi vya Ukraine huko Bakhmut ni Kupigana mpaka kifo au kukimbia Bakhmut kabla ya njia ya mwisho kufungwa.
Chaguo ni lao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2476983