Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji95][emoji95][emoji95] The full composition of the new US military aid package to Ukraine:

[emoji3502]50 Bradley infantry fighting vehicles with 500 TOW anti-tank missiles and 250,000 rounds of 25mm ammunition;
[emoji3502]100 BTR M113S;
[emoji3502]55 MRAPS;
[emoji3502]138 HMMWV;
[emoji3502]18 155 mm self-propelled howitzers and 18 tractors;
[emoji3502]70000 155-mm artillery shells;
[emoji3502]500 155 mm Excalibur shells;
[emoji3502]1200 155-mm anti-tank mine system (RAAM) shells;
[emoji3502]36 105-mm towed howitzers and 95,000 105-mm artillery shells;
[emoji3502]10000 120 mm mines;
[emoji3502] HIMARS ammunition;
[emoji3502] anti-aircraft missiles RIM-7 Sea Sparrow;
[emoji3502]4,000 Zuni aircraft unguided rockets;
[emoji3502]about 2,000 anti-tank missiles;
[emoji3502]Sniper rifles machine guns and ammunition.[emoji95][emoji95][emoji95]
Imekua kawaida kwa Ukraine kufurahia misaada ya kijeshi pale inapoletwa lakini Package ya $3 billion sidhani kama inaweza kuwa "game changer" kwa Ukraine, labda itasaidia tu kuprolong vita kwa siku kadhaa.

Ukiangalia kwa mwaka 2022 kuanzia January mpaka october, military aids za zaidi ya $27 billion zilielekezwa Ukraine, kuanzia Javelins, drones-Bayraktar TB2, mpaka Himars lakini bado hazikuweza kuleta matokeo waliyotarajia, bado Russia yuko ndani ya Ukraine. Hii package ya $3 billion sidhani kama inaweza kubadili "upepo" wa vita kwa Ukraine.
images.jpg
 
Imekua kawaida kwa Ukraine kufurahia misaada ya kijeshi pale inapoletwa lakini Package ya $3 billion sidhani kama inaweza kuwa "game changer" kwa Ukraine, labda itasaidia tu kuprolong vita kwa siku kadhaa.

Ukiangalia kwa mwaka 2022 kuanzia January mpaka october, military aids za zaidi ya $27 billion zilielekezwa Ukraine, kuanzia Javelins, drones-Bayraktar TB2, mpaka Himars lakini bado hazikuweza kuleta matokeo waliyotarajia, bado Russia yuko ndani ya Ukraine. Hii package ya $3 billion sidhani kama inaweza kubadili "upepo" wa vita kwa Ukraine. View attachment 2476683
waacha mkuu wapeleke.
Baden anafanya corruption kwenye serikali ya USA na wenzie.
Wanachukua siraha za walipakodi USA wananunua siraha na kutuma Ukraine.
 
Asee hiyo battle hapo ni kali haswa. Wagner sijui kwanini wamekomaa sana na hiyo sehemu. Ukraine akishinda hiyo battle hapo kwingine itakuwa ni kufagia tu.

Ngoja kifurushi kipya kifike tuone matokeo yake yatakuwaje.
Kabla ya kutumwa kifurushi mkoa mmoja ulienda,,,,vilipotumwa vifurushi mikoa minne ikaenda[emoji853][emoji853][emoji853]
 
Huyo Russia alikuwa anaogopa nini kuweka mambo hadharani kwamba anakwenda kuvamia Ukraine??..,jibu ni simple tu; alitaka awashtukize Ukraine Ili aweze kumaliza vita kirahisi kwa muda mfupi..,ni bahati mbaya sana aligonga mwamba katika hilo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We jamaa thinking capacity yako unaijua mwenyewe!Ulishaona wapi mvamiaji anatoa taarifa?
Russia hakusema anavamia ila baada ya kusogeza troops mpakani kila mtu alijua kinachofuata!
 
Jumamosi mbali mno,, ukraine soleders wamechakazwa sanA, hata kama watafichama huko ardhini haisadii,, Russia wana fire control juu ya barabara wanayoitegemea kupata resupply[emoji2377]hiyo ni done deal

Tangu ule msafara wa vifaru kuingia Kyiv uliokuwa umebakiza hatua chache tu kuingia mji mkuu na ukaishia kusikojulikana hakuna kitu nitaamini mpaka iwe kweli 'deal done'. Kwa sasa tuendelee kulumbana tu hapa tukisindikiza January.
 
Naona umeungana na Morogoro kaskazini pamoja na mohamedidrisa789
Kusukuma gurudumu la propaganda hapo bakhumut,hao watu walianza kutuaminisha soledar imeanguka tangu miezi miwili iliyopita..,kaza Buti uongeze nguvu kazi[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tangu ule msafara wa vifaru kuingia Kyiv uliokuwa umebakiza hatua chache tu kuingia mji mkuu na ukaishia kusikojulikana hakuna kitu nitaamini mpaka iwe kweli 'deal done'. Kwa sasa tuendelee kulumbana tu hapa tukisindikiza January.
Hakika mkuu,Mimi mwenyewe nilkuwa nimeshaacha hata kufuatilia habari za urusi na Ukraine baada ya kuona ule msafara mzito, nikajua kabisa hapa Ukraine Hana pa kutokea,hata nisipojisumbua kufuatilia..,kilichokuja kutokea kwa kweli mpaka Leo Huwa sielewielewi,[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom