kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Huyo mohamedidrisa789 huwa hayapiti hata massa mawili bila kuleta Raman inayoonyesha Hali ilivyo hapo bakhumut..,Tena kila iitwapo Leo lazima hizo ramani atupie humu,akionyesha jinsi warusi wanavyozidi kusonga mbele.., sijui Huwa wanasonga mbele kuelekea wapiNasoma comments zao huku nacheka,sijui huwa hawakumbuki walichoandika hata siku 3 tu zilizopita.
Jamaa Wana fix sana,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app